Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hmm sijaelewa!mkwe ukweni ni kwao, tutakaribishana baada ya KULA
Hmm sijaelewa!mkwe ukweni ni kwao, tutakaribishana baada ya KULA
Wala sina hiyo mindset kuna vitu ni kwaajiri ya kujifunza ila ww huwezi kuvimudu! Kwa sababu hiyo Narudia tena for ur own sanity let things go..Hapana nimesema kile ambacho wewe unacho lakini hukiandiki for the sake of survival.. 😂 Ndo kile huyu mleta mada anakikwepa ya kuwa every one has flaws ila anaona flaws za mumewe hazina mashiko kwa sababu ni mwanaume
Najua unanilinganisha na mzee wako which is ridiculously pointless. Mzee wako na wazee wengi hawakuwa na wanawake wajinga enzi zao. Wali ishi kwa kuheshimiwa... Haukuwa na ego play ambayo nyie mnaitukuza wakati in real physical world tukiwaachia majukumu mnatapika nyongoNILIJUA TU, Huwezi kuacha kitu kisitoke moyoni, hapo simuongelei my mom, hebu tuishie hapa kabla hatujavunjiana heshima!
huyo mwanaume nyumbani kwa wazazi wa mkewe ni kwao piaHmm sijaelewa!
Noma sanaa!Wewe kumbe una akili nyingi hivi?
Baadhi yao ndio wapo hivyo wanajificha kwenye kichaka cha mwanamke mpambanaji ili aanze kushinda kwenye kijiwe cha kahawa
Kama huyo kutoa hiyo 1M amejisahau na kulala ndani ili ahudumiwe
Sio kivileeee! Kuna mahali ukikuta comment yangu hutoipenda 😂 Ni kujaribu tu kuelewa situation.Level ya busara uliyo nayo kuna wanawake hawawezi kuifikia hata robo. Mpaka siku wanakufa hawato kufika. Safi sana madam, umenena vyema.
Umejuaje? And why were you pretending to have known everything? Ulikuwa u najifunza au ulikuwa unacheza?Wala sina hiyo mindset kuna vitu ni kwaajiri ya kujifunza ila ww huwezi kuvimudu! Kaasababu hiyo Narudia tena for ur own sanity let things go..
Hakika wew ni senior lecture Udsm..unamwaga nondo kama professor wa maisha na familia tengefuNajua unanilinganisha na mzee wako which is ridiculously pointless. Mzee wako na wazee wengi hawakuwa na wanawake wajinga enzi zao. Wali ishi kwa kuheshimiwa... Haukuwa na ego play ambayo nyie mnaitukuza wakati in real physical world tukiwaachia majukumu mnatapika nyongo
Nawafunza namna ya kuona mambo hawa watoto wa elfu mbili.Hakika wew ni senior lecture Udsm..inamwaga nondo kama professor wa maisha na familia tengefu
Kwani hana kwao? Anyways hakuna mtu asiyefaa kwa kila kitu!huyo mwanaume nyumbani kwa wazazi wa mkewe ni kwao pia
hahitaji kukaribishwa, labda kama na wao wakwe ni choka mbaya hoe hae
pangu pakavu tia mchuzi.
Babu eeh! Tuishie hapa! Sitaki kelele mapema hii..!Umejuaje? And why were you pretending to have known everything? Ulikuwa u najifunza au ulikuwa unacheza?
Mwanike😁 lekaga shiiiBabu eeh! Tuishie hapa! Sitaki kelele mapema hii..!
irl umewahi kumfukuza mtu mzima asile chakula ambacho hakushiriki kukiandaa? either kwa kutotoa pesa kinunuliwe au alijibweteka tu na kusubiria kulishwa/kupikiwaKwani hana kwao? Anyways hakuna mtu asiyefaa kwa kila kitu!
