- Thread starter
- #121
Ni kweli na nilichojifunza wanaume hawaridhikiJambo la muhimu amani ya moyo na utulivu, vikikosekana hivyo ni bora mtu kujiondokea. Maisha ni zaidi ya mahusiano au ndoa
Ni kweli na nilichojifunza wanaume hawaridhikiJambo la muhimu amani ya moyo na utulivu, vikikosekana hivyo ni bora mtu kujiondokea. Maisha ni zaidi ya mahusiano au ndoa
Pamoja na yote, kwanini mwanaume mwenzenu hataki kujishughulisha?Wanawake washenzi sana tena ukitaka kujua kama ni washenzi,malimbukeni,hawana akili,wabinafsi, basi apate hela alafu wewe uwe apeche alolo aisee mbona dunia utaiona chungu.
Mwanamke mlishe hata miaka 10 yeye asitoe sh 10 yake lakini ukikosa ndani ya mwezi tu na yeye ndo akawa nacho peke yake hakika hakuna majina ambayo hutaaachwa kuitwa dadeki.
Mvivu,hujielewi,huna future na majina kama yote utaishia kupew.
Ifike hatua na sisi wanaume sasa tuamke hasa kwa hawa wanawake tunaoishi nao kwani tusipostuka tutaishia kwenye majuto makubwa na ndo maana hata tunaongoza kwa kufa kila siku.
Nachokuahidi wewe mwanamke hutofanikiwa kamwe kwa hvyo vituko vyako na maneno yako kwa mwenzako kisa umepata hvyo vijisent na hao wanaokudangsnya huko nje ni swala la muda tu utalia na kusaga meno.
Muheshimu sana mwanaume anayetoa 1m kati ya 3m ambzo ndo hela zake za mwisho kwa ajili yake mwsho usimkatie tamaa mwanaume aliye hai yangu ni hyo tu
Nishauri kodi imeisha na yeye kalala ndani nilipe kodi ilhali anauwezo wa kutoka na kufanya vibarua au niludi kwetu mana nikilipa napo atazidi kulemaakaa nae chini myazungumze ikiwezakana washirikishe na wazazi wake ila sio kumkimbia mbona yeye alikuwezesha 1M , kwamaana hiyo wewe uahalisahau hilo kabsa
Unajua toka mtoto anazaliwa hata kumnunulia nguo hajawahi ada yake ya shule haijui zaidi ya kula tu so sometimes naona niko peke angu tuKwanza rekebisha hapo kwa mwanae. Ni mwanao pia usiwe mbinafsi kihivyo
Pole sana dada Kwa uvumilivu na huyo marioo,Hangaika nae na tafuta jamaa zake au ndugu uwaelezee hayo,ila kazi ya udalali inalipa Kama anajifanya Kwa uaminifu!Mimi ni msichana nina miaka 26 nina mtoto mmoja ambae nimezaa na huyu mwanaume kiukweli nina changamoto ambayo nahisi kukataa tamaa iko hivyo mwaka 2019 nilikuta na huyu mwanaume nilimkuta akiwa anaishi mwenyewe kapanga chumba nikaingia nae kwenye mahusiano mwaka huo huo nikabeba mimba alikataa mwisho akibali akanitambulisha kwao nikajifungua yeye wakati huo ameajiliwa kiwandani..
