Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

Wewe kumbe una akili nyingi hivi?
1000494451.jpg

akili zangu zipo hotspotted na Kilimanjaro 😁✌️
 
Wanaume wanajipa uspecial aje?
kujiona yeye hakosei kila wakati yupo sahihi
Kuna wanawake wanaachwa ndani bila mia kwa muda mrefu sembuse huyo kapewa na milioni, ndio kipimo hicho kapewa mwenzenu, muone na ninyi isivyo simple kuitwa mwanaume. Mpunguze dharau kama zako kwa wapambanaji wanaohudumia familia zao.
Huyu mwanaume kutoa 1M sio sababu ya yeye kujifungia ndani na asitake kazi tena yaan anafanya makusudi kisa ana uhakika atakula na atalala unaona ni sahihi wewe?
By the way hatujui kama sababu zilizotolewa za jamaa kutohudumia familia ni za kweli.
Sisi tunajadili hoja iliyo mezani
Kaka nikuambie sio huyu tu wa mleta mada wanaume kutohudumia familia na kutaka kulelewa limekua janga
 
kujiona yeye hakosei kila wakati yupo sahihi

Huyu mwanaume kutoa 1M sio sababu ya yeye kujifungia ndani na asitake kazi tena yaan anafanya makusudi kisa ana uhakika atakula na atalala unaona ni sahihi wewe?

Sisi tunajadili hoja iliyo mezani
Kaka nikuambie sio huyu tu wa mleta mada wanaume kutohudumia familia na kutaka kulelewa limekua janga
Dada, wanaume sometime in life tunapitia hardship kiasi cha kukwama kabsa kumudu huduma za familia. But niamini mimi hayupo mwanamke wa kusaidia kubeba majukumu ya mwenzake pasipo kelele na dharau,

Na akiyatoa nje kama huyu mtoa mada hawezi kunyoosha maelezo ili tu apate huruma na justification ya kukwepa jukumu lake la usaidizi japo ni kwa muda.

Siamini mwanaume timamu wa afya na akili atalala ndani bila sababu ilihali ana mtoto na mke wanamwangalia
 
Dada, wanaume sometime in life tunapitia hardship kiasi cha kukwama kabsa kumudu huduma za familia. But niamini mimi hayupo mwanamke wa kusaidia kubeba majukumu ya mwenzake pasipo kelele na dharau,
Kwanini unadhani hayupo mwanamke wa namna hiyo?
Na akiyatoa nje kama huyu mtoa mada hawezi kunyoosha maelezo ili tu apate huruma na justification ya kukwepa jukumu lake la usaidizi japo ni kwa muda.
Kama alivyosema kwenye mada ni kweli
mwanaume anapuyanga
Ila kama anamsingizia hapo kuna tatizo
ila nikwambie kuna wanaume wanajisahau na nimeona sio kuambiwa
 
Pole dada
Ulikubalije kuolewa au kuishi na mtu amepanga chumba kimoja
Yaani ulikuwa unaingia kuishi umasikini wake na kuleta watoto waishi huo umasikini
 
Mimi ni msichana nina miaka 26 nina mtoto mmoja ambae nimezaa na huyu mwanaume kiukweli nina changamoto ambayo nahisi kukataa tamaa iko hivyo mwaka 2019 nilikuta na huyu mwanaume nilimkuta akiwa anaishi mwenyewe kapanga chumba nikaingia nae kwenye mahusiano mwaka huo huo nikabeba mimba alikataa mwisho akibali akanitambulisha kwao nikajifungua yeye wakati huo ameajiliwa kiwandani..

Mwaka 2022 akaacha kazi kiwanda na kuchukua NSSF yake milioni 3 akanipa milioni moja nifungue biashara hela yake iliobaki alichafua kula starehe na rafiki zake ikapelekea hela yake kuisha na kuwa jobless maana kazi hana ikawa mimi ndo baba na mama wa kulisha familia kwa kutengemea biashara yangu mpaka ikafa biashara yenyewe maana mahitaji mengi kuliko faida ya biashara nikawa mama wa nyumbani na yeye hana kazi maisha magumu nikarudi kwetu na mwanangu yeye akawa anakuja ukweni kula na kuondoka hela hatoi maana hana kazi…

Mimi nikapambana nikachukua mkopo nikafungua biashara yangu huku nikimuhudumia yeye na mwanae kula nikasema ngoja nimtafutie kazi kila nikimtafutia kazi anakataa kufanya nikachoka mwisho akakubali kufanya japo mshahara wa kawaida huduma kutoa kawaida tu mimi ndo responsible wa vitu vingi akaacha kazi hiyo sehemu kwasababu ambazo hazina maana now hana kazi mimi ndo namlisha ndani haamki wala kuumiza kutafuta kazi anasema hataki kazi ngumu za viwanda kazi ni kulala tu ndani na kupiga simu za kufanya udalali ambazo hazina faida kodi imeisha wala hajisumbui naomba ushauri nimuache uyu mwanaume au maana nikiendelea kumlemaza naona najiumiza sana hajalishi anajali kiasi gani ila sio muajibikaji najikuta naumia kupambania familia mwenyewe nisaidie kimawazo ninaweza kujinyonga
Takataka hiyo tupa kule! Yaani hana hata aibu? Yaani nikazurure huko halafu wakati wa menu niende ukweni kuvizia ugali?
 
