Strategist7
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 810
- 1,644
Kumhukumu mwamba kwa story ya upande mmoja. Nakutania bana. Aliyoyaandika mleta mada hata mimi nimeyashuhudia. Wapo wanaume irresponsible wengi sana tu.Roho mbaya yangu iko wapi
Kumhukumu mwamba kwa story ya upande mmoja. Nakutania bana. Aliyoyaandika mleta mada hata mimi nimeyashuhudia. Wapo wanaume irresponsible wengi sana tu.Roho mbaya yangu iko wapi
Kizazi cha sasa hivi, wanamke wa gen z wazito kufanya maamuzi mazito, ila vijana wa kiume ni fumba na kufumbua ana muacha mtu kwenye mataa ndio tofauti ya hawa watu wa siku hizi. ( mwanamke anakuwa mzito kuchukua uamuzi na mwanaume anachukua uamuzi kama upepo ) na hapa ndio napo panakuja pa kuwasaidia hawa watototDuuh, pole yake!
upande wa pili upo wapi😅Kumhukumu mwamba kwa story ya upande mmoja.
Yaani ni janga kubwaNakutania bana. Aliyoyaandika mleta mada hata mimi nimeyashuhudia. Wapo wanaume irresponsible wengi sana tu.
Hizi case zimekuwa nyingi, kuna dogo kazini nae ni binti mdogo maksini mzuri yeye ndio hadi alikopa na gari na mikopo kadhaa kwa ajiri ya kajamaa.. Mwisho wa siku binti akaanza kupata depresion ndio tumekuja mtoa kwenye huyo ujinga sasa hivi kaanza recover kidogo kidogo watoto wa kike kuna mahala wanapikwa kweli kweli nusu ya kufa na hawa vijana wa siku hizkwahy
Ushauri wako nimeuzingatia na nimejalibu mbinu zote hizo mpaka nafika hapa jua moyo umechoka nimetumia mbinu zote za kuongea kwa upole na utulivu na muda matokeo yake najibuwa ovyo imagine naamka asubuhi namuacha kalala ndani naludi kazini namkuta kalala ndani mtoti njaa inaumwa anajibu sina ela aiseii uvumilivu wangu naona hauna faidaIngawaje ni ngumu kuhukumu kwa habari za upande mmoja kwa maana muwamba ngoma huvuta upande wake......
Ngoja nidhanie ya kuwa uliyoyaandika ni ya kweli!!
Katika mizania ya kiume na dhana nzima ya uanamume huyo kijana amejiweka mbali au niseme amejivua uanamume na amebakiwa na jinsia ya kiume aliyozaliwa nayo!!
Kiasili mwanamume ni mtunzaji wa familia, mlinzi wa familia na kiongozi wa familia....dhana nzima ya uanamume inakamilishwa na utimilifu wa mambo hayo kwenye jinsia ya kiume...nje ya dhana hiyo hakuna uanamume bali unabakia uakiume kijinsia.....
Lakini pia siwezi kumhukumu moja kwa moja na kumtoa kwenye reli kwa asilimia mia kwa maana dunia ina mambo na kila mtu ana uwezo tofauti wa kukabiliana na mambo!!
Kwa mwanaume mwenye uanamume ndani yake kiasili kukosa kipato ni mtihani ambao unamtafuna ndani yake kuliko hata unavyoweza kudhani......na kwenye nyakati hizo ndio wanaume wanajikuta wanatumbukia kwenye uraibu na kukata tamaa kunakotasfiriwa kama ni uvivu......
Nikiwa kama mwanaume namdhania ya kuwa huyo mwanamume mwenzetu bado ana uanamume ndani yake isipokuwa amekata tamaa kwani pengine mipango ya ndoto zake haiendani na uhalisia wa fursa zilizopo mbele yake.....
Bila shaka atakuwa anahitaji faraja na kuliwazwa kama binadamu wengine wanapopitia magumu na wewe ndio mfariji wake ndio maana bado mpo pamoja......
Unapozungumza naye ongea naye kwa upole na sio kwa lugha ya ukali na yenye kukera au kudhalilisha maana nyinyi wanawake tunawajua.....
Yote kwa yote maisha ni safari ndefu yenye milima na mabonde.... pengine huo ndio mlima wenu na mnakaribia bondeni....Mungu ndiye ajuaye......
