Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

Hio milioni moja sio tiketi ya kutohudumia famila je milioni moja wewe unaweza itumia ndani ya miaka 5 na ikawepo mpaka leo
Vipi kabla ya hajakupa milion moja alikuwa anakuja ukweni kula bila kutoa hela? Au alikuwa hauhudumii familia?, kumbuka ulimkuta geto ana maisha yake ukijibebesha na mimba je alikuwa haudumii? Kabla ya kupoteza kazi
 
Sisi kwenye Baraza letu la usuluhishi wa ndoa, tunasikiliza Kila upande. Hapo umeeleza ya mwenzio, naye angeeleza Yako. Maana Hadi wazazi wako wanamkaribisha Kuna kitu hatukijui hapa
Ameeleza upande mmoja unaomfeva yeye na anaonekana shujaa
 
Mimi ni msichana nina miaka 26 nina mtoto mmoja ambae nimezaa na huyu mwanaume kiukweli nina changamoto ambayo nahisi kukataa tamaa iko hivyo mwaka 2019 nilikuta na huyu mwanaume nilimkuta akiwa anaishi mwenyewe kapanga chumba nikaingia nae kwenye mahusiano mwaka huo huo nikabeba mimba alikataa mwisho akibali akanitambulisha kwao nikajifungua yeye wakati huo ameajiliwa kiwandani..

Mwaka 2022 akaacha kazi kiwanda na kuchukua NSSF yake milioni 3 akanipa milioni moja nifungue biashara hela yake iliobaki alichafua kula starehe na rafiki zake ikapelekea hela yake kuisha na kuwa jobless maana kazi hana ikawa mimi ndo baba na mama wa kulisha familia kwa kutengemea biashara yangu mpaka ikafa biashara yenyewe maana mahitaji mengi kuliko faida ya biashara nikawa mama wa nyumbani na yeye hana kazi maisha magumu nikarudi kwetu na mwanangu yeye akawa anakuja ukweni kula na kuondoka hela hatoi maana hana kazi…

Mimi nikapambana nikachukua mkopo nikafungua biashara yangu huku nikimuhudumia yeye na mwanae kula nikasema ngoja nimtafutie kazi kila nikimtafutia kazi anakataa kufanya nikachoka mwisho akakubali kufanya japo mshahara wa kawaida huduma kutoa kawaida tu mimi ndo responsible wa vitu vingi akaacha kazi hiyo sehemu kwasababu ambazo hazina maana now hana kazi mimi ndo namlisha ndani haamki wala kuumiza kutafuta kazi anasema hataki kazi ngumu za viwanda kazi ni kulala tu ndani na kupiga simu za kufanya udalali ambazo hazina faida kodi imeisha wala hajisumbui naomba ushauri nimuache uyu mwanaume au maana nikiendelea kumlemaza naona najiumiza sana hajalishi anajali kiasi gani ila sio muajibikaji najikuta naumia kupambania familia mwenyewe nisaidie kimawazo ninaweza kujinyonga
Utaacha wangapi? Sijui dini yako, lakini sisi wakristo tunafundishwa kuwa Yesu ni jibu la mambo yote. Muombe Mungu kwa imani yako, zungumzeni na kama kuna watu wazima wenye hekima mnaweza washirikisha kuwajenga.
 
Tumsifu Yesu Kristo.
Asalaam alykhum.

Nimesoma komenti kadhaa hapa nimeona nyingi zinamtaka binti aachane na mumewe na nyingi zikimponda mwanamme na kumuonyesha huyo binti kuwa hamfai kuendelea kuishi naye.

HOJA yangu kwako binti.
Sijui wewe ni imani gani, sijui wewe una amini nini? Ila...

Moja ya dhambi mbaya kabisa kwenye mahusiano yako ni kusahau maisha ya NDOA siyo kama ulivyoandika.

Mfano wakati yeye anafanya kazi, wewe ulikuwa unafanya kazi, biashara gani?. Je, kuna siku aliomba mawazo JF ya kuachana na wewe kisa anakulisha tuuu na huna msaada wowote kwake?.

Pili, ukitaka uone moto kwenye maji achana naye huyo kijana alafu baada ya muda flani tupe mrejesho hapa hapa JF kwa safari yako mpya imefikia wapi!.

Hicho unachokutana nacho ni sehemu ya maisha ya ambayo humu kila mtu akisema asimulie adili za NDOA yake huko, utaona kabisa wewe una nafuu kwa 87%.

Hivyo pambana naye huyo ni wako ila usiache kuongea naye kila siku na siku nyingine mpe tu chakula mtoto wewe na yeye mlale njaa hata siku mbili hivi, akikuuliza mwambie hali ngumu, tufanyeje?.

