wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,968
- 3,680
Sijakataa. Lakini mpaka hapa nadhani ni bora umeache huyo mwanaume. Achana nae tu, nadhani hii itakua ni salama zaidi kwake.Bado huna point
Sijakataa. Lakini mpaka hapa nadhani ni bora umeache huyo mwanaume. Achana nae tu, nadhani hii itakua ni salama zaidi kwake.Bado huna point
Hapo umenena big upSijakataa. Lakini mpaka hapa nadhani ni bora umeache huyo mwanaume. Achana nae tu, nadhani hii itakua ni salama zaidi kwake.
Level ya busara uliyo nayo kuna wanawake hawawezi kuifikia hata robo. Mpaka siku wanakufa hawato kufika. Safi sana madam, umenena vyema.Yeah somehow somewhere huyo mwanaume wake sio mtu mbaya.
Kuna kitu kimeua motivation yake ndio tukitafute!
Uko wapi nikuleteeNiletee huyo mtoto please
Kumuacha ndo naharibu familiaWanasema mwanamke ataharibu familia kwa mikono yake mwenyewe and so she wanna do mleta mada
Nani kajiweka kwenye special group?? Slow down madam.. Huu mchezo hautaki hasira. Kwanza naomba nikuulize, kwenye "wapumbavu", umewajuisha na baba ako na bwana ako au wao hujawaweka humo?Haibadilishi maana ya kuwa kuna wanaume ni wapumbavu na wavivu tu haijalishi nini, tumekutana nao na tunaishi nao! hii ya kugeneralize ndio inawashinda kutoa ushauri kwenye cases kama hizi! mnaanza kujiweka kwenye special groups kwahiyo mlitaka nani awatafutie?
Kwa taarifa yako, kwa mke aliyekuwa naye ungekuwa wewe ungekuwa ushajinyonga!HIvi unajua nini kili mfanya mzee wako a sustain kuhudumia familia kama sio kuwa na mke bora? Unahisi ilitokea tu kwa sababu mzee alikuwa strong?
Muwe mnajaribu kuangalia jambo kiuundani mjue how it really was, wa mama wa zamani sio kama nyie feminists!
Hawakuwa na ujuaji wa kipuuzi, walisimamia pesa na sio kwenda saloon, walipika chakula na sio kwenda kununua chpis na kuku, walikaa na waume zao kuwashauri namna bora ya kuishi na kulea familia.
Sasa ukiona mwanaume anafikia hatua ya kumpa mkewe 1m na nyingine kwenda kula bata jua tu mwanamke ni kichwa maji. Yaani wanaishi tu bila ya kuwa na future yoyote.
Huenda mwanaume aliona huyu mwanamke sio chaguo lake, so anapitia depression na haoni way out kwa sababu kasha mzalisha so anaishi a kuwa paralyssed to even take an action.
Hili jambo msilichukulie kawaida kawaida tuu. Kuna mengi yana happen behind closed doors
"Love is for children, women and dogs"Na ndo wanachotaka, uhame kwenye dunia yako ukawe kibaraka cha kumpa furaha na kutimiza haja zake kwenye dunia yake. Na bado hana guarantee kwamba atakukeep in forever, cheki hapa mtu anataka apigwe chini.. Nilijifunza kwa tabu sana kua happiness kwa women isnt reciprocal
Ndio huoni mwanao anaenda kuteseka baadae kujua hana fatherly figureKumuacha ndo naharibu familia
Hiyo ni kama sala ya dharula tu madam. Tunaweza kuendeleamumeo gani, naongea kilichoko mezani mambo ya mume yaweke huko kwanza
Yaani hiyo poyoyo mmoja ndo anakufanya utujumuishe wanaume wote? Wapi wewe umeona wanaume tunajifanya spesho hatufanyi KAZI?Yaani mwanaume mzima alale ndani bila sababu za msingi kisa alitoa ka milion ka mtaji serious
Yaan haumwi wala hana kilema
Kwa sababu kapata uraibu wa kuhudumiwa ndio asinyanyuke kutafuta kazi hivi nyie wanaume kwanini mnajipa u special sana ?
Wewe hatuwezi kujadili mada sijaingiza ndugu yako ila naona unataka kunipima uvumilivu, haya nipishe kidogo!Nani kajiweka kwenye special group?? Slow down madam.. Huu mchezo hautaki hasira. Kwanza naomba nikuulize, kwenye "wapumbavu", umewajuisha na baba ako na bwana ako au wao hujawaweka humo?
