Je, ni sahihi kumpa hela Mama mkwe ambaye bado hujamuoa mtoto wake?

Je, ni sahihi kumpa hela Mama mkwe ambaye bado hujamuoa mtoto wake?

Kama ni mama mkwe sawa tu.
Ila mara unasema hujamwoa mwanaye mara unamwita mkwe.
Imekuwaje akawa mama mkwe bila kumwoa mtoto wake?
 
Saidia tu kama umemsaidia mtu mwingine, uchumba sio ndoa
 
Ila tabia ya mama ndio tabia ya binti. Kimaadili mama mwenye maadili atangazi njaa zake kwa mchumba wa bintie.
 
Back
Top Bottom