- Thread starter
- #181
Haaaa ntaambiwa nimemkimbiaUsijinyonge.
Ondoka nenda mbali nae kapumzike.
Yani ujinyonge kisa mtu we dada
Haaaa ntaambiwa nimemkimbiaUsijinyonge.
Ondoka nenda mbali nae kapumzike.
Yani ujinyonge kisa mtu we dada
Hata yeye asingeweza kupimwa hivyo mambo yakomnyookea ni maisha yake kikubwa amjalie mtoto wakeVipi awe anakupima uvumilivu wako alafu ukisha muacha Mambo yanamnyookea utarudi?.
Alafu wake waje wale vya bure?.Asante ni ngumu kuwa upande wa mwanaume mwenzio lakini ili uepuke dharau na kiburi cha wanawake wanaume chenille kujibwwteka pambaneni
Nimesha kucheck PM..😋Asanteni
Nature yetu hatujaumbiwa kubeba majukumu kasome historia ya hawa na adamu ndo utajua majukumu ya mwanaume ni yapi na ya mwanamke ni yapiNdo hawa wanawake sasa eti wanataka usawa majukumu kidogo tu wanatema nyngo
Inasikitisha sana...Ndo hawa wanawake sasa eti wanataka usawa majukumu kidogo tu wanatema nyngo
Sasa kwanini usikae chini na mumeo?Nature yetu hatujaumbiwa kubeba majukumu kasome historia ya hawa na adamu ndo utajua majukumu ya mwanaume ni yapi na ya mwanamke ni yapi
KwakweliInasikitisha sana...
Kwanini wasema hayo? 😂Wanaume wengi humu ni gaslighters aisee! smh🙌
Tunakuja umu tukiwa na changamotoa ambazo tunaona hazina utatuzi lengo ni kupata ushauri na mitazamo ya watu wengiVipi wakati anakupa ile milion moja, mbona hukuja kusema
Samahani kukuuliza kama hautajali unamuaminije Mungundio
Unatoa laana kwenye maisha ya mtu bro uko sawa kiakilii wewe au ww ndo wote mnalelewa na wanawake mbona imekuchoma sanaWanawake washenzi sana tena ukitaka kujua kama ni washenzi,malimbukeni,hawana akili,wabinafsi, basi apate hela alafu wewe uwe apeche alolo aisee mbona dunia utaiona chungu.
Mwanamke mlishe hata miaka 10 yeye asitoe sh 10 yake lakini ukikosa ndani ya mwezi tu na yeye ndo akawa nacho peke yake hakika hakuna majina ambayo hutaaachwa kuitwa dadeki.
Mvivu,hujielewi,huna future na majina kama yote utaishia kupew.
Ifike hatua na sisi wanaume sasa tuamke hasa kwa hawa wanawake tunaoishi nao kwani tusipostuka tutaishia kwenye majuto makubwa na ndo maana hata tunaongoza kwa kufa kila siku.
Nachokuahidi wewe mwanamke hutofanikiwa kamwe kwa hvyo vituko vyako na maneno yako kwa mwenzako kisa umepata hvyo vijisent na hao wanaokudangsnya huko nje ni swala la muda tu utalia na kusaga meno.
Muheshimu sana mwanaume anayetoa 1m kati ya 3m ambzo ndo hela zake za mwisho kwa ajili yake mwsho usimkatie tamaa mwanaume aliye hai yangu ni hyo tu
Naonge la mwisho, achana nae kaa nae mbali hujazaliwa nae. Focus na maisha yako achana na mpuuzi huyo. Kaanze maisha upya ukiona analeta vagi kwenye kuondoka muachie kila kitu kaanze mojaUshauri wako nimeuzingatia na nimejalibu mbinu zote hizo mpaka nafika hapa jua moyo umechoka nimetumia mbinu zote za kuongea kwa upole na utulivu na muda matokeo yake najibuwa ovyo imagine naamka asubuhi namuacha kalala ndani naludi kazini namkuta kalala ndani mtoti njaa inaumwa anajibu sina ela aiseii uvumilivu wangu naona hauna faida
Kama imani inavyotaka mungu aaminiwe mimi ni mkristo nafunga na kusali na kutoa sadakaSamahani kukuuliza kama hautajali unamuaminije Mungu
Ujinga uliochanganyikana hurumaHivi why ipo hivyo ni huruma zetu au
Kwa namna ulivyoeleza si kama kwamba unatafuta ushauri, nadhani umeona uelekeo wa ushauri uliopokeaTunakuja umu tukiwa na changamotoa ambazo tunaona hazina utatuzi lengo ni kupata ushauri na mitazamo ya watu wengi
Imekuwaje tena umerudi kijana?Ndo hawa wanawake sasa eti wanataka usawa majukumu kidogo tu wanatema nyngo