realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,450
- 19,184
Wasalimie Babu zetu.Ndo ninapoelekea hivyo
Huyo mtoto unamuacha wapi
Wasalimie Babu zetu.Ndo ninapoelekea hivyo
Wanawake hawajua hili. Wanasema jamaa anakimbia majuku. Nimejikuta nacheka pekeangu.Ni phase muhimu sana ambayo kila mwanaume hupaswa kupitia maana society will never give you any other chance.
Ukiyasema ni sawa na kuonesha kidonda, hata hawa wanawake wanaosema uyaseme will be first ones to use that against you
So inabidi upitie hiyo phase mbaya ya maumivu makali na ifike mahala ya kufanya ujione huna thamani then ukivuka sasa unakuwa unstoppable
Ana hamu na kukatisha maisha mapema kisa mtu mzima ovyo.Hahaha huyo ana attachment disorder
Nilisha mwambie kwenye comments kandaa nyuma, atafute wanaume wenzie awaambie ukweli wote kuhusu jamaa na kuhusu yeye mwanamke, then awaache wanaume wamnoe mwenzao maana ninauhakika wanaijua hii hatua.Mazungumzo na huyo wanamke hayatamsaidia, labda atafte mtu wanae aminiana na kama hakuna inabidi aisake fire ndani yake iliyo zimwa na dunia
Kama anampenda inabidi akae nae chiniAna hamu na kukatisha maisha mapema kisa mtu mzima ovyo.
KabisaKama anampenda inabidi akae nae chini
Tunakubali survival mechanism zenu na sisi mkubali survival mechanism zetu. Ndio maana ya jamii.Kukosa pa kusema sio choice, hiyo ni survival mechanism katika jamii iliyo normalize masculinity kuwa strong
Mkuu hilo swala ni gumu sana wao kulielewa. Wao wanajua mwanaume ni kiumbe strong na hakuna cha kumyumbisha, na hata yeye. Hawezi kupitia depression kama wao, wanahisi hana hisia, hana mental breakdown, hana emotional demage. Wao wanajua mwanaume akifanya hivyo jua hakupendi au anakutumiaWanawake hawajua hili. Wanasema jamaa anakimbia majuku. Nimejikuta nacheka pekeangu.
Bado sioni kama ni sahihi kwa mwanamke kunambia mimi sijui maana ya unaume ingawa nimepita majukumu na kuna wengine kama yeye wanafika climax kila siku. Sawa unapitia kwenye nyakati ngumu lakini matusi hayajengi.Hujui mana ya uanaume ww uchague kazi na hujui unakula nn bado hujapatwa na shida ukipatwa na shida hata legend utabeba
Survival mechanism za kushambulia wanaume? Kuwa sema vibaya? Kuwatumia?Tunakubali survival mechanism zenu na sisi mkubali survival mechanism zetu. Ndio maana ya jamii.
Wanasema mwanamke ataharibu familia kwa mikono yake mwenyewe and so she wanna do mleta madaKabisa
Kwa kifupi wanadhani "mwanaume hapaumi". Ndo maana ukitoa milio wanakushusha vyeo, wanataka wakuache pekeako.Mkuu hilo swala ni gumu sana wao kulielewa. Wao wanajua mwanaume ni kiumbe strong na hakuna cha kumyumbisha, na hata yeye. Hawezi kupitia depression kama wao, wanahisi hana hisia, hana mental breakdown, hana emotional demage. Wao wanajua mwanaume akifanya hivyo jua hakupendi au anakutumia
HahahahaaaTunakubali survival mechanism zenu na sisi mkubali survival mechanism zetu. Ndio maana ya jamii.
That's why nasema kila siku kuishi nao unahitaji, kuwa selfless kabisa... Yaani ujivue utu wako, uwe kama mtumwa for the sake of making your family happy. Lasivyo hautadumu kwenye mahusiano.Kwa kifupi wanadhani "mwanaume hapaumi". Ndo maana ukitoa milio wanakushusha vyeo, wanataka wakuache pekeako.
MkuuMajuto kivipi nyinyi mbona suala la kumuacha mwanamke mko fasta na hamuangalii majuto wala nini
Bado huna pointBado sioni kama ni sahihi kwa mwanamke kunambia mimi sijui maana ya unaume ingawa nimepita majukumu na kuna wengine kama yeye wanafika climax kila siku. Sawa unapitia kwenye nyakati ngumu lakini matusi hayajengi.
Na kama unatumia kauli hizo hadi kwa bwana ako, no wonder anaona bora akale bata za 2M na rafiki zake wanaompa faraja kuliko wewe unae mpa stress.
Maneno ya busara ni fimbo nzuri sana kwa mwanamke kumchunga mumewe, hatupendi dharau.
Naenda naeWasalimie Babu zetu.
Huyo mtoto unamuacha wapi
Kuna kosa la msingi hapa kwenye hii mada, Daudi huko juu ameliadress na mleta mada amelikubali. Na ndio maana probably anataka kurekebisha (kuondoka) Tukifikiria positive side ya hili, Huyu mjamaa amelazimishwa kukua, amebandikwa majukumu ambayo pengine hakuwa tayari nayo.Kwanza mwanamke kuwa breadwinner sio sawa yani mtu huumwi huna kilema una utimamu pambania familia. Imagine wana mtoto mmoja apo utakuta wanaishi single room jamaa analala ndani kula na kula mzigo aongeze watoto yani unashangaa circle ya umaskia hadi kwa watoto haiishi ..
Imagine huna hela unapata ujasiri wa kwenda kula ukweni alafu na humu wanaume wanamtetea mvulana huyo anaelala ndani we have to man up enough to clean our own messy
Mkuu umemaliza detox au vipi!That's why nasema kila siku kuishi nao unahitaji, kuwa selfless kabisa... Yaani ujivue utu wako, uwe kama mtumwa for the sake of making your family happy. Lasivyo hautadumu kwenye mahusiano.
Unapaswa ukubali ya kuwa your dad was right..
Niletee huyo mtoto pleaseNaenda nae