Ingawaje ni ngumu kuhukumu kwa habari za upande mmoja kwa maana muwamba ngoma huvuta upande wake......

Ngoja nidhanie ya kuwa uliyoyaandika ni ya kweli!!

Katika mizania ya kiume na dhana nzima ya uanamume huyo kijana amejiweka mbali au niseme amejivua uanamume na amebakiwa na jinsia ya kiume aliyozaliwa nayo!!

Kiasili mwanamume ni mtunzaji wa familia, mlinzi wa familia na kiongozi wa familia....dhana nzima ya uanamume inakamilishwa na utimilifu wa mambo hayo kwenye jinsia ya kiume...nje ya dhana hiyo hakuna uanamume bali unabakia uakiume kijinsia.....

Lakini pia siwezi kumhukumu moja kwa moja na kumtoa kwenye reli kwa asilimia mia kwa maana dunia ina mambo na kila mtu ana uwezo tofauti wa kukabiliana na mambo!!

Kwa mwanaume mwenye uanamume ndani yake kiasili kukosa kipato ni mtihani ambao unamtafuna ndani yake kuliko hata unavyoweza kudhani......na kwenye nyakati hizo ndio wanaume wanajikuta wanatumbukia kwenye uraibu na kukata tamaa kunakotasfiriwa kama ni uvivu......

Nikiwa kama mwanaume namdhania ya kuwa huyo mwanamume mwenzetu bado ana uanamume ndani yake isipokuwa amekata tamaa kwani pengine mipango ya ndoto zake haiendani na uhalisia wa fursa zilizopo mbele yake.....

Bila shaka atakuwa anahitaji faraja na kuliwazwa kama binadamu wengine wanapopitia magumu na wewe ndio mfariji wake ndio maana bado mpo pamoja......

Unapozungumza naye ongea naye kwa upole na sio kwa lugha ya ukali na yenye kukera au kudhalilisha maana nyinyi wanawake tunawajua.....

Yote kwa yote maisha ni safari ndefu yenye milima na mabonde.... pengine huo ndio mlima wenu na mnakaribia bondeni....Mungu ndiye ajuaye......
 
Mimi ni msichana nina miaka 26 nina mtoto mmoja ambae nimezaa na huyu mwanaume kiukweli nina changamoto ambayo nahisi kukataa tamaa iko hivyo mwaka 2019 nilikuta na huyu mwanaume nilimkuta akiwa anaishi mwenyewe kapanga chumba nikaingia nae kwenye mahusiano mwaka huo huo nikabeba mimba alikataa mwisho akibali akanitambulisha kwao nikajifungua yeye wakati huo ameajiliwa kiwandani..

Mwaka 2022 akaacha kazi kiwanda na kuchukua NSSF yake milioni 3 akanipa milioni moja nifungue biashara hela yake iliobaki alichafua kula starehe na rafiki zake ikapelekea hela yake kuisha na kuwa jobless maana kazi hana ikawa mimi ndo baba na mama wa kulisha familia kwa kutengemea biashara yangu mpaka ikafa biashara yenyewe maana mahitaji mengi kuliko faida ya biashara nikawa mama wa nyumbani na yeye hana kazi maisha magumu nikarudi kwetu na mwanangu yeye akawa anakuja ukweni kula na kuondoka hela hatoi maana hana kazi…

Mimi nikapambana nikachukua mkopo nikafungua biashara yangu huku nikimuhudumia yeye na mwanae kula nikasema ngoja nimtafutie kazi kila nikimtafutia kazi anakataa kufanya nikachoka mwisho akakubali kufanya japo mshahara wa kawaida huduma kutoa kawaida tu mimi ndo responsible wa vitu vingi akaacha kazi hiyo sehemu kwasababu ambazo hazina maana now hana kazi mimi ndo namlisha ndani haamki wala kuumiza kutafuta kazi anasema hataki kazi ngumu za viwanda kazi ni kulala tu ndani na kupiga simu za kufanya udalali ambazo hazina faida kodi imeisha wala hajisumbui naomba ushauri nimuache uyu mwanaume au maana nikiendelea kumlemaza naona najiumiza sana hajalishi anajali kiasi gani ila sio muajibikaji najikuta naumia kupambania familia mwenyewe nisaidie kimawazo ninaweza kujinyonga
Kaeni chini zungumzeni. Ikiwezekana muwashirikishe na wazazi wenu au hata viongozi wenu wa dini. Siyo vizuri kujichukulia maamuzi nyinyi wenyewe pasipo kuwashirikisha watu wazima.
 
