Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

To hell! self control yangu inakusaidia nini? utashindwa kukutana na huyo mke wa ndotoni kwa negative mindset za namna hiyo!
Ukizungumza na watu bila self control unaonekana mwehu. (sijasema wewe mwehu, usininukuu vibaya madam)
 
Nature ya mwanamke kaumbiwa kuhudumiwa kuwa receiver na mwanaume kuwa provider sasa hizo nafasi zikibadilika ikawa vaisi vesa matokeo yake ni hayo kikubwa wanaume tafuteni ela hudumieni familia zenu
Usingepokea ile milioni 1.ungemwambia afanyie biashara wewe utulie ndani uhudumiwe
 
Eti nini Huwezi kuwa mlinzi? Sikia nikuambie, it's okay kuwa selective...maisha ni yako na una haki ya kuishi vile upendavyo, kusubiria kazi itakayokupa amani hata kama utaipata ukiwa na miaka 50. Lakini hali ni tofauti pale unapokuwa unategemewa hasa unapokuwa na watoto, mwanamke akiwa hawezani na mitazamo yako anaweza kwenda lakini mtoto ni jukumu lako huna pa kukwepea... kesho unayoipambania sio kwaajili yako tu bali ni kwaajili ya hao viumbe uliowaleta duniani kwa starehe zako
Ushauri wa mwisho kwa vijana kama unaona huna future inayoeleweka na huwezi kuacha uzinzi tafadhali tumia condom.
Narudia tena, siwezi kua mlinzi hata iweje. Tumepita misoto mikali na tumepita njia nyingi kujiinua kiuchumi. Na huenda nilikopita hata huyo mlinzi leo hawezi kufanya kazi nilofanya. Wewe mwenyewe kuna kazi huwezi fanya hata iweje. Its natural
 
Nature ya mwanamke kaumbiwa kuhudumiwa kuwa receiver na mwanaume kuwa provider sasa hizo nafasi zikibadilika ikawa vaisi vesa matokeo yake ni hayo kikubwa wanaume tafuteni ela hudumieni familia zenu

Fact​


Mwanamke hajaumbwa kuhudumia hiyo ndio nature yake,kwahiyo tusiwalaumu kwa mapungufu hayo,yani ni asili yao iko hivyo, hata wajifanye wanajitutumua sijui majukumu sawa,huwezi kupingana na nature
 
Huyo mwanamke mwenzenu kaongeza chumvi tu. Siamini kama huyo jamaa eti huwa anapigia timing kabisa msosi wa ukweni. Uenda labda anaenda tu kuonana na mtoto wake ndio anakaribishwa msosi
Mkuu hayajakukuta! Kuna muda unakwama hakafu nyumbani mbali! Kuna mambo ya kujidhalilisha unaishia kuyafanya!
 
Narudia tena, siwezi kua mlinzi hata iweje. Tumepita misoto mikali na tumepita njia nyingi kujiinua kiuchumi. Na huenda nilikopita hata huyo mlinzi leo hawezi kufanya kazi nilofanya. Wewe mwenyewe kuna kazi huwezi fanya hata iweje. Its natural
Hakuna kazi ambayo siwezi kufanya. Kazi yoyote halali nafanya. Sasa si unaona? Huwezi kuwa mlinzi ila una kazi zingine unafanya, sasa mtu anasema hawezi kuwa mlinzi analala ndani 24/7 huyo zinamtosha kweli?
 
Sijui nakushauri vibaya au lah

Lakini huyo mwanaume hakufai
Usitishwe na maneno ya watu ya kuitwa single mother kheri uwe single mother kuliko kua single married
Kushauri awe single mother si ushauri mzuri katika hatua hii. Maisha ya usingle mother yana complications nyingi sana ambazo huwa zinawaponza wanawake na kuwaharibua ustawi wao huko mbeleni.

Nadhani tuanze na maswali ya msingi,huyu mtu mbona alikuwa anafanya kazi na anajituma,why baada ya tu ya kuanza kuishi na mwanamke wake huyu akachange ghafla na kuwa mvivu? Haya maswali sio ya kujibiwa kwa hisia au mitazamo,yanataka taarifa zilizonyooka.
Ondoka hapo acha aendelee kulala akiona haupo na wa kumuhudumia hamna atachagua yeye sasa afe njaa au atoke njee akatafute
Nadhani kuondoka maana yake ni kumtenganisha mtoto na baba yake,au kumtenganisha mke na mwanaume wake au uisambaratisha familia. Mbona kwanini ushauri usiwe kuketi kikao serious na wazazi na ndugu ambao wanaweza kumuwajibisha?