Mwaka 2022 akaacha kazi kiwanda na kuchukua NSSF yake milioni 3 akanipa milioni moja nifungue biashara hela yake iliobaki alichafua kula starehe na rafiki zake ikapelekea hela yake kuisha na kuwa jobless maana kazi hana ikawa mimi ndo baba na mama wa kulisha familia kwa kutengemea biashara yangu mpaka ikafa biashara yenyewe maana mahitaji mengi kuliko faida ya biashara nikawa mama wa nyumbani na yeye hana kazi maisha magumu nikarudi kwetu na mwanangu yeye akawa anakuja ukweni kula na kuondoka hela hatoi maana hana kazi…
Mimi nikapambana nikachukua mkopo nikafungua biashara yangu huku nikimuhudumia yeye na mwanae kula nikasema ngoja nimtafutie kazi kila nikimtafutia kazi anakataa kufanya nikachoka mwisho akakubali kufanya japo mshahara wa kawaida huduma kutoa kawaida tu mimi ndo responsible wa vitu vingi akaacha kazi hiyo sehemu kwasababu ambazo hazina maana now hana kazi mimi ndo namlisha ndani haamki wala kuumiza kutafuta kazi anasema hataki kazi ngumu za viwanda kazi ni kulala tu ndani na kupiga simu za kufanya udalali ambazo hazina faida kodi imeisha wala hajisumbui naomba ushauri nimuache uyu mwanaume au maana nikiendelea kumlemaza naona najiumiza sana hajalishi anajali kiasi gani ila sio muajibikaji najikuta naumia kupambania familia mwenyewe nisaidie kimawazo ninaweza kujinyonga
Huo mfano wako sio halisi, huyo unayemsema ni mzazi mwenzio ambaye ulilala naye kitanda kimoja na kupanga maisha pamoja, na wakati anakupa hiyo milion moja hakuwa anakupa kama mtu bali bali Mwenza wake na lengo lilikuwa ni kutengeneza maisha, nimekuuliza swali je, unafikiri wote waliozalishwa na kuachwa wakipambana wenyewe walipewa hata hata hela achilia huo mtaji? Ulipaswa kuthamini kile ulipewa, labda nikuulize swali unaamini katika uwepo wa Mungu?Kaka nikuulize kitu mfano shida yako ww ilikua milioni mbili ili ufanye biashara ukamuomba mshikaji wako akusaidie akakupa ww ukafanikiwa kwenye biashara kias chake ukaenda kukaa kwa rafiki yako ambae alikusaidia ile ela lakini rafiki yako badaa ya kuona ww umefanikiwa akawa afanyi kazi anakutegemea ww umlishe ,umvishe ,kila kitu ww kisa alikusaidie milioni mbili na ukimwambia tafuta kazi rafiki yangu anakujibu kazi hamna ww ndo ujue maisha yake nijibu utafanyaje ikiwa upo na rafiki kama uyo unaishi nae ndani
Comment Bora kabisa mademu wanaroho mbaya sana ukifeli ndo utajua hili yeye kaliudumia miaka yote lakini lenyewe ni full drama *****Una matatizo makubwa we mbibi , japo eti unajiita msichana wa miaka 26 mwenye mtoto Mmoja,my friend usichana unaishia miaka 17, 18 wewe ni mama ukisha ingia kwenye familia,na miaka 26 wewe ni jibibi.
Mumeo alikupa milioni 1 uanzishe biashara,umeona mwenzio kaishiwa,sasa wewe umejiona huwezi hudumia familia,kwani familia ni ya nani hasa!? Ni yako na mumeo,na yeyote anawajibika nayo,wewe hudumia, kama huwezi Rudi kwenu tukuone na huo usichana wako wa mchongo utafika wapi!!
Wanawake ni viumbe wapumbavu sana, hamuwezi vumilia wanaume wenu wanapokuwa na changamoto,lakini sisi tunawavumilia in any condition. Mimi nakushauri uachane na huyo mwanamume kwakuwa umejiona wewe ni mpambanaji,umeingiwa na kiburi cha kutoweza tambua umuhimu na fadhira ulizofanyiwa na mumeo
Mwanaume akiwa anakupenda ana ridhika. Issue mna date na watu ambao hawawapendi. Nilikuja jifunza binafsi katika heka heka za maisha, kwanini nakosa uaminifu, baada ya kujichunguza sana nikaja kuona wote ninao wazingua sikuwa na wapenda kabisa bali nimekuwa na tamaa naoNi kweli na nilichojifunza wanaume hawaridhiki
Lakini kumbuka alimpa m1!Sijui nakushauri vibaya au lah
Lakini huyo mwanaume hakufai
Usitishwe na maneno ya watu ya kuitwa single mother kheri uwe single mother kuliko kua single married
Ondoka hapo acha aendelee kulala akiona haupo na wa kumuhudumia hamna atachagua yeye sasa afe njaa au atoke njee akatafute
Binti wanaume ni wabinafsi sana kama hujui thamani yako utayumbishwa mpaka useme hiki ni nini?
