Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

Wewe kumbe una akili nyingi hivi?

Baadhi yao ndio wapo hivyo wanajificha kwenye kichaka cha mwanamke mpambanaji ili aanze kushinda kwenye kijiwe cha kahawa

Kama huyo kutoa hiyo 1M amejisahau na kulala ndani ili ahudumiwe
Hata hivyo ugolikipa haufai. Mwanaume hakikisha umeoa mwanamke aliye enda shule na anayejua kufanya kazi. Hii itasaidia kufunza hata watoto wako wakike jinsi ya kujitegemea
 
Sijui nakushauri vibaya au lah

Lakini huyo mwanaume hakufai
Usitishwe na maneno ya watu ya kuitwa single mother kheri uwe single mother kuliko kua single married

Ondoka hapo acha aendelee kulala akiona haupo na wa kumuhudumia hamna atachagua yeye sasa afe njaa au atoke njee akatafute

Binti wanaume ni wabinafsi sana kama hujui thamani yako utayumbishwa mpaka useme hiki ni nini?

Hivi umewahi kuona mwanaume akiacha ndoto zake au mipango yake kisa mwanamke

Sisi ndio deileee tunajitilisha huruma
Na kuishia kutumika na kunyanyaswa kihisia na muda mwingine tunaacha ndoto zetu na mipango yatu kisa wanaume

Wao hata huku jukwaani kila siku wanapandishiana nyuzi kushauriana
Utasiki man to man fanya hivi

Sisi huku nyuma ya keyboard kudanganyana
Shoga angu vumilia wanaume ndivyo walivyo upuuzi tu

Usivumilie upumbavu ondoka mapema angali una nguvu za kujitafutia na kujilea mwenyewe sio unavumilia unakuja kukumbuka kuondoka umekua ajuza

Jifunze kumsoma mwanaume muongo mbinafsi na mlagai kimbia upesi usimpe hata sekunde ya kuendelea kunyonya energy yako 🙏

Narudia jifunze kusoma mtu una em date macho yako usiyatoe kwenye macho yake muangalie kama anachozongumza kinatoka ndani

Ukiwa makini na timamu Mwanaume tapeli hachukui round una mdaka
Asante sana ubarikiwe ni kweli kabisa
 
Vipi kabla ya hajakupa milion moja alikuwa anakuja ukweni kula bila kutoa hela? Au alikuwa hauhudumii familia?, kumbuka ulimkuta geto ana maisha yake ukijibebesha na mimba je alikuwa haudumii? Kabla ya kupoteza kazi
Story ni ndefu ila baada ya kutoa milioni moja huduma ndo zilistop akawa ananitegemea mimi
 
Mhhhhhh jmn sio kwa kuwashambulia huko wanaume mboana tupo simple 2 lakini kwa hizo changamoto za mwenzetu huyo mdada nikwamba aongeze kamda kidogo na dua,umakini atajuwa linalompasa kufanya asant ila umetuponda sana sis wanaume
Mda uku niwe responsible wa kulisha baba na mtoto eti
 
Mapenzi huwa hayashauriwi kwamba muache au usimuache......

Wewe ndio unaemjua na wewe ndio unaijua umuhimu wa huyo mtu kwenye maisha yako.

Jipe muda wa kutafakari bado uko tayari kuishi nae au unachapa lapa, muamuaji ni wewe bro
Ni kweli
 
Yaani mwanaume mzima alale ndani bila sababu za msingi kisa alitoa ka milion ka mtaji serious

Yaan haumwi wala hana kilema
Kwa sababu kapata uraibu wa kuhudumiwa ndio asinyanyuke kutafuta kazi hivi nyie wanaume kwanini mnajipa u special sana ?
Simtetei mume wa mtoa mada, sababu kiuhalisia mumewe anakosea kujilemaza bila kuhudumia chochote kwa familia yake.

Ila nimewaza kama position zingekua switched mke hana kazi, mume ndo anahudumia familia yote, tena wanaume wengine wanahudumia hadi ndugu zake mke, na vipato vyao vya kawaida, ila hao wanaume wanaona kawaida..

Mke kuhudumia familia anahisi kufa kufa😂😂 ShesRise_1
 
Utaacha wangapi? Sijui dini yako, lakini sisi wakristo tunafundishwa kuwa Yesu ni jibu la mambo yote. Muombe Mungu kwa imani yako, zungumzeni na kama kuna watu wazima wenye hekima mnaweza washirikisha kuwajenga.
Mungu wa mbinguni anasikia maombi yangu kila sekunde namuombea ila naona yeye hayupo tayari kuombewa na kubadilika
 
Simtetei mume wa mtoa mada, sababu kiuhalisia mumewe anakosea kujilemaza bila kuhudumia chochote kwa familia yake.

Ila nimewaza kama position zingekua switched mke hana kazi, mume ndo anahudumia familia yote, tena wanaume wengine wanahudumia hadi ndugu zake mke, na vipato vyao vya kawaida, ila hao wanaume wanaona kawaida..

Mke kuhudumia familia anahisi kufa kufa😂😂 ShesRise_1
Nature ya mwanamke kaumbiwa kuhudumiwa kuwa receiver na mwanaume kuwa provider sasa hizo nafasi zikibadilika ikawa vaisi vesa matokeo yake ni hayo kikubwa wanaume tafuteni ela hudumieni familia zenu
 
Back
Top Bottom