Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Sep 19, 2022 #41 Kama ni mama mkwe sawa tu. Ila mara unasema hujamwoa mwanaye mara unamwita mkwe. Imekuwaje akawa mama mkwe bila kumwoa mtoto wake?
Kama ni mama mkwe sawa tu. Ila mara unasema hujamwoa mwanaye mara unamwita mkwe. Imekuwaje akawa mama mkwe bila kumwoa mtoto wake?
BOSCODINHO Member Joined May 3, 2013 Posts 10 Reaction score 20 Sep 19, 2022 #42 Labda kama unataka kupiga wote[emoji3578]
Kalunya JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 13,322 Reaction score 18,609 Sep 19, 2022 #43 Saidia tu kama umemsaidia mtu mwingine, uchumba sio ndoa
Kalunya JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 13,322 Reaction score 18,609 Sep 19, 2022 #44 Ila tabia ya mama ndio tabia ya binti. Kimaadili mama mwenye maadili atangazi njaa zake kwa mchumba wa bintie.
Ila tabia ya mama ndio tabia ya binti. Kimaadili mama mwenye maadili atangazi njaa zake kwa mchumba wa bintie.