Hivi umewahi kuona mwanaume akiacha ndoto zake au mipango yake kisa mwanamke
Sisi ndio deileee tunajitilisha huruma
Na kuishia kutumika na kunyanyaswa kihisia na muda mwingine tunaacha ndoto zetu na mipango yatu kisa wanaume
Wao hata huku jukwaani kila siku wanapandishiana nyuzi kushauriana
Utasiki man to man fanya hivi
Sisi huku nyuma ya keyboard kudanganyana
Shoga angu vumilia wanaume ndivyo walivyo upuuzi tu
Usivumilie upumbavu ondoka mapema angali una nguvu za kujitafutia na kujilea mwenyewe sio unavumilia unakuja kukumbuka kuondoka umekua ajuza
Jifunze kumsoma mwanaume muongo mbinafsi na mlagai kimbia upesi usimpe hata sekunde ya kuendelea kunyonya energy yako 🙏
Narudia jifunze kusoma mtu una em date macho yako usiyatoe kwenye macho yake muangalie kama anachozongumza kinatoka ndani
Ukiwa makini na timamu Mwanaume tapeli hachukui round una mdaka
So tuendeelee kuwalisha ikiwa huna kilema ,wala ulemavu ulale ndani tu mwanaume mzimaNilipoona tu
Pesa yangu
Pesa yake
Biashara yangu
Alimkataa mtoto
Moja kwa moja wewe ni mbinafsi, hata jamaa akipata kazi bado kuna changamoto nyingine zitaibuka humo ndani,
Kwani yeye kabla ya kupoteza kazi alikuwa anatafuta pesa kwajili ya nani? Nawewe unatafuta kwajili ya nani? Endelea kuitumikia familia yako
Ni ukweli mchungu sijui nifanyejeMwanaume akiwa anakupenda ana ridhika. Issue mna date na watu ambao hawawapendi. Nilikuja jifunza binafsi katika heka heka za maisha, kwanini nakosa uaminifu, baada ya kujichunguza sana nikaja kuona wote ninao wazingua sikuwa na wapenda kabisa bali nimekuwa nikiwa ja atamaa nao
Shida nyinyi mnalemaa mnataka kulelewq na sisi tukiwalea ndo shida inapoanziaComment Bora kabisa mademu wanaroho mbaya sana ukifeli ndo utajua hili yeye kaliudumia miaka yote lakini lenyewe ni full drama *****
Usijute, ni sehemu ya wewe kujifunza. ( umejifunza jambo na limekufanya ukomae na uwe imara )Ni ukweli mchungu sijui nifanyeje
Pamoja na yote, kwanini mwanaume mwenzenu hataki kujishughulisha?
Hata kwa faida yake tu haoni umuhimu wa kutafuta kazi?
Kwamba kuna kipindi ambacho wote hawakuwa na kazi wakawa wanahudumiwa na wazazi wa mke. Mke kaona aibu akatafuta mkopo akaanza kutafuta ili maisha yaende, mume kakaa tu mpaka katafutiwa kazi ndogo ikamshinda akaona haimfai (of which ni haki yake kuacha huenda kweli haimkumfaa). Now anategemea udalali na udalali haumlipi bado hataki kutafuta kazi nyingine. Hivi kweli kwa mwanaume unayejielewa utakaa kutegemea udalali mdogo mdogo ambao haukuwezeshi hata kupeleka hela ya kula nyumbani?