Note; usije kuachana na huyo kijana tafadhali.
 
Sisi kwenye Baraza letu la usuluhishi wa ndoa, tunasikiliza Kila upande. Hapo umeeleza ya mwenzio, naye angeeleza Yako. Maana Hadi wazazi wako wanamkaribisha Kuna kitu hatukijui hapa
Nikwambie tu mm wazaz wangu ni watu ambao hajarishi mna changamoto zenu kias gani ila ukija kwetu utakaribishwa na kupokelewa vzr na chakula la
Ndio msingi namba moja katika maisha ya hapa Duniani. Hata uwe na mali kiasi cha kutisha kama huna amani umekwisha.

Amani yako kwanza, mengine mbwembwe tu
Utaacha wangapi? Sijui dini yako, lakini sisi wakristo tunafundishwa kuwa Yesu ni jibu la mambo yote. Muombe Mungu kwa imani yako, zungumzeni na kama kuna watu wazima wenye hekima mnaweza washirikisha kuwajenga.
Nishalifikisha kwq watu wazima nasubili majibu
 
Wanawake washenzi sana tena ukitaka kujua kama ni washenzi,malimbukeni,hawana akili,wabinafsi, basi apate hela alafu wewe uwe apeche alolo aisee mbona dunia utaiona chungu.

Mwanamke mlishe hata miaka 10 yeye asitoe sh 10 yake lakini ukikosa ndani ya mwezi tu na yeye ndo akawa nacho peke yake hakika hakuna majina ambayo hutaaachwa kuitwa dadeki.

Mvivu,hujielewi,huna future na majina kama yote utaishia kupew.

Ifike hatua na sisi wanaume sasa tuamke hasa kwa hawa wanawake tunaoishi nao kwani tusipostuka tutaishia kwenye majuto makubwa na ndo maana hata tunaongoza kwa kufa kila siku.

Nachokuahidi wewe mwanamke hutofanikiwa kamwe kwa hvyo vituko vyako na maneno yako kwa mwenzako kisa umepata hvyo vijisent na hao wanaokudangsnya huko nje ni swala la muda tu utalia na kusaga meno.

Muheshimu sana mwanaume anayetoa 1m kati ya 3m ambzo ndo hela zake za mwisho kwa ajili yake mwsho usimkatie tamaa mwanaume aliye hai yangu ni hyo tu
 
Tumsifu Yesu Kristo.
Asalaam alykhum.

Nimesoma komenti kadhaa hapa nimeona nyingi zinamtaka binti aachane na mumewe na nyingi zikimponda mwanamme na kumuonyesha huyo binti kuwa hamfai kuendelea kuishi naye.

HOJA yangu kwako binti.
Sijui wewe ni imani gani, sijui wewe una amini nini? Ila...

Moja ya dhambi mbaya kabisa kwenye mahusiano yako ni kusahau maisha ya NDOA siyo kama ulivyoandika.

Mfano wakati yeye anafanya kazi, wewe ulikuwa unafanya kazi, biashara gani?. Je, kuna siku aliomba mawazo JF ya kuachana na wewe kisa anakulisha tuuu na huna msaada wowote kwake?.

Pili, ukitaka uone moto kwenye maji achana naye huyo kijana alafu baada ya muda flani tupe mrejesho hapa hapa JF kwa safari yako mpya imefikia wapi!.

Hicho unachokutana nacho ni sehemu ya maisha ya ambayo humu kila mtu akisema asimulie adili za NDOA yake huko, utaona kabisa wewe una nafuu kwa 87%.

Hivyo pambana naye huyo ni wako ila usiache kuongea naye kila siku na siku nyingine mpe tu chakula mtoto wewe na yeye mlale njaa hata siku mbili hivi, akikuuliza mwambie hali ngumu, tufanyeje?.

Note; usije kuachana na huyo kijana tafadhali.
Hawana ndoa Mkuu amemkuta kijana wa watu ana maisha yake ya geto akaenda kujipachika ndani ya mwaka huo huo kabeba na mimba maana yake tayari alikuwa na uhakika wa maisha
 
Mimi ni msichana nina miaka 26 nina mtoto mmoja ambae nimezaa na huyu mwanaume kiukweli nina changamoto ambayo nahisi kukataa tamaa iko hivyo mwaka 2019 nilikuta na huyu mwanaume nilimkuta akiwa anaishi mwenyewe kapanga chumba nikaingia nae kwenye mahusiano mwaka huo huo nikabeba mimba alikataa mwisho akibali akanitambulisha kwao nikajifungua yeye wakati huo ameajiliwa kiwandani..