Mimi ni msichana nina miaka 26 nina mtoto mmoja ambae nimezaa na huyu mwanaume kiukweli nina changamoto ambayo nahisi kukataa tamaa iko hivyo mwaka 2019 nilikuta na huyu mwanaume nilimkuta akiwa anaishi mwenyewe kapanga chumba nikaingia nae kwenye mahusiano mwaka huo huo nikabeba mimba alikataa mwisho akibali akanitambulisha kwao nikajifungua yeye wakati huo ameajiliwa kiwandani..

Mwaka 2022 akaacha kazi kiwanda na kuchukua NSSF yake milioni 3 akanipa milioni moja nifungue biashara hela yake iliobaki alichafua kula starehe na rafiki zake ikapelekea hela yake kuisha na kuwa jobless maana kazi hana ikawa mimi ndo baba na mama wa kulisha familia kwa kutengemea biashara yangu mpaka ikafa biashara yenyewe maana mahitaji mengi kuliko faida ya biashara nikawa mama wa nyumbani na yeye hana kazi maisha magumu nikarudi kwetu na mwanangu yeye akawa anakuja ukweni kula na kuondoka hela hatoi maana hana kazi…

Mimi nikapambana nikachukua mkopo nikafungua biashara yangu huku nikimuhudumia yeye na mwanae kula nikasema ngoja nimtafutie kazi kila nikimtafutia kazi anakataa kufanya nikachoka mwisho akakubali kufanya japo mshahara wa kawaida huduma kutoa kawaida tu mimi ndo responsible wa vitu vingi akaacha kazi hiyo sehemu kwasababu ambazo hazina maana now hana kazi mimi ndo namlisha ndani haamki wala kuumiza kutafuta kazi anasema hataki kazi ngumu za viwanda kazi ni kulala tu ndani na kupiga simu za kufanya udalali ambazo hazina faida kodi imeisha wala hajisumbui naomba ushauri nimuache uyu mwanaume au maana nikiendelea kumlemaza naona najiumiza sana hajalishi anajali kiasi gani ila sio muajibikaji najikuta naumia kupambania familia mwenyewe nisaidie kimawazo ninaweza kujinyonga
Wanawake ni wabinafsi sana ninyi🚮
 
Acha mara moja kumpa pesa yoyote , unapofanya hivyo unampa sababu ya kuendelea kuwa mvivu.

Kama bado mnaishi pamoja tafuta njia ya kuondoka au yeye aondoke, kuendelea kuwa karibu yake ndiyo kunakufanya uendelee kufanya hayo yote unayoyafanya.

Wewe ni mama, nguvu unazotumia kumpambania mtu mzima ambaye haoni umuhimu wa kujipambania yeye mwenyewe zielekeze kwa mwanao na biashara yako, zingatia mwanao anahitaji kulelewa na mama mwenye afya ya akili.

Huyo mwanaume siyo rahisi kubadilika kwa sababu umekubali kuvumilia ujinga wake, atazidi kuharibika kwa sababu unamlea, ondoka, jenga maisha yako, na mwanao atakuja kukushukuru siku zijazo kwa ujasiri utakaouonyesha leo.
Asante ntalifanyia kazi
 
Usiseme una mtoto mmoja my dear, unao wawili. Mtu kama huyo ukimuacha utasikia analaumu ameachwa kwa sababu hana pesa cha msingi wewe acha kumhudumia uone kama hatafanya kazi
 
Ni ngumu mana naishi nae ndani siwezi kula na mwanangu yeye yupo anatuangalia
 
Wanaume wanajipa uspecial aje? Kuna wanawake wanaachwa ndani bila mia kwa muda mrefu sembuse huyo kapewa na milioni, ndio kipimo hicho kapewa mwenzenu, muone na ninyi isivyo simple kuitwa mwanaume. Mpunguze dharau kama zako kwa wapambanaji wanaohudumia familia zao.

By the way hatujui kama sababu zilizotolewa za jamaa kutohudumia familia ni za kweli.
Mpaka nafika lwa umati wa watu kuyoa ya moronic jua nimefika mwisho wa kutatua jambo na shida sio kumvumilia mwanaume shida je anaonyesha jitihada za kupambana
 
Back
Top Bottom