Angekuwa ni kijana wako mkuu ungempongeza kwa hili? (Shauri tu kama mzazi mwenye huyo kijana) Maana akishabeba majukumu ya familia mtu anatakiwa ajielewe utoto aweke pembeni.
MY TAKE: Mtoa mada usimuache mume wako. Nyinyi bado ni vijana mna muda wa kutengeneza. Kama ni mtu ambaye hana shida nyingine isipokuwa ukosefu wa kazi tu don't leave him endelea kuzungumza nae na pia unapokuwa na nafasi ya kazi au biashara muunganishe.
MUHIMU, Usijiingize kwenye madeni usiyoyamudu, usiwe na huruma kupita kiasi ukamlemaza, jichunge usizae mtoto mwingine bila kujiweka sawa.
Asante sana natamani abadilike awe baba wa kuhudumia familia mana wakati mwengine naona kabisa mzigo uko juu yangu kama kumvumilia nimevumilia naisi kushindwaPamoja na yote, kwanini mwanaume mwenzenu hataki kujishughulisha?
Hata kwa faida yake tu haoni umuhimu wa kutafuta kazi?
Kwamba kuna kipindi ambacho wote hawakuwa na kazi wakawa wanahudumiwa na wazazi wa mke. Mke kaona aibu akatafuta mkopo akaanza kutafuta ili maisha yaende, mume kakaa tu mpaka katafutiwa kazi ndogo ikamshinda akaona haimfai (of which ni haki yake kuacha huenda kweli haimkumfaa). Now anategemea udalali na udalali haumlipi bado hataki kutafuta kazi nyingine. Hivi kweli kwa mwanaume unayejielewa utakaa kutegemea udalali mdogo mdogo ambao haukuwezeshi hata kupeleka hela ya kula nyumbani?
Angekuwa ni kijana wako mkuu ungempongeza kwa hili? (Shauri tu kama mzazi mwenye huyo kijana) Maana akishabeba majukumu ya familia mtu anatakiwa ajielewe utoto aweke pembeni.
MY TAKE: Mtoa mada usimuache mume wako. Nyinyi bado ni vijana mna muda wa kutengeneza. Kama ni mtu ambaye hana shida nyingine isipokuwa ukosefu wa kazi tu don't leave him endelea kuzungumza nae na pia unapokuwa na nafasi ya kazi au biashara muunganishe.
MUHIMU, Usijiingize kwenye madeni usiyoyamudu, usiwe na huruma kupita kiasi ukamlemaza, jichunge usizae mtoto mwingine bila kujiweka sawa.
Imeshaludi zaid ya hiyoMrudishie milion yake hafu muache.
WAKATI UNAOLEWA ULIKULA KEKI PEKEYAKO NA SASA MALIZANA NAE MSITUSUMBUE JAMANMimi ni msichana nina miaka 26 nina mtoto mmoja ambae nimezaa na huyu mwanaume kiukweli nina changamoto ambayo nahisi kukataa tamaa iko hivyo mwaka 2019 nilikuta na huyu mwanaume nilimkuta akiwa anaishi mwenyewe kapanga chumba nikaingia nae kwenye mahusiano mwaka huo huo nikabeba mimba alikataa mwisho akibali akanitambulisha kwao nikajifungua yeye wakati huo ameajiliwa kiwandani..
