Alie toa kikubwa sie ndo alotoa kingingi. Naonga simu ya 4M na nina 700m its nothing. Lakini kutoa 1 ya 3 ya ulichonacho its bold.
Sisaport mwanaume alale ndani ni MARUFU, Sisaport mwanaume kula ukweni, hii ni aibu kubwa mno, kwa mtu kama mimi bora nife njaa.
Alaf tumuulize dada eti atuambie jamaa alikua anafanya kazi gani, alivoacha kazi now dada anamtafutia jamaa kazi gani ambazo hazitaki.
Pia jambo linaweza likawa la muda mrefu ndio hatukatai, katumia namna gani ya usaidizi wa kisaikolojia kwa huyo jamaa.. Ni jambo gumu sana kwa mtu anayehisi anaonewa kuongea upande wake anaokosea, lazima ataongelea upande anaokosewa ili athibitishe ameonewa.
Nimepitia hizi nyakati, na nnakumbuka vizuri like it was yesterday. That niggro needs help. He is a good man, he just forgot how to live