Mkuu kumbuka hii ni story ya mwanamke. Hatujasikia ya upande wa mwanaume. Usiwe mwepesi wa kumrushia lawama mwanaume kwa kusikiliza maelezo ya mwanamke pekee yake. Sio kwamba mwanaune hakosei lakini angalao ananyosha maelezo hata kama ana makosa unajua hapa alikosea. Lakini mwanamke mara zote story yake ni ya kupikwaAcha mara moja kumpa pesa yoyote , unapofanya hivyo unampa sababu ya kuendelea kuwa mvivu.
Kama bado mnaishi pamoja tafuta njia ya kuondoka au yeye aondoke, kuendelea kuwa karibu yake ndiyo kunakufanya uendelee kufanya hayo yote unayoyafanya.
Wewe ni mama, nguvu unazotumia kumpambania mtu mzima ambaye haoni umuhimu wa kujipambania yeye mwenyewe zielekeze kwa mwanao na biashara yako, zingatia mwanao anahitaji kulelewa na mama mwenye afya ya akili.
Huyo mwanaume siyo rahisi kubadilika kwa sababu umekubali kuvumilia ujinga wake, atazidi kuharibika kwa sababu unamlea, ondoka, jenga maisha yako, na mwanao atakuja kukushukuru siku zijazo kwa ujasiri utakaouonyesha leo.
inawezekana jamaa ni boyaMimi ni msichana nina miaka 26 nina mtoto mmoja ambae nimezaa na huyu mwanaume kiukweli nina changamoto ambayo nahisi kukataa tamaa iko hivyo mwaka 2019 nilikuta na huyu mwanaume nilimkuta akiwa anaishi mwenyewe kapanga chumba nikaingia nae kwenye mahusiano mwaka huo huo nikabeba mimba alikataa mwisho akibali akanitambulisha kwao nikajifungua yeye wakati huo ameajiliwa kiwandani..
Mwaka 2022 akaacha kazi kiwanda na kuchukua NSSF yake milioni 3 akanipa milioni moja nifungue biashara hela yake iliobaki alichafua kula starehe na rafiki zake ikapelekea hela yake kuisha na kuwa jobless maana kazi hana ikawa mimi ndo baba na mama wa kulisha familia kwa kutengemea biashara yangu mpaka ikafa biashara yenyewe maana mahitaji mengi kuliko faida ya biashara nikawa mama wa nyumbani na yeye hana kazi maisha magumu nikarudi kwetu na mwanangu yeye akawa anakuja ukweni kula na kuondoka hela hatoi maana hana kazi…
Mimi nikapambana nikachukua mkopo nikafungua biashara yangu huku nikimuhudumia yeye na mwanae kula nikasema ngoja nimtafutie kazi kila nikimtafutia kazi anakataa kufanya nikachoka mwisho akakubali kufanya japo mshahara wa kawaida huduma kutoa kawaida tu mimi ndo responsible wa vitu vingi akaacha kazi hiyo sehemu kwasababu ambazo hazina maana now hana kazi mimi ndo namlisha ndani haamki wala kuumiza kutafuta kazi anasema hataki kazi ngumu za viwanda kazi ni kulala tu ndani na kupiga simu za kufanya udalali ambazo hazina faida kodi imeisha wala hajisumbui naomba ushauri nimuache uyu mwanaume au maana nikiendelea kumlemaza naona najiumiza sana hajalishi anajali kiasi gani ila sio muajibikaji najikuta naumia kupambania familia mwenyewe nisaidie kimawazo ninaweza kujinyonga
Wewe tunakujua you're wise but the ego wins sometimes.Sio kivileeee! Kuna mahali ukikuta comment yangu hutoipenda 😂 Ni kujaribu tu kuelewa situation.
Dah 😂😂😂😭😭😭Wewe tunakujua you're wise but the ego wins sometimes.
Sikuwahi wala sitowahi kufanya hivyo na katika vitu ambavyo siwezi kumnyima mtu ni chakula, nitakunyima pesa ila sio chakula!irl umewahi kumfukuza mtu mzima asile chakula ambacho hakushiriki kukiandaa? either kwa kutotoa pesa kinunuliwe au alijibweteka tu na kusubiria kulishwa/kupikiwa
irl =in real life