version001
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 1,087
- 2,517
Muache uone, dili moja tu la udalali anatoka utabaki kulia
Siwezi kuwa mdogo wako, haitokaa ikatokea! nilijua unaenda forever! hii ni maajabu!Hahahaha Nimecheka kweli kweli
Weekend hii mdogo wangu detox imeisha
KaribuSawa endelea kuchuja chuya mkuu
Ni maisha yake kikubwa amjali mwanaeMuache uone, dili moja tu la udalali anatoka utabaki kulia
Kabisa!Kumbe na wewe katili namna hii?
Kwanini hujui naelekea 40s. Kwani huku soma uzi wangu? Nilimaanisha detox ya week moja tuu. Ambayo hata sijamaliza now niko sawaSiwezi kuwa mdogo wako, haitokaa ikatokea! nilijua unaenda forever! hii ni maajabu!
UngemnyooshajeWe unachekesha, wakae chini waongee nini yani? Tena huyu mwanamke mpole kmmk mi ndio ningemnyoosha huyo wa kujilaza ndani ka mlemavu mxiew!
Wewe unashida kwanza hata haueleweki unamsema vibaya mwanaume na ukiambiwa suluhu unaikataaDah nachoka shangazi yenu
Njoo inboxInteresting, kuna jambo nataka kukuambia pengine litakusaidia ila kwa hapa siwezi kulisema
Ndo najipanga mwezi ujao naondokUsiogope kuitwa single mother, eti kwasababu ya ndoa ukizizima ndoto zako,
Eti ukimuacha huto olewa tena,
Kuendelea kubaki na huyo mwanaume ni umekubali kuteseka maisha yako yote, kama anashindwa kuamka asubuh akatoka kwenda kutafuta hata kazi ya saidia fundi eti hawezi oooooh muda haukusubiri wew
Utakuja kuujutia huu muda unao upoteza aisee,
Kwasbabu uonekane umeolewa ndo ukae na li mwanaume livivu halina future oooh pole
AsanteNjoo inbox
Usijinyonge kisa upumbavu la mama, si una kwenu? haya rudisha majeshi mumeo akijitafakari upya na kutambua nafasi yake atarudi, huwezi kupambana kama we ndio umeoa! atleast angekuwa mlemavu au mgonjwa! kwenye kipindi kigumu ka hicho mwanaume anajilaza geto ka msenge, kwanini asijishushe akafanya hata vibarua mpaka kazi ya maana itakapopatikana! ana raise standards anachagua kazi wakati anaona kabisa hali imeshakaza! mwanaume mwenye utimamu wa akili anawezaje kuwa na ujasiri wa kula ugali wa ukweni? kuna species zina roho ngumu hatari! We mama hebu changamsha kichwa, rudi home weka mtoto hapo tafuta mishe kwanza achana na michango ya kishamba ya humu! Yani nijinyonge kisa limbwa tu?labda sio mimi aisee..!Ndo ninapoelekea hivyo
Asilimia 99 ya wanawake ni malaya, tofauti ni namna ya kujiuza tu. Ulivooewa milioni moja ambayo yeye aliitafuta kabla hamjakutana uliomba ushauri wapi? Ulikaa kimya ukajiskia raha tu, si ndio??Mimi ni msichana nina miaka 26 nina mtoto mmoja ambae nimezaa na huyu mwanaume kiukweli nina changamoto ambayo nahisi kukataa tamaa iko hivyo mwaka 2019 nilikuta na huyu mwanaume nilimkuta akiwa anaishi mwenyewe kapanga chumba nikaingia nae kwenye mahusiano mwaka huo huo nikabeba mimba alikataa mwisho akibali akanitambulisha kwao nikajifungua yeye wakati huo ameajiliwa kiwandani..
