ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Nipo kigoma ndani ndaniUko wapi kwanza😂
Nipo kigoma ndani ndaniUko wapi kwanza😂
Kama ulikuepo ni analala ndani anaangalia muviTwende sawa hapa
Mke akiwa hana kazi kwa misingi ipi anajilemaza ?
Au anapambana kutafuta kazi
Ila bado hajapata?
hivi huoni huyo mwanaume hataki kutoa mguu ndani anataka alale aangalie movie kwenye flash
Huyo mwanaume angekua anafanya juhudu za kutafuta kazi asingelalamikiwa hata kidogo
Mkuu don't mess up with a woman,hawa watu hawana shukrani kabisa,kasahau huo mtaji ni mume wake alimpa ,hawa wanawake wenye malezi ya pande Moja ni hatari sana,huyu mwanamke ukifuatilia utaambiwa alilelewa na mzazi mmojaComment Bora kabisa mademu wanaroho mbaya sana ukifeli ndo utajua hili yeye kaliudumia miaka yote lakini lenyewe ni full drama *****
Angekua ajielewi hata iyo 1 million usinge iyona mama mpe time game itakaa sawaShida nyinyi mnalemaa mnataka kulelewq na sisi tukiwalea ndo shida inapoanzia
Hiyo M1 aliyotoa ndio inamfanya alale ndani kama anasubiri kuchenzwa ngoma🤣🤣Lakini kumbuka alimpa m1!
Vita na wanaume ndo kitu kinacho malizia ndoa nyingi sana. Na wanawake wa hudhani mwanaume ndo shida, ila hawajui nini kiko nyuma ya pazia. Wao hudhani ni rahisi tu, hudhani mwanaume ni mashine. Hudhani mapambano ya kitaa ni sawa na kubeti.Yaani mwanaume mzima alale ndani bila sababu za msingi kisa alitoa ka milion ka mtaji serious
Yaan haumwi wala hana kilema
Kwa sababu kapata uraibu wa kuhudumiwa ndio asinyanyuke kutafuta kazi hivi nyie wanaume kwanini mnajipa u special sana ?
True hawana shukrani kabisa mademu wanaroho mbayaMkuu don't mess up with a woman,hawa watu hawana shukrani kabisa,kasahau huo mtaji ni mume wake alimpa ,hawa wanawake wenye malezi ya pande Moja ni hatari sana,huyu mwanamke ukifuatilia utaambiwa alilelewa na mzazi mmoja
mambo yenu ya kuvumilia ndio mnakuja kuuliwa au kujikuta unajifia na depresion. Ukishaona kichwa kawa mweu ndani ya nyumbaa kaa mabali na huyo mtuAsante sana natamani abadilike awe baba wa kuhudumia familia mana wakati mwengine naona kabisa mzigo uko juu yangu kama kumvumilia nimevumilia naisi kushindwa
Inaonekana,hamwambii ukweli, Anaumia tuu moyoni na huyoo marioo anajua Hilo!Hiyo M1 aliyotoa ndio inamfanya alale ndani kama anasubiri kuchenzwa ngoma🤣🤣
Huyo mwanamke ni wale wenye nongwa aliona dume anapesa before na alikuwa na kazi, so sasa jamaa katemwa kazini anaonekana boyaDada, wanaume sometime in life tunapitia hardship kiasi cha kukwama kabsa kumudu huduma za familia. But niamini mimi hayupo mwanamke wa kusaidia kubeba majukumu ya mwenzake pasipo kelele na dharau,
Na akiyatoa nje kama huyu mtoa mada hawezi kunyoosha maelezo ili tu apate huruma na justification ya kukwepa jukumu lake la usaidizi japo ni kwa muda.
Siamini mwanaume timamu wa afya na akili atalala ndani bila sababu ilihali ana mtoto na mke wanamwangalia
Usichokijua naishi na wazazi wote na nimelelewa na banana mama alafu kusema wanawake hawana shukran ni uongo kupewa mtaji sio kigezo cha kutohudumia familiaMkuu don't mess up with a woman,hawa watu hawana shukrani kabisa,kasahau huo mtaji ni mume wake alimpa ,hawa wanawake wenye malezi ya pande Moja ni hatari sana,huyu mwanamke ukifuatilia utaambiwa alilelewa na mzazi mmoja
Acha roho mbaya best.Sijui nakushauri vibaya au lah
Lakini huyo mwanaume hakufai
Usitishwe na maneno ya watu ya kuitwa single mother kheri uwe single mother kuliko kua single married
Ondoka hapo acha aendelee kulala akiona haupo na wa kumuhudumia hamna atachagua yeye sasa afe njaa au atoke njee akatafute
Binti wanaume ni wabinafsi sana kama hujui thamani yako utayumbishwa mpaka useme hiki ni nini?
