Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

Asilimia 99 ya wanawake ni malaya, tofauti ni namna ya kujiuza tu. Ulivooewa milioni moja ambayo yeye aliitafuta kabla hamjakutana uliomba ushauri wapi? Ulikaa kimya ukajiskia raha tu, si ndio??

Acha mawazo ya kijinga, kaa na basha ako muulize anachangamoto gani. Wanaume tunapitia nyakati ngumu sana na hatunaga sehem ya kusema cos no body cares for a man's piece of mind, NO BODY. Wanaume tunakufa bila tarehe, jamaako kashaanza kufa ndani.

Wakati anao kuhitaji zaidi wewe ndo unataka kumkimbia!!!! Pumbavu sana
Kupewa milioni sio tiketi ya kutohudumia familia zingatia ilo
 
Vijana wameharibika, yani ambao wanaamika kuwa vichwa vya familia wame haribika kwa kiwango kikubwa, na ndio maana wana waza uharibifu kila mahala ( hata wakapewa kitu cha thamani wanawaza uharibifu tu ) utaona mahusiano hawawezi ndoa hawawezi kwasababu wao wenyewe wameharibika na wanapeleka huo uharibifu kwa watoto wa kike. Mwisho wa siku tunalalama kwa habari ya uharibifu wa wanawake pasipo kuona waliosanabisha uharibifu wenyewe
Kizazi kimeharibika sana yaani me wanaume mizima inatetewa kulelewa
 
Sijui nakushauri vibaya au lah

Lakini huyo mwanaume hakufai
Usitishwe na maneno ya watu ya kuitwa single mother kheri uwe single mother kuliko kua single married

Ondoka hapo acha aendelee kulala akiona haupo na wa kumuhudumia hamna atachagua yeye sasa afe njaa au atoke njee akatafute

Binti wanaume ni wabinafsi sana kama hujui thamani yako utayumbishwa mpaka useme hiki ni nini?

Hivi umewahi kuona mwanaume akiacha ndoto zake au mipango yake kisa mwanamke

Sisi ndio deileee tunajitilisha huruma
Na kuishia kutumika na kunyanyaswa kihisia na muda mwingine tunaacha ndoto zetu na mipango yatu kisa wanaume

Wao hata huku jukwaani kila siku wanapandishiana nyuzi kushauriana
Utasiki man to man fanya hivi

Sisi huku nyuma ya keyboard kudanganyana
Shoga angu vumilia wanaume ndivyo walivyo upuuzi tu

Usivumilie upumbavu ondoka mapema angali una nguvu za kujitafutia na kujilea mwenyewe sio unavumilia unakuja kukumbuka kuondoka umekua ajuza

Jifunze kumsoma mwanaume muongo mbinafsi na mlagai kimbia upesi usimpe hata sekunde ya kuendelea kunyonya energy yako

Narudia jifunze kusoma mtu una em date macho yako usiyatoe kwenye macho yake muangalie kama anachozongumza kinatoka ndani

Ukiwa makini na timamu Mwanaume tapeli hachukui round una mdaka
The devil at work
 
Humu kuna wanaume wengi kuliko wanawake, hivyo lazima wamtetee huyo mwanaume mwenzao mjinga mjinga

Hawo wote wanao mtetea ni wanaume wenzie,

Angekua na moyo wa kupambana angeamka kwenda kutafuta hata kazi ya kubeba mizigo hata jion akirud na 2000 angalau

Lakini huyo moyo hana na hana future
Umeishii kwenye ninayopitia mtu hawezi elegant inaumiza sana kuamkaa asubuh wakt mwenzio kalala
 
Mimi aliposema tu anamtafutia kazi halafu hataki au anachagua..vingine vyote vinamtokea yoyote ila huu upumbavu huu!
Kabisa mana nilimtafutia kazi sehemu kwa siku elfu kumi wanalipwa akaniuliza wapi nikamwambie mbagara ooh halipi nauli itakosti nikasema sawa kazi hakufanya nikamwambia kazi ya ulinzi mshahara laki mbili na 20 kakataa niambie nimbebeje
 
Kupewa milioni sio tiketi ya kutohudumia familia zingatia ilo
Elewa nilicho maanisha. Siongelei ndo sababu, nakuona sio mvumilivu na usahau fadhira mapema saana.

Kwanza sometimes jiulize tu kwanini maisha yake yamevurugika baada ya wewe kuingia? Umewahi kukaa ukajiuliza hilo swali?
 
Vijana wameharibika, yani ambao wanaamika kuwa vichwa vya familia wame haribika kwa kiwango kikubwa, na ndio maana wana waza uharibifu kila mahala ( hata wakapewa kitu cha thamani wanawaza uharibifu tu ) utaona mahusiano hawawezi ndoa hawawezi kwasababu wao wenyewe wameharibika na wanapeleka huo uharibifu kwa watoto wa kike. Mwisho wa siku tunalalama kwa habari ya uharibifu wa wanawake pasipo kuona waliosanabisha uharibifu wenyewe
Kabisa! nimeona wengi tu humu wanajiliza sijui wanaumia kwa ndani, mara hawana pa kusemea yani wanalialia tu mwishowe wnachukua nafasi zetu na wao wanaolewa! upumbavu mtupu! As if wamefanya research wakaona kila mwanamke ana pa kusemea a akasaidika, au wanawake ndio wanaumia kwa nje? yani ujinga ujinga tu wa gender issues zisizo wasaidia lolote!
 
sisi ni special bhana regardless..

