Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

Hizi story za kuomba ushauri zikiwa one sided story nj ngumu sana. Huyo jamaa yako naye anaweza kuwa na story tofauti na uliyosema hapa.
Possibly unazijua changamoto zake zingine ambazo hujataka kuziweka hapa au huzijui na jamaa hajakwambia. Maybe kuna vitu jamaa hajakwambia ukweli. Ni ngumu sana mtu mwanaume kuacha kutafuta kazi huku akiwa na mke na mtoto.
Tunaomba kusikia upande wa jamaa yako pia.
Haaaa ndo mana mnakufa mapema sasa kama huwezi kumwambia mkeo utamwqmbia nani ,changamoto gani ambao inakufanya usifanye kazi ikiwa una utimamu nasio mlemavu wala kiwete
 
Kwanza mwanamke kuwa breadwinner sio sawa yani mtu huumwi huna kilema una utimamu pambania familia. Imagine wana mtoto mmoja apo utakuta wanaishi single room jamaa analala ndani kula na kula mzigo aongeze watoto yani unashangaa circle ya umaskia hadi kwa watoto haiishi ..
Imagine huna hela unapata ujasiri wa kwenda kula ukweni alafu na humu wanaume wanamtetea mvulana huyo anaelala ndani we have to man up enough to clean our own messy
Tuko single room wala hajisumbui kutafuta kaiz
 
Mimi ni msichana nina miaka 26 nina mtoto mmoja ambae nimezaa na huyu mwanaume kiukweli nina changamoto ambayo nahisi kukataa tamaa iko hivyo mwaka 2019 nilikuta na huyu mwanaume nilimkuta akiwa anaishi mwenyewe kapanga chumba nikaingia nae kwenye mahusiano mwaka huo huo nikabeba mimba alikataa mwisho akibali akanitambulisha kwao nikajifungua yeye wakati huo ameajiliwa kiwandani..

Mwaka 2022 akaacha kazi kiwanda na kuchukua NSSF yake milioni 3 akanipa milioni moja nifungue biashara hela yake iliobaki alichafua kula starehe na rafiki zake ikapelekea hela yake kuisha na kuwa jobless maana kazi hana ikawa mimi ndo baba na mama wa kulisha familia kwa kutengemea biashara yangu mpaka ikafa biashara yenyewe maana mahitaji mengi kuliko faida ya biashara nikawa mama wa nyumbani na yeye hana kazi maisha magumu nikarudi kwetu na mwanangu yeye akawa anakuja ukweni kula na kuondoka hela hatoi maana hana kazi…

Mimi nikapambana nikachukua mkopo nikafungua biashara yangu huku nikimuhudumia yeye na mwanae kula nikasema ngoja nimtafutie kazi kila nikimtafutia kazi anakataa kufanya nikachoka mwisho akakubali kufanya japo mshahara wa kawaida huduma kutoa kawaida tu mimi ndo responsible wa vitu vingi akaacha kazi hiyo sehemu kwasababu ambazo hazina maana now hana kazi mimi ndo namlisha ndani haamki wala kuumiza kutafuta kazi anasema hataki kazi ngumu za viwanda kazi ni kulala tu ndani na kupiga simu za kufanya udalali ambazo hazina faida kodi imeisha wala hajisumbui naomba ushauri nimuache uyu mwanaume au maana nikiendelea kumlemaza naona najiumiza sana hajalishi anajali kiasi gani ila sio muajibikaji najikuta naumia kupambania familia mwenyewe nisaidie kimawazo ninaweza kujinyonga
Kuna husda amefanyiwa na mpenzi wake wa zamani sana,muweke sawa,mambo yatakuwa safi...(Maisha ya leo bila kuzunguka kidogo ngumu wivu wa kijinga umekuwa mwingi)
 
Hizi story za kuomba ushauri zikiwa one sided story nj ngumu sana. Huyo jamaa yako naye anaweza kuwa na story tofauti na uliyosema hapa.
Possibly unazijua changamoto zake zingine ambazo hujataka kuziweka hapa au huzijui na jamaa hajakwambia. Maybe kuna vitu jamaa hajakwambia ukweli. Ni ngumu sana mtu mwanaume kuacha kutafuta kazi huku akiwa na mke na mtoto.
Tunaomba kusikia upande wa jamaa yako pia.
Huyo mvulana hata kama anasingiziwa vipi, kitendo cha kuchagua kazi,kujilaza geto na kula ukweni ni jipu tosha!
 
Mtu kapata milioni 3 , kakupa milioni moja halafu unasema biashara imekufa ukachukua mkopo.
Maelezo yako yana maswali mengi kuliko majibu.
 