Kwa maneno mengine nihoji kwanini unadhani tatizo kubwa kama hili litatatuliwa na kichwa kimoja yaani huyo binti wa miaka 26 bila wazee wa familia ambayo kwasasa imeshaungwa na mtoto pande zote mbili. Kwanini kusiwe na kikao cha kumuweka kati huyu kijana na kujua ana changamoto gani ya kiakili unayofanya awe hivyo?
Binti wanaume ni wabinafsi sana kama hujui thamani yako utayumbishwa mpaka useme hiki ni nini?
Unaweza ukawa sahihi kulingana na wanaume uliokutana nao wewe binafsi ila uhalisia wa mambo si kweli. Wanaume ndio wanaongoza kuwatunza wanawake kwa kuwaachia mali kama nyumba,gari,mashamba,au hata pesa kama urithi,kulea watoto ambao si damu yao, kuwanunulia luxury au bidhaa zisizo za kipaumbele kwenye maisha kama perfume,simu,mawigi,kulipia gharama kama saloon,ada,kodi. Achia hizo, wanawake wasasa mnaongoza kwa kuishi kwa ukahaba (udangaji) ni nani analipia hizo gharama za maisha ya kudanga, wanawake au wanaume?

Umesikia matukio mangapi ya kutumiwa nauli na watu hawakuja magetoni?

Hiyo mifano yote nimekupa hebu nionyeshe ni wapi wanawake ni wakaribu na wanaume ni wabinafsi? Wanaume wangekuwa wabinafsi muda huu usingekuwa unaandika hii comment hapa JF.
Hivi umewahi kuona mwanaume akiacha ndoto zake au mipango yake kisa mwanamke
Ndoto za mwanaume ni kufanikiwa kuwa na pesa na mali na kitafuta mwanamke atakae pata nae watoto na kujenga familia ajivunie kuwa baba bora.

Nionyeshe ndoto ya mwanamke ambayo ina include mwanaume ndani yake?🤔 This is 2026 MEN ARE WATCHING AND SPEAKING OUT. Msidhani tunaishi kama enzi za zamani kuwa mtatubambikia misala na lawama tukawaacha now tunatazama,tunahoji na tutahukumu kwa ushahidi.

Nijibu hayo maswali yangu hapo niliyokuuliza.
Sisi ndio deileee tunajitilisha huruma
Na kuishia kutumika na kunyanyaswa kihisia na muda mwingine tunaacha ndoto zetu na mipango yatu kisa wanaume
Kwa kifupi umeelezea manipulation ya kike kwa wanaume,tunaita machozi ya mamba. Mwanamke huwa hakai sehemu bila kuchagua eti kanasa. Wanawake yupo radhi aishi mwenyewe kama jini kuliko kuishi na mwanaume ambaye hayupo comfortable nae. Huyo dada kamchagua huyo mwanaume. Na usijeshangaa akitokea mwamba mwingine akabeba jukumu la kulea hako katoto na mama yake kwa upendo, halafu huyo dada akaanza mtafuta huyo baba mtoto wake mzembe mtaji na kumsaidia kwa kutumia pesa za jamii ikibidi atamuachia apige mzigo mara moja moja.

Wao hata huku jukwaani kila siku wanapandishiana nyuzi kushauriana
Utasiki man to man fanya hivi
Wanawake pia huwa mnafanya hivi so usiblame wanaume tu ni jambo la kawaida kuwa na vikao na kupeana kanuni za kimaisha dhidi ya kundi lingine.