tatizo letu sisi tunajiona tupo sahihi kwa kila kitu hata kama sio, unakuta mwanaume kaoa mwanamke sahihi ila mwanamke hajaolewa na mwanaume sahihi ndo changamoto zisizokua na kichwa wala miguu zinajitokeza and sikuiz imekua common sana. Unakuta mwanaume anajificha kwenye kichaka cha "nataka mwanamke mpambanaji sio goalkeeper" ili kukwepa majukumu
Kwanza mwanamke kuwa breadwinner sio sawa yani mtu huumwi huna kilema una utimamu pambania familia. Imagine wana mtoto mmoja apo utakuta wanaishi single room jamaa analala ndani kula na kula mzigo aongeze watoto yani unashangaa circle ya umaskia hadi kwa watoto haiishi ..
Imagine huna hela unapata ujasiri wa kwenda kula ukweni alafu na humu wanaume wanamtetea mvulana huyo anaelala ndani we have to man up enough to clean our own messy
 
Mimi ni msichana nina miaka 26 nina mtoto mmoja ambae nimezaa na huyu mwanaume kiukweli nina changamoto ambayo nahisi kukataa tamaa iko hivyo mwaka 2019 nilikuta na huyu mwanaume nilimkuta akiwa anaishi mwenyewe kapanga chumba nikaingia nae kwenye mahusiano mwaka huo huo nikabeba mimba alikataa mwisho akibali akanitambulisha kwao nikajifungua yeye wakati huo ameajiliwa kiwandani..

Mwaka 2022 akaacha kazi kiwanda na kuchukua NSSF yake milioni 3 akanipa milioni moja nifungue biashara hela yake iliobaki alichafua kula starehe na rafiki zake ikapelekea hela yake kuisha na kuwa jobless maana kazi hana ikawa mimi ndo baba na mama wa kulisha familia kwa kutengemea biashara yangu mpaka ikafa biashara yenyewe maana mahitaji mengi kuliko faida ya biashara nikawa mama wa nyumbani na yeye hana kazi maisha magumu nikarudi kwetu na mwanangu yeye akawa anakuja ukweni kula na kuondoka hela hatoi maana hana kazi…

Mimi nikapambana nikachukua mkopo nikafungua biashara yangu huku nikimuhudumia yeye na mwanae kula nikasema ngoja nimtafutie kazi kila nikimtafutia kazi anakataa kufanya nikachoka mwisho akakubali kufanya japo mshahara wa kawaida huduma kutoa kawaida tu mimi ndo responsible wa vitu vingi akaacha kazi hiyo sehemu kwasababu ambazo hazina maana now hana kazi mimi ndo namlisha ndani haamki wala kuumiza kutafuta kazi anasema hataki kazi ngumu za viwanda kazi ni kulala tu ndani na kupiga simu za kufanya udalali ambazo hazina faida kodi imeisha wala hajisumbui naomba ushauri nimuache uyu mwanaume au maana nikiendelea kumlemaza naona najiumiza sana hajalishi anajali kiasi gani ila sio muajibikaji najikuta naumia kupambania familia mwenyewe nisaidie kimawazo ninaweza kujinyonga
Hizi story za kuomba ushauri zikiwa one sided story nj ngumu sana. Huyo jamaa yako naye anaweza kuwa na story tofauti na uliyosema hapa.
Possibly unazijua changamoto zake zingine ambazo hujataka kuziweka hapa au huzijui na jamaa hajakwambia. Maybe kuna vitu jamaa hajakwambia ukweli. Ni ngumu sana mtu mwanaume kuacha kutafuta kazi huku akiwa na mke na mtoto.
Tunaomba kusikia upande wa jamaa yako pia.
 
Elewa nilicho maanisha. Siongelei ndo sababu, nakuona sio mvumilivu na usahau fadhira mapema saana.

Kwanza sometimes jiulize tu kwanini maisha yake yamevurugika baada ya wewe kuingia? Umewahi kukaa ukajiuliza hilo swali?
Una maanisha mimi ni nuksi ndo mana maisha yake yamevurugika nenda kwenye point unachomanisha
 
Kabisa mana nilimtafutia kazi sehemu kwa siku elfu kumi wanalipwa akaniuliza wapi nikamwambie mbagara ooh halipi nauli itakosti nikasema sawa kazi hakufanya nikamwambia kazi ya ulinzi mshahara laki mbili na 20 kakataa niambie nimbebeje
Anataka za kuzunguka kwenye kiti na kiyoyozi juu sio? Habebeki usharobaro mwingi hana hata haya mshenzi mmoja!
 
Asilimia 99 ya wanawake ni malaya, tofauti ni namna ya kujiuza tu. Ulivooewa milioni moja ambayo yeye aliitafuta kabla hamjakutana uliomba ushauri wapi? Ulikaa kimya ukajiskia raha tu, si ndio??

Acha mawazo ya kijinga, kaa na basha ako muulize anachangamoto gani. Wanaume tunapitia nyakati ngumu sana na hatunaga sehem ya kusema cos no body cares for a man's piece of mind, NO BODY. Wanaume tunakufa bila tarehe, jamaako kashaanza kufa ndani.

Wakati anao kuhitaji zaidi wewe ndo unataka kumkimbia!!!! Pumbavu sana
Ni kweli tunapitia magumu lakini sio kulala ndanii na kuona mke na mtoto wanastrugle.. tunapitia magumu lakini sio kwenda kula ukweni mzee alafu million kitu gani mzee sasa mbona mtu unampa mtu simu ya 4M na unatoa kwa sababu ya upendo yani kampa mkewe 1M yeye kala bata na masela mavi 2M alafu leo aseme hataki kazi basi mpe mwenzio plan B kwamba nina mchoro flani nauweka ..
Na mpaka huyo mkewe kaja hapa ujue ni issue ya muda mrefu sio mwezi au miezi 3 ishakua uraibu
 
Back
Top Bottom