Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,767
- 26,079
Interesting, kuna jambo nataka kukuambia pengine litakusaidia ila kwa hapa siwezi kulisemaKama imani inavyotaka mungu aaminiwe mimi ni mkristo nafunga na kusali na kutoa sadaka
Interesting, kuna jambo nataka kukuambia pengine litakusaidia ila kwa hapa siwezi kulisemaKama imani inavyotaka mungu aaminiwe mimi ni mkristo nafunga na kusali na kutoa sadaka
OkNimesha kucheck PM..😋
Sana mpaka kaburiniHii dunia ukiziwa mwanaume inabidi ugangale kwelikweli.
Hahahaha Nimecheka kweli kweliImekuwaje tena umerudi kijana?
We unachekesha, wakae chini waongee nini yani? Tena huyu mwanamke mpole kmmk mi ndio ningemnyoosha huyo wa kujilaza ndani ka mlemavu mxiew!Sasa kwanini usikae chini na mumeo?
Basi jinyonge Sasa.Haaaa ntaambiwa nimemkimbia
Kumbe na wewe katili namna hii?We unachekesha, wakae chini waongee nini yani? Tena huyu mwanamke mpole kmmk mi ndio ningemnyoosha huyo wa kujilaza ndani ka mlemavu mxiew!
Mpaka nafika humu jua kote nimepitaSasa kwanini usikae chini na mumeo?
Hahaha huyo ana attachment disorderBasi jinyonge Sasa.
Maana kama unaogopa watu utakuwa ni mtu wa kulalamika Kila siku.
Au Kuna kitu unataka?
Nimesoma comments, wana chuki tu dhidi ya wanawake hawachangii mada wanamuattack mleta mada especially wakilinganisha hali zao halisi na kilichotokea hapa!Kwanini wasema hayo? 😂
Ndo ninapoelekea hivyoBasi jinyonge Sasa.
Maana kama unaogopa watu utakuwa ni mtu wa kulalamika Kila siku.
Au Kuna kitu unataka?
Mtoa mada mwenyewe sasaNimesoma comments, wana chuki tu dhidi ya wanawake hawachangii mada wanamuattack mleta mada especially wakilinganisha hali zao halisi na kilichotokea hapa!
Najivunia sana kuzaliwa Dume, ila kuna muda life linapeleka moto sio poa. Mwenetu anapitia kipindi kigumu, hii story tumepewa ni ya upande mmoja, sijui upande wake kuna lipi.Sana mpaka kaburini
Mleta mada anahangaika kujibu vijana wavivu wanaotaka mwanamke mwenye mtoto mdogo awalishe! ila kizazi cha sasa ni mtihani mzito! Hili ni pigo aisee!Naonge la mwisho, achana nae kaa nae mbali hujazaliwa nae. Focus na maisha yako achana na mpuuzi huyo. Kaanze maisha upya ukiona analeta vagi kwenye kuondoka muachie kila kitu kaanze moja
Unajua what lacks there ni mawasiliano. Huyo mwanamke anaumia ndani because hajui mumewe anapitia nini. Hajui yeye a nadhani ni rahisi. Hapo angeongea nae akajua nini kinamfanya akate tamaa ingemsaidia kujua wanaanza wapiNimesoma comments, wana chuki tu dhidi ya wanawake hawachangii mada wanamuattack mleta mada especially wakilinganisha hali zao halisi na kilichotokea hapa!
Tupo humu kupata mitazamo ya watu tofauti unachoona ww ni kigumu kwa mwenzio chepesi na sio kila mtazamo na ushauri utauchukua ni kuchuja chuya na mchele basiKwa namna ulivyoeleza si kama kwamba unatafuta ushauri, nadhani umeona uelekeo wa ushauri uliopokea
Dah nachoka shangazi yenuMleta mada anahangaika kujibu vijana wavivu wanaotaka mwanamke mwenye mtoto mdogo awalishe! ila kizazi cha sasa ni mtihani mzito! Hili ni pigo aisee!
Sawa endelea kuchuja chuya mkuuTupo humu kupata mitazamo ya watu tofauti unachoona ww ni kigumu kwa mwenzio chepesi na sio kila mtazamo na ushauri utauchukua ni kuchuja chuya na mchele basi