AsanteniMengi yamejadiliwa, ushauri wangu ni umebaki kufanya utekelezaji
Ni mtazamo wako
Pesa inayotafutwa na wanandoa nikwajili ya familia. Mtoa mada pesa yake inaitumikia familia yake, shida iko wapi?So tuendeelee kuwalisha ikiwa huna kilema ,wala ulemavu ulale ndani tu mwanaume mzima
Usijinyonge.Mimi ni msichana nina miaka 26 nina mtoto mmoja ambae nimezaa na huyu mwanaume kiukweli nina changamoto ambayo nahisi kukataa tamaa iko hivyo mwaka 2019 nilikuta na huyu mwanaume nilimkuta akiwa anaishi mwenyewe kapanga chumba nikaingia nae kwenye mahusiano mwaka huo huo nikabeba mimba alikataa mwisho akibali akanitambulisha kwao nikajifungua yeye wakati huo ameajiliwa kiwandani..
Mwaka 2022 akaacha kazi kiwanda na kuchukua NSSF yake milioni 3 akanipa milioni moja nifungue biashara hela yake iliobaki alichafua kula starehe na rafiki zake ikapelekea hela yake kuisha na kuwa jobless maana kazi hana ikawa mimi ndo baba na mama wa kulisha familia kwa kutengemea biashara yangu mpaka ikafa biashara yenyewe maana mahitaji mengi kuliko faida ya biashara nikawa mama wa nyumbani na yeye hana kazi maisha magumu nikarudi kwetu na mwanangu yeye akawa anakuja ukweni kula na kuondoka hela hatoi maana hana kazi…
Mimi nikapambana nikachukua mkopo nikafungua biashara yangu huku nikimuhudumia yeye na mwanae kula nikasema ngoja nimtafutie kazi kila nikimtafutia kazi anakataa kufanya nikachoka mwisho akakubali kufanya japo mshahara wa kawaida huduma kutoa kawaida tu mimi ndo responsible wa vitu vingi akaacha kazi hiyo sehemu kwasababu ambazo hazina maana now hana kazi mimi ndo namlisha ndani haamki wala kuumiza kutafuta kazi anasema hataki kazi ngumu za viwanda kazi ni kulala tu ndani na kupiga simu za kufanya udalali ambazo hazina faida kodi imeisha wala hajisumbui naomba ushauri nimuache uyu mwanaume au maana nikiendelea kumlemaza naona najiumiza sana hajalishi anajali kiasi gani ila sio muajibikaji najikuta naumia kupambania familia mwenyewe nisaidie kimawazo ninaweza kujinyonga
Vyovyote vile kikubwa nina jinsia ya kikeUna mtoto na bado ni msichana au mwanamke au hujui Kiswahili?
Mkuu hebu tu jaribu kugeuza mada iwe mwanaume kwa mke wake itakuwaje?. Wanawake waache ubinafsi kudadeki.Nilipoona tu
Pesa yangu
Pesa yake
Biashara yangu
Alimkataa mtoto
Moja kwa moja wewe binafsi, hata jamaa akipata kazi bado kuna changamoto nyingine zitaibuka humo ndani,
Kwani yeye kabla ya kupoteza kazi alikuwa anatafuta pesa kwajili ya nani? Nawewe unatafuta kwajili ya nani? Endelea kuitumikia familia yako
Shida sio kutumika familia shida tuna tumikiaje familia why nitumikie pekee yangu wanaume nyie too selfishPesa inayotafutwa na wanandoa nikwajili ya familia. Mtoa mada pesa yake inaitumikia familia yake, shida iko wapi?
Hivi why ipo hivyo ni huruma zetu auKizazi cha sasa hivi, wanamke wa gen z wazito kufanya maamuzi mazito, ila vijana wa kiume ni fumba na kufumbua ana muacha mtu kwenye mataa ndio tofauti ya hawa watu wa siku hizi. ( mwanamke anakuwa mzito kuchukua uamuzi na mwanaume anachukua uamuzi kama upepo ) na hapa ndio napo panakuja pa kuwasaidia hawa watotot
Amtunze mume wake kama alivyomtunza tena usikute hata hao watoto si wa manaume huyo.Kaeni chini zungumzeni. Ikiwezekana muwashirikishe na wazazi wenu au hata viongozi wenu wa dini. Siyo vizuri kujichukulia maamuzi nyinyi wenyewe pasipo kuwashirikisha watu wazima.
Majuto kivipi nyinyi mbona suala la kumuacha mwanamke mko fasta na hamuangalii majuto wala niniKaeni Chini Ongeeni Kuhusu Uwajibikaji Kulea Family
Usiwaze Haraka Kumwacha Utaambulia Majuto Zaidi
Tatua Lililokusibu
KabisaWanaume wengi humu ni gaslighters aisee! smh🙌
Nimezaa nae mtoto mmoja copy ya baba ake bila kuuliza wanaume tafute ela muhudumie familiaAmtunze mume wake kama alivyomtunza tena usikute hata hao watoto si wa manaume huyo.