wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,968
- 3,680
I knew it. Lack of self control. Wanawake wa skuhizi!!!!!!Wewe hatuwezi kujadili mada sijaingiza ndugu yako ila naona unataka kunipima uvumilivu, haya nipishe kidogo!
I knew it. Lack of self control. Wanawake wa skuhizi!!!!!!Wewe hatuwezi kujadili mada sijaingiza ndugu yako ila naona unataka kunipima uvumilivu, haya nipishe kidogo!
Nishawaita tayar kazi kwako kusikiliza wakubwa au kupuuziaNilidhani wanawake wenye akili hawako, kumbe mpo! Hongera kwa kuwa wife material. Ebu mwitie wakubwa zake wamzibue akili aamke akafanye KAZI.
Duh kwanza nijue ww ni mwanaume au mwanamke kama mwanaume una safari ndefu ya kuwa babakwani kufanya kazi ni lazima ?
kama ukweni chakula kipo
muache mtoto wa watu ale ukweni
usimgasigasi
Kuna maisha bila Ndoa hakuna haja ya kuishi kwenye Ndoa ya mateso.Hatuoi single mother mueleze abaki kwenye ndoa yake mpaka imuue
To hell! self control yangu inakusaidia nini? utashindwa kukutana na huyo mke wa ndotoni kwa negative mindset za namna hiyo!I knew it. Lack of self control. Wanawake wa skuhizi!!!!!!
achana na mimi kuwa me au keDuh kwanza nijue ww ni mwanaume au mwanamke kama mwanaume una safari ndefu ya kuwa baba
Tuache! ndio ukose haya ukale ukweni?🙄achana na mimi kuwa me au ke
acha kumsumbua huyo jamaa, kama ukweni msosi upo acha ale hadi avimbiwe na wewe kama unapenda sana kazi fanya kwa moyo wote huhudumie hiyo familia. na acha kujiliza liza kwa watu wasioweza kukusaidia chochote. mnapenda kujidekeza sana nyie viumbe. vya kwenu vyenu vya wanaume navyo vya kwenu. hopeless beings.
Stop being a fool and egocentric enough kulinganisha you mama's life to mine. It's none of my business na sio lengo la huu uzi. We are discussing facts na sio trauma responseKwa taarifa yako, kwa mke aliyekuwa naye ungekuwa wewe ungekuwa ushajinyonga!
Na hicho ndo kitu ambacho unge kiweka bayana kwenye comment yako. Ungesema hasa ni nini kilicho sababisha baba yako akawa wa tofauti na hao wengine.Na point yangu haina feminism yoyote hapo soma bila mihemko! wanawake wazuri wapo hata wanaume wazuri wapo, ukishindwa kuchagua utabaki kumuona kila mtu yuko kama dem wako wa kwanza! kila mistake utarelate na mambo yako ya zamani mpaka lini? unahisi watu wa zamani hawakupitia hizo changamto zenu vijana wa sasa au?
We didn't hear part of her story, mwanaume kaongelewa vibaya... Na hapo kuna kitu behind, mwanamke ni kama naficha. She's trying to cover her dark side. Sasa kuna faid gani ya kumpa mtu pesa wakati najua it's nothing but wastage na hakuna kitu atafanya? Mbona alivyo pewa 1m hakuongea kuwa hiyo pesa asipewe bali waanzishe business pamoja? Maana mwanaume alikuwa kashaacha kazi?Kinachokuafnya wewe uone mwanamke ndio tatzio ndio kinaua ndoa nyingi kwa mawazo ya kijinga namna hiyo! yani wewe ukalewe 2m kisa unataka mwanamke ndio akushikie akili zako? kwamba vijana wote mna akili sanaaa! ujinga unawasumbua vibaya sana! kuna wanaume hata umuudhi vipi hawezi kuchezea pesa, tumewaona wengi sana! kijana ni mpumbavu acheni kupamba ujinga! yeye hana akili mpaka mwanamke ndio amwambie soon watalala njaa? nikakuvumilie kwa mtaji wa 1m miaka mi5 uishiwe ndio ugundue mimi nina makosa, we mpumbavu nini!!
Sikatia hawapo, ila kwa scenario hii ni kama mwanamke nae anajaribu kujifanya hana kosa. Like hajui kuwa family is a communial entityKama hakuona ni chaguo lake alimlomba na kumpa mimba ya nini? alimkaribishaje ghetto? au alishikiwa panga? Acheni ujinga usio wasaidia lolote rekebikeni muishi na wenzi wenu vzr huko! mnapenda kujiweka kwenye kundi la kuhurumiwa na kujaliwa wakati sio kawaida ya wanaume wanaojielewa!
Hakuna cha behind hao watu wapo sana! kwani hayatokei mitaani? defence mechanism tu hakuna lolote!
sio tu kula ukweniTuache! ndio ukose haya ukale ukweni?🙄
NILIJUA TU, Huwezi kuacha kitu kisitoke moyoni, hapo simuongelei my mom, hebu tuishie hapa kabla hatujavunjiana heshima!Stop being a fool and egocentric enough kulinganisha you mama's life to mine. It's none of my business na sio lengo la huu uzi. We are discussing facts na sio trauma response
Kwetu hali mbwa huyo!sio tu kula ukweni
nimeandika hivii ALE UKWENI HADI AVIMBIWE ili roho zenu ndogo ziwaume vizuri.

Mbona hakuna aliye vunja heshima... Nimerudisha energy ulo kuja nayo... You came to attack and not discuss. Na hiyo inakuwa sio wewe tena inakuwa version yako yenye chuki na wanaumeNILIJUA TU, Huwezi kuacha kitu kisitoke moyoni, hapo simuongelei my mom, hebu tuishie hapa kabla hatujavunjiana heshima!
hata kama mna roho ya uchoyo kiasi gani lazima ATAKULA TUUU na hamuwezi kumfanya chochoteKwetu hali mbwa huyo!![]()
kuna namna huwa unasoma na kujibu vitu as if u are attached! anyways for ur sanity let things be! tchao!Mbona hakuna aliye vunja heshima... Nimerudisha energy ulo kuja nayo... You came to attack and not discuss. Na hiyo inakuwa sio wewe tena inakuwa version yako yenye chuki na wanaume
Atakulaje hatujamkaribisha?hata kama mna roho ya uchoyo kiasi gani lazima ATAKULA TUUU na hamuwezi kumfanya chochote
mkwe ukweni ni kwao, tutakaribishana baada ya KULAAtakulaje hatujamkaribisha?
Hapana nimesema kile ambacho wewe unacho lakini hukiandiki for the sake of survival.. 😂 Ndo kile huyu mleta mada anakikwepa ya kuwa every one has flaws ila anaona flaws za mumewe hazina mashiko kwa sababu