Mwaka 2022 akaacha kazi kiwanda na kuchukua NSSF yake milioni 3 akanipa milioni moja nifungue biashara hela yake iliobaki alichafua kula starehe na rafiki zake ikapelekea hela yake kuisha na kuwa jobless maana kazi hana ikawa mimi ndo baba na mama wa kulisha familia kwa kutengemea biashara yangu mpaka ikafa biashara yenyewe maana mahitaji mengi kuliko faida ya biashara nikawa mama wa nyumbani na yeye hana kazi maisha magumu nikarudi kwetu na mwanangu yeye akawa anakuja ukweni kula na kuondoka hela hatoi maana hana kazi…
Mimi nikapambana nikachukua mkopo nikafungua biashara yangu huku nikimuhudumia yeye na mwanae kula nikasema ngoja nimtafutie kazi kila nikimtafutia kazi anakataa kufanya nikachoka mwisho akakubali kufanya japo mshahara wa kawaida huduma kutoa kawaida tu mimi ndo responsible wa vitu vingi akaacha kazi hiyo sehemu kwasababu ambazo hazina maana now hana kazi mimi ndo namlisha ndani haamki wala kuumiza kutafuta kazi anasema hataki kazi ngumu za viwanda kazi ni kulala tu ndani na kupiga simu za kufanya udalali ambazo hazina faida kodi imeisha wala hajisumbui naomba ushauri nimuache uyu mwanaume au maana nikiendelea kumlemaza naona najiumiza sana hajalishi anajali kiasi gani ila sio muajibikaji najikuta naumia kupambania familia mwenyewe nisaidie kimawazo ninaweza kujinyonga
Unategemea kila ushauri nichukue we kuweza nasoma ushauri ambao naona unafaaWewe unashida kwanza hata haueleweki unamsema vibaya mwanaume na ukiambiwa suluhu unaikataa
Vijana wameharibika, yani ambao wanaamika kuwa vichwa vya familia wame haribika kwa kiwango kikubwa, na ndio maana wana waza uharibifu kila mahala ( hata wakapewa kitu cha thamani wanawaza uharibifu tu ) utaona mahusiano hawawezi ndoa hawawezi kwasababu wao wenyewe wameharibika na wanapeleka huo uharibifu kwa watoto wa kike. Mwisho wa siku tunalalama kwa habari ya uharibifu wa wanawake pasipo kuona waliosanabisha uharibifu wenyeweMleta mada anahangaika kujibu vijana wavivu wanaotaka mwanamke mwenye mtoto mdogo awalishe! ila kizazi cha sasa ni mtihani mzito! Hili ni pigo aisee!
Mawazo yako tayari nayafanyia kazi na soon naludi nyumbaniUsijinyonge kisa upumbavu la mama, si una kwenu? haya rudisha majeshi mumeo akijitafakari upya na kutambua nafasi yake atarudi, huwezi kupambana kama we ndio umeoa! atleast angekuwa mlemavu au mgongwa! kwenye kipindi kigumu ka hicho mwanaume anajilaza geto ka msenge, kwanini asijishushe akafanya hata vibarua mpaka kazi ya maana itakapopatikana! ana raise standards anachagua kazi wakati anaona kabisa hali imeshakaza! mwanaume mwenye utimamu wa akili anawezaje kuwa na ujasiri wa kula ugali wa ukweni? kuna species zian roho ngumu hatari! We mama hebu changamsha kichwa, rudi home weka mtoto hapo tafuta mishe kwanza achana na michango ya kishamba ya humu! Yani nijinyonge kisa limbwa tu?labda sio mimi aisee..!
Mimi aliposema tu anamtafutia kazi halafu hataki au anachagua..vingine vyote vinamtokea yoyote ila huu upumbavu huu!Unajua what lacks there ni mawasiliano. Huyo mwanamke anaumia ndani because hajui mumewe anapitia nini. Hajui yeye a nadhani ni rahisi. Hapo angeongea nae akajua nini kinamfanya akate tamaa ingemsaidia kujua wanaanza wapi
Humu kuna wanaume wengi kuliko wanawake, hivyo lazima wamtetee huyo mwanaume mwenzao mjinga mjingaNdo najipanga mwezi ujao naondok