Mwaka 2022 akaacha kazi kiwanda na kuchukua NSSF yake milioni 3 akanipa milioni moja nifungue biashara hela yake iliobaki alichafua kula starehe na rafiki zake ikapelekea hela yake kuisha na kuwa jobless maana kazi hana ikawa mimi ndo baba na mama wa kulisha familia kwa kutengemea biashara yangu mpaka ikafa biashara yenyewe maana mahitaji mengi kuliko faida ya biashara nikawa mama wa nyumbani na yeye hana kazi maisha magumu nikarudi kwetu na mwanangu yeye akawa anakuja ukweni kula na kuondoka hela hatoi maana hana kazi…
Mimi nikapambana nikachukua mkopo nikafungua biashara yangu huku nikimuhudumia yeye na mwanae kula nikasema ngoja nimtafutie kazi kila nikimtafutia kazi anakataa kufanya nikachoka mwisho akakubali kufanya japo mshahara wa kawaida huduma kutoa kawaida tu mimi ndo responsible wa vitu vingi akaacha kazi hiyo sehemu kwasababu ambazo hazina maana now hana kazi mimi ndo namlisha ndani haamki wala kuumiza kutafuta kazi anasema hataki kazi ngumu za viwanda kazi ni kulala tu ndani na kupiga simu za kufanya udalali ambazo hazina faida kodi imeisha wala hajisumbui naomba ushauri nimuache uyu mwanaume au maana nikiendelea kumlemaza naona najiumiza sana hajalishi anajali kiasi gani ila sio muajibikaji najikuta naumia kupambania familia mwenyewe nisaidie kimawazo ninaweza kujinyonga
MTOE KWA MKOPO WAHI KABLA DIRISHA HALIJAFUNGWA 👌 ATAKULALIA HUYO HUNA PA KUPELEKAMimi ni msichana nina miaka 26 nina mtoto mmoja ambae nimezaa na huyu mwanaume kiukweli nina changamoto ambayo nahisi kukataa tamaa iko hivyo mwaka 2019 nilikuta na huyu mwanaume nilimkuta akiwa anaishi mwenyewe kapanga chumba nikaingia nae kwenye mahusiano mwaka huo huo nikabeba mimba alikataa mwisho akibali akanitambulisha kwao nikajifungua yeye wakati huo ameajiliwa kiwandani..
Mwaka 2022 akaacha kazi kiwanda na kuchukua NSSF yake milioni 3 akanipa milioni moja nifungue biashara hela yake iliobaki alichafua kula starehe na rafiki zake ikapelekea hela yake kuisha na kuwa jobless maana kazi hana ikawa mimi ndo baba na mama wa kulisha familia kwa kutengemea biashara yangu mpaka ikafa biashara yenyewe maana mahitaji mengi kuliko faida ya biashara nikawa mama wa nyumbani na yeye hana kazi maisha magumu nikarudi kwetu na mwanangu yeye akawa anakuja ukweni kula na kuondoka hela hatoi maana hana kazi…
Mimi nikapambana nikachukua mkopo nikafungua biashara yangu huku nikimuhudumia yeye na mwanae kula nikasema ngoja nimtafutie kazi kila nikimtafutia kazi anakataa kufanya nikachoka mwisho akakubali kufanya japo mshahara wa kawaida huduma kutoa kawaida tu mimi ndo responsible wa vitu vingi akaacha kazi hiyo sehemu kwasababu ambazo hazina maana now hana kazi mimi ndo namlisha ndani haamki wala kuumiza kutafuta kazi anasema hataki kazi ngumu za viwanda kazi ni kulala tu ndani na kupiga simu za kufanya udalali ambazo hazina faida kodi imeisha wala hajisumbui naomba ushauri nimuache uyu mwanaume au maana nikiendelea kumlemaza naona najiumiza sana hajalishi anajali kiasi gani ila sio muajibikaji najikuta naumia kupambania familia mwenyewe nisaidie kimawazo ninaweza kujinyonga
ndioHuo mfano wako sio halisi, huyo unayemsema ni mzazi mwenzio ambaye ulilala naye kitanda kimoja na kupanga maisha pamoja, na wakati anakupa hiyo milion moja hakuwa anakupa kama mtu bali bali Mwenza wake na lengo lilikuwa ni kutengeneza maisha, nimekuuliza swali je, unafikiri wote waliozalishwa na kuachwa wakipambana wenyewe walipewa hata hata hela achilia huo mtaji? Ulipaswa kuthamini kile ulipewa, labda nikuulize swali unaamini katika uwepo wa Mungu?