Kichwa kikiwa cha moto kuna muda tunakupima hadi kinyesi.. Kila jambo lazima lichakatwe kwa ukubwa wake na no stone must be left unturned.Yani unayakuza sana mambo! mleta mada kastick kwenye kazi tu nyie mnaenda miles away duh!
Tena kama unaweza muache kwa matusi kabisa ndo utakua umemsadia.Hapo umenena big up
Nilidhani wanawake wenye akili hawako, kumbe mpo! Hongera kwa kuwa wife material. Ebu mwitie wakubwa zake wamzibue akili aamke akafanye KAZI.Mimi ni msichana nina miaka 26 nina mtoto mmoja ambae nimezaa na huyu mwanaume kiukweli nina changamoto ambayo nahisi kukataa tamaa iko hivyo mwaka 2019 nilikuta na huyu mwanaume nilimkuta akiwa anaishi mwenyewe kapanga chumba nikaingia nae kwenye mahusiano mwaka huo huo nikabeba mimba alikataa mwisho akibali akanitambulisha kwao nikajifungua yeye wakati huo ameajiliwa kiwandani..
Mwaka 2022 akaacha kazi kiwanda na kuchukua NSSF yake milioni 3 akanipa milioni moja nifungue biashara hela yake iliobaki alichafua kula starehe na rafiki zake ikapelekea hela yake kuisha na kuwa jobless maana kazi hana ikawa mimi ndo baba na mama wa kulisha familia kwa kutengemea biashara yangu mpaka ikafa biashara yenyewe maana mahitaji mengi kuliko faida ya biashara nikawa mama wa nyumbani na yeye hana kazi maisha magumu nikarudi kwetu na mwanangu yeye akawa anakuja ukweni kula na kuondoka hela hatoi maana hana kazi…
Mimi nikapambana nikachukua mkopo nikafungua biashara yangu huku nikimuhudumia yeye na mwanae kula nikasema ngoja nimtafutie kazi kila nikimtafutia kazi anakataa kufanya nikachoka mwisho akakubali kufanya japo mshahara wa kawaida huduma kutoa kawaida tu mimi ndo responsible wa vitu vingi akaacha kazi hiyo sehemu kwasababu ambazo hazina maana now hana kazi mimi ndo namlisha ndani haamki wala kuumiza kutafuta kazi anasema hataki kazi ngumu za viwanda kazi ni kulala tu ndani na kupiga simu za kufanya udalali ambazo hazina faida kodi imeisha wala hajisumbui naomba ushauri nimuache uyu mwanaume au maana nikiendelea kumlemaza naona najiumiza sana hajalishi anajali kiasi gani ila sio muajibikaji najikuta naumia kupambania familia mwenyewe nisaidie kimawazo ninaweza kujinyonga
wewe hujui niliemjibu tulianzia wapiYaani hiyo poyoyo mmoja ndo anakufanya utujumuishe wanaume wote? Wapi wewe umeona wanaume tunajifanya spesho hatufanyi KAZI?
Exactly"Love is for children, women and dogs"
As a man love is the price of being a provider
Mtazamo wako tu kutoa milioni moja sio kigezo cha kutohudumia familiaNingekua mtu wa karibu wa huyo baba ningemshauri akuache wewe ni mwanamke mwenye roho mbaya.
Unaangalia madhaifu yake tu.
Hv unafikiri ni wanaume wangapi wakipata 3M watatoa moja wakupe?
Mi naona huyo ni mwanaume mwema anayejali ilibidi naye ajaliwe kwa upendo wa hali ya juu hasa kipindi hichi hana michongo ya pesa.Rudisha upendo na heshima kwake then mshauri kwa heshima atatoboa tu na atakusaidia majukumu.Ikibidi msaidie na mtaji coz si alikupa 1m ndo hiyo inakuzalishia?
Yawezekana hizo starehe zilizommalizia hela (pombe wanawake) ni sbb ya stress za ww kumbadilikia kisa kapoteza kazi.Hapo ukute unamuonesha live kuwa kwa sasa yeye ni takataka mwanaume suruali.
Kama vp muache singo maza to be,atapata mwingine na atasimama tena.
kwani kufanya kazi ni lazima ?Mimi ni msichana nina miaka 26 nina mtoto mmoja ambae nimezaa na huyu mwanaume kiukweli nina changamoto ambayo nahisi kukataa tamaa iko hivyo mwaka 2019 nilikuta na huyu mwanaume nilimkuta akiwa anaishi mwenyewe kapanga chumba nikaingia nae kwenye mahusiano mwaka huo huo nikabeba mimba alikataa mwisho akibali akanitambulisha kwao nikajifungua yeye wakati huo ameajiliwa kiwandani..