Ni kama ninyi wanawake ambapo mlikaa mkamuua kukataa kuwa chini ya mwanaume, kuzaa nje ya ndoa, kupenda pesa kuliko ubinadamu etc hayo yote ni matokeo ya vikao vyenu so don't act so special.
Sisi huku nyuma ya keyboard kudanganyana
Shoga angu vumilia wanaume ndivyo walivyo upuuzi tu
Sio kweli, ushauri wenu mkubwa sana ni kuondoka,pitia nyuzi zote hapa au nenda Instagram, Facebook, TikTok na kwingineko,tafuta topic za mwanamke anae nyanyaswa na mwanaume ndani ya uhusiano,halafu soma comments za wanawake. Halafu ujionyeshe wewe sasa hizo comment za wanawake wanaomwambia mwenzao abakie.
Usivumilie upumbavu ondoka mapema angali una nguvu za kujitafutia na kujilea mwenyewe sio unavumilia unakuja kukumbuka kuondoka umekua ajuza
Ni sahihi kabisa kutovumilia upumbavu but je, hivi tumeshajua shida ya mwanaume imetokana na nini? Again,huyu mwanaume alikuwa anafanya kibarua chake,kama alikutana na mwanamke mchapakazi why akapunguza jitihada badala ya uongeza jitihada?
Jifunze kumsoma mwanaume muongo mbinafsi na mlagai kimbia upesi usimpe hata sekunde ya kuendelea kunyonya energy yako 🙏
Sahihi,nakuunga mkono.
Narudia jifunze kusoma mtu una em date macho yako usiyatoe kwenye macho yake muangalie kama anachozongumza kinatoka ndani
Hii nakuunga mkono tena upo sahihi.
Ukiwa makini na timamu Mwanaume tapeli hachukui round una mdaka
Ni kweli.
 
Kuna kosa la msingi hapa kwenye hii mada, Daudi huko juu ameliadress na mleta mada amelikubali. Na ndio maana probably anataka kurekebisha (kuondoka) Tukifikiria positive side ya hili, Huyu mjamaa amelazimishwa kukua, amebandikwa majukumu ambayo pengine hakuwa tayari nayo.

Majukumu ni imani kama zilivyo imani zingine, lazima mtu ayakubali ili ayafanye vizuri, you can’t shame someone into excellence. Msiwe kama mama Samia alitegemea watu waache uzembe na ufisadi kwa kuwaambia shame on you 🤣
The last part 😂😂😂😂😂
 
Hakuna kazi ambayo siwezi kufanya. Kazi yoyote halali nafanya. Sasa si unaona? Huwezi kuwa mlinzi ila una kazi zingine unafanya, sasa mtu anasema hawezi kuwa mlinzi analala ndani 24/7 huyo zinamtosha kweli?
Huyo anatatizo, na ndo maana ya huu uzi. Japo me siwezi kumlaum mtu ambae hataki kua mlinzi. Maana hata mimi sitaki
 
Mtoa mada anza na dozi ya kwanza kumrekebisha jamaa,kama yote unayosema ni kweli na hujamsingizia na kazi ulimtafutia na akakataa,, anza kumnyima chakula kidogo kidogo, kuna siku ale mlo mmoja tu,wewe rekebisha kwa ajili ya mtoto na wewe utajua namna ya kula bila mwamba kujua

Siku nyingine mpitishe mazima bila kula,ebu anzia hapo kwanza tuone atachukua hatua gani?

Baada ya kuona hakuna jitihada anafanya na ukajiridhisha kuwa sio mtu wa kubadilika jitenge nae kwa muda kwanza uone movement zake zikoje
 
Watanzania wengi kama hawa wanazaana bila mpango.

Yani mtu hana mbele wala nyuma, hajui atamhudumiaje mtoto, anazaa tu.

Pia wengi wanazaa kama ajali, hawategemei kuzaa wanajikuta tu wamezaa kwa kukosa akili na control kujua kitendo hiki kinapelekea kuzaa.

Wanatawaliwa na hisia bila kitumia mantiki.

Ndiyo maana wanashindwa hata kutumia condom.

Na kwa jamii ya watu kama hawa, umasikini ni vigumu kuisha.
 
Yaweza kua kwa sababu nimeona wanaume wa aina hiyo
Story ya mwanamke mwenzenu haijanyooka.

-kwanini huyu jamaa aliacha kazi punde tu mwanamke alivyoahamia geto kwake?
-ile milioni 2 alioyobaki nayo ni kweli yote iliishia kwenye starehe? hakusolve chochote nyumbani kama msosi, umeme, gesi n.k?
-amesema jamaa amegoma kubadilika, je huwa anaongea nae nyakati gani na kwa lugha gani?
 
Back
Top Bottom