Je, ni sahihi kumpa hela Mama mkwe ambaye bado hujamuoa mtoto wake?

Kuna mama mkwe anaishi Goba hua nachapa binti yake aisee, mpaka hua akikwama ananiomba nimtumie elfu 5 ya kwendea kwa mwamposa siku za J2. Hua nawaza nikioa je?
aah yule mama na binti yake fundi cherehani watu wanajipigia tu
 
Sema vijana tumeendekeza ngono na kusahau kuhusu maadili.

Zamani mchumba ni yule anayetAmbulika na ndugu wa pande zote mbili. Na uçhumba haukutakiwa kuzidi miezi miwili hadi mitatu.

Leò kijana unamuita mama wa hawara ako (umesema kwenu hajulikani) mama mkwe?
 
Mkuu nahisi ukija kupata mchumba pwani ya kusini utaipata fresh...ukichumbia NI Kama umechumbia ukoo mzima sio mama TU mpk mashemeji utasaidia..ila ndo nature ya hela ukiwa nazo huli peke yako so we sometimes toa TU Jinsi unavotoa unazidi kubarikiwa na kupata...au Kama vp una ka asili Cha uchoyo na ubahili Basi anzisha project kiasi kwamba ukipata TU pesa ikimbize huko kwenye project ukiombwa unajibu huna..simple
 
Hii ndio ninayoijua Mimi, lakini hii ya kwangu ni tofauti sana, kila nikimwambia huyo binti kwamba mama ake atanijua official nikienda kujitambulisha but yeye analazimisha sana.
Kuwa makini sana na huyo mchumba wako na mama yake, watakugeuza wewe ATM machine muda si mrefu. Halafu mama mkwe gani anathubutu kuomba hela kwa boyfriend wa binti yake??? Hana hata haya! Mama mkwe wa mchongo huyo.

Na hiyo tabia ya mwanamke wako kukuforce uongee na mama yake mara kwa mara haipendezi na inaleta ukakasi, ikiwa utamuoa Chunga sana mama mkwe wako kuingilia ndoa yenu atakuvuruga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza kila kitu
 
Ukiombwa hela unauliza tena kama utoe au usitoe?Toa kwa hiyari yako.
 
Huyu ninaemuita mchumba ni rafiki wa utotoni tokea secondary na mpaka sasa hakuna mwingine zaidi yake, kumuoa nilishamwambia mpaka nimalize kusoma na yeye analijua hilo.
 
Nimekuelewa
 
Hapo nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…