Hivi umewahi kuona mwanaume akiacha ndoto zake au mipango yake kisa mwanamke
Sisi ndio deileee tunajitilisha huruma
Na kuishia kutumika na kunyanyaswa kihisia na muda mwingine tunaacha ndoto zetu na mipango yatu kisa wanaume
Wao hata huku jukwaani kila siku wanapandishiana nyuzi kushauriana
Utasiki man to man fanya hivi
Sisi huku nyuma ya keyboard kudanganyana
Shoga angu vumilia wanaume ndivyo walivyo upuuzi tu
Usivumilie upumbavu ondoka mapema angali una nguvu za kujitafutia na kujilea mwenyewe sio unavumilia unakuja kukumbuka kuondoka umekua ajuza
Jifunze kumsoma mwanaume muongo mbinafsi na mlagai kimbia upesi usimpe hata sekunde ya kuendelea kunyonya energy yako 🙏
Narudia jifunze kusoma mtu una em date macho yako usiyatoe kwenye macho yake muangalie kama anachozongumza kinatoka ndani
Ukiwa makini na timamu Mwanaume tapeli hachukui round una mdaka
Akili kicwani mwakeInaonekana,hamwambii ukweli, Anaumia tuu moyoni na huyoo marioo anajua Hilo!
Namwambia ila inakua ni ugomvi na kero kwakeInaonekana,hamwambii ukweli, Anaumia tuu moyoni na huyoo marioo anajua Hilo!
Roho mbaya yangu iko wapiAcha roho mbaya best.
Hizi case zimekuwa nyingi, kuna dogo kazini nae ni binti mdogo maksini mzuri yeye ndio hadi alikopa na gari na mikopo kadhaa kwa ajiri ya kajamaa.. Mwisho wa siku binti akaanza kupata depresion ndio tumekuja mtoa kwenye huyo ujinga sasa hivi kaanza recover kidogo kidogo watoto wa kike kuna mahala wanapikwa kweli kweli nusu ya kufa na hawa vijana wa siku hiziInaonekana,hamwambii ukweli, Anaumia tuu moyoni na huyoo marioo anajua Hilo!
Ni mtazamo wakoVita na wanaume ndo kitu kinacho malizia ndoa nyingi sana. Na wanawake wa hudhani mwanaume ndo shida, ila hawajui nini kiko nyuma ya pazia. Wao hudhani ni rahisi tu, hudhani mwanaume ni mashine. Hudhani mapambano ya kitaa ni sawa na kubeti.
Wakishua achika wakaona how hard it is, ndo huwa wanakuja kuwa more toxic, wanaishia kutumika na hawaolew because tayari hawana sifa yoyote ya kuwa mama wa familia
Mkuu umeongea point kubwa sana ambayo vijana wengi hatuizingatii tuingiapo kwenye mahusiano.Ingawaje ni ngumu kuhukumu kwa habari za upande mmoja kwa maana muwamba ngoma huvuta upande wake......
Ngoja nidhanie ya kuwa uliyoyaandika ni ya kweli!!
Katika mizania ya kiume na dhana nzima ya uanamume huyo kijana amejiweka mbali au niseme amejivua uanamume na amebakiwa na jinsia ya kiume aliyozaliwa nayo!!
Kiasili mwanamume ni mtunzaji wa familia, mlinzi wa familia na kiongozi wa familia....dhana nzima ya uanamume inakamilishwa na utimilifu wa mambo hayo kwenye jinsia ya kiume...nje ya dhana hiyo hakuna uanamume bali unabakia uakiume kijinsia.....
Lakini pia siwezi kumhukumu moja kwa moja na kumtoa kwenye reli kwa asilimia mia kwa maana dunia ina mambo na kila mtu ana uwezo tofauti wa kukabiliana na mambo!!
Kwa mwanaume mwenye uanamume ndani yake kiasili kukosa kipato ni mtihani ambao unamtafuna ndani yake kuliko hata unavyoweza kudhani......na kwenye nyakati hizo ndio wanaume wanajikuta wanatumbukia kwenye uraibu na kukata tamaa kunakotasfiriwa kama ni uvivu......
Nikiwa kama mwanaume namdhania ya kuwa huyo mwanamume mwenzetu bado ana uanamume ndani yake isipokuwa amekata tamaa kwani pengine mipango ya ndoto zake haiendani na uhalisia wa fursa zilizopo mbele yake.....
Bila shaka atakuwa anahitaji faraja na kuliwazwa kama binadamu wengine wanapopitia magumu na wewe ndio mfariji wake ndio maana bado mpo pamoja......
Unapozungumza naye ongea naye kwa upole na sio kwa lugha ya ukali na yenye kukera au kudhalilisha maana nyinyi wanawake tunawajua.....
Yote kwa yote maisha ni safari ndefu yenye milima na mabonde.... pengine huo ndio mlima wenu na mnakaribia bondeni....Mungu ndiye ajuaye......
Duuh, pole yake!Hizi case zimekuwa nyingi, kuna dogo kazini nae ni binti mdogo maksini mzuri yeye ndio hadi alikopa na gari na mikopo kadhaa kwa ajiri ya kajamaa.. Mwisho wa siku binti akaanza kupata depresion ndio tumekuja mtoa kwenye huyo ujinga sasa hivi kaanza recover kidogo kidogo watoto wa kike kuna mahala wanapikwa kweli kweli nusu ya kufa na hawa vijana wa siku hizi