Haaaa ndo mana mnakufa mapema sasa kama huwezi kumwambia mkeo utamwqmbia nani ,changamoto gani ambao inakufanya usifanye kazi ikiwa una utimamu nasio mlemavu wala kiwete
Yaweza kuwa mambo ya kutia fedhea mkuu aliyofanyiwa huko kwenye ajira za viwandani😂😂
 
Dada, wanaume sometime in life tunapitia hardship kiasi cha kukwama kabsa kumudu huduma za familia. But niamini mimi hayupo mwanamke wa kusaidia kubeba majukumu ya mwenzake pasipo kelele na dharau,

Na akiyatoa nje kama huyu mtoa mada hawezi kunyoosha maelezo ili tu apate huruma na justification ya kukwepa jukumu lake la usaidizi japo ni kwa muda.

Siamini mwanaume timamu wa afya na akili atalala ndani bila sababu ilihali ana mtoto na mke wanamwangalia
Ni ngumu sana na kuna mikoa nimekaa yani mtu kulelewa kawaida kuna miaka nilikua mtwara wanavyoishi wamakonde unasema duuh mbona noma
 
Ni kweli tunapitia magumu lakini sio kulala ndanii na kuona mke na mtoto wanastrugle.. tunapitia magumu lakini sio kwenda kula ukweni mzee alafu million kitu gani mzee sasa mbona mtu unampa mtu simu ya 4M na unatoa kwa sababu ya upendo yani kampa mkewe 1M yeye kala bata na masela mavi 2M alafu leo aseme hataki kazi basi mpe mwenzio plan B kwamba nina mchoro flani nauweka ..
Na mpaka huyo mkewe kaja hapa ujue ni issue ya muda mrefu sio mwezi au miezi 3 ishakua uraibu
Hawachekechi ni kulipuka tu ilimradi imegusa uhaisia wao!
 
Hizi story za kuomba ushauri zikiwa one sided story nj ngumu sana. Huyo jamaa yako naye anaweza kuwa na story tofauti na uliyosema hapa.
Possibly unazijua changamoto zake zingine ambazo hujataka kuziweka hapa au huzijui na jamaa hajakwambia. Maybe kuna vitu jamaa hajakwambia ukweli. Ni ngumu sana mtu mwanaume kuacha kutafuta kazi huku akiwa na mke na mtoto.
Tunaomba kusikia upande wa jamaa

Kuna husda amefanyiwa na mpenzi wake wa zamani sana,muweke sawa,mambo yatakuwa safi...(Maisha ya leo bila kuzunguka kidogo ngumu wivu wa kijinga umekuwa mwingi)
Nakataa husband nakutojishughulisha kutafuta kazi havihusiani
 
Huyo mvulana hata kama anasingiziwa vipi, kitendo cha kuchagua kazi,kujilaza geto na kula ukweni ni jipu tosha!
Ila hapo kwenye kula ukweni ni balaa. Inasikitisha sana, jamaa yaweza kuwa mtu wa Dar es salaam.
 
Yaweza kuwa mambo ya kutia fedhea mkuu aliyofanyiwa huko kwenye ajira za viwandani😂😂
Ni mengi ila nilimshika mkono na kumtafutia kazi sehemu nyengine lakini hashikiki
 
Una maanisha mimi ni nuksi ndo mana maisha yake yamevurugika nenda kwenye point unachomanisha
No, siamini kwenye hayo mambo ya nuksi na mikosi. Lakini wanawake mna influence kubwa sana kwenye saikolojia ya mwanaume. The na hua inakua vibaya sana kama jambo jema lika turn out kua painful. Sijamaanisha liwe baya, bado ni jema lakini ni painful.

Jifunze namna nzuri ya ku connect nae, then talk to him. Muokoe wakiti bado mambo hayajawa mabaya zaidi. Huo mpito wanaume wengi tunapitia, tofauti ni intensity tu, wengine wanazidi(kama huyo).

Thought hujatuambia ukweli wote(from your side), i think he worth fighting for. USIMKATIE TAMAA MWANAUME AKIWA BADO ANAPUMUA.
 
Niulize ntakujibu mimi ndo muhusika wala usijar mana siko hapa kumkandamiza huyu mwenzangu ila kuhitaji ushauri
Wewe ndio unaishi naye, unajua ukweli wote. Hakuna atakayekupa ushauri sahihi ila kwa umri wako tayari umekomaa kiakoli, chukua maamuzi unayoona yabafaa maana lolote litakalotojea hao unaohitaji ushauri kwao hautawaona.
 
Back
Top Bottom