Mwaka 2022 akaacha kazi kiwanda na kuchukua NSSF yake milioni 3 akanipa milioni moja nifungue biashara hela yake iliobaki alichafua kula starehe na rafiki zake ikapelekea hela yake kuisha na kuwa jobless maana kazi hana ikawa mimi ndo baba na mama wa kulisha familia kwa kutengemea biashara yangu mpaka ikafa biashara yenyewe maana mahitaji mengi kuliko faida ya biashara nikawa mama wa nyumbani na yeye hana kazi maisha magumu nikarudi kwetu na mwanangu yeye akawa anakuja ukweni kula na kuondoka hela hatoi maana hana kazi…

Mimi nikapambana nikachukua mkopo nikafungua biashara yangu huku nikimuhudumia yeye na mwanae kula nikasema ngoja nimtafutie kazi kila nikimtafutia kazi anakataa kufanya nikachoka mwisho akakubali kufanya japo mshahara wa kawaida huduma kutoa kawaida tu mimi ndo responsible wa vitu vingi akaacha kazi hiyo sehemu kwasababu ambazo hazina maana now hana kazi mimi ndo namlisha ndani haamki wala kuumiza kutafuta kazi anasema hataki kazi ngumu za viwanda kazi ni kulala tu ndani na kupiga simu za kufanya udalali ambazo hazina faida kodi imeisha wala hajisumbui naomba ushauri nimuache uyu mwanaume au maana nikiendelea kumlemaza naona najiumiza sana hajalishi anajali kiasi gani ila sio muajibikaji najikuta naumia kupambania familia mwenyewe nisaidie kimawazo ninaweza kujinyonga
Mimi niliwahi kua na pesa kama m40 nikapoteza yote kwenye biashara nikabaki sina kitu mkewangu akawa anatumiwa pesa kwao ananunua chakula aisee masemango kila kukicha ule uana ume uliondoka alinituma hadi kuosha vyombo nilikataa dharau nilipambana sana hadi sasa nimerudisha ile heshima sasa huyo mletee dharau yaani ukimpa chakula mpe na maneno ya kejeli sex mpe muda unaotaka wewe yaani usimpe ile heshima yake kama mwanaume kama ana akili atajua nini unamaanisha na wanaume hatupendi Dhararu kabisa
 
Tumsifu Yesu Kristo.
Asalaam alykhum.

Nimesoma komenti kadhaa hapa nimeona nyingi zinamtaka binti aachane na mumewe na nyingi zikimponda mwanamme na kumuonyesha huyo binti kuwa hamfai kuendelea kuishi naye.

HOJA yangu kwako binti.
Sijui wewe ni imani gani, sijui wewe una amini nini? Ila...

Moja ya dhambi mbaya kabisa kwenye mahusiano yako ni kusahau maisha ya NDOA siyo kama ulivyoandika.

Mfano wakati yeye anafanya kazi, wewe ulikuwa unafanya kazi, biashara gani?. Je, kuna siku aliomba mawazo JF ya kuachana na wewe kisa anakulisha tuuu na huna msaada wowote kwake?.

Pili, ukitaka uone moto kwenye maji achana naye huyo kijana alafu baada ya muda flani tupe mrejesho hapa hapa JF kwa safari yako mpya imefikia wapi!.

Hicho unachokutana nacho ni sehemu ya maisha ya ambayo humu kila mtu akisema asimulie adili za NDOA yake huko, utaona kabisa wewe una nafuu kwa 87%.

Hivyo pambana naye huyo ni wako ila usiache kuongea naye kila siku na siku nyingine mpe tu chakula mtoto wewe na yeye mlale njaa hata siku mbili hivi, akikuuliza mwambie hali ngumu, tufanyeje?.

Note; usije kuachana na huyo kijana tafadhali
 
Hawana ndoa Mkuu amemkuta kijana wa watu ana maisha yake ya geto akaenda kujipachika ndani ya mwaka huo huo kabeba na mimba maana yake tayari alikuwa na uhakika wa maisha
Ni kweli nilijipachika mimba na nikaingia kwenye maisha yake pengine hakua tayari kuwa na familia ni kosa ambalo najutia mno ila siwez kubadilisha makosa japo naumia na kujutia
 
sisi ni special bhana regardless..

tatizo letu sisi tunajiona tupo sahihi kwa kila kitu hata kama sio, unakuta mwanaume kaoa mwanamke sahihi ila mwanamke hajaolewa na mwanaume sahihi ndo changamoto zisizokua na kichwa wala miguu zinajitokeza and sikuiz imekua common sana. Unakuta mwanaume anajificha kwenye kichaka cha "nataka mwanamke mpambanaji sio goalkeeper" ili kukwepa majukumu
Kukata Mzizi wa fitina ni pale kila mmoja anakuwa na account yake. Kila mtu ana majukumu yake katika ndoa.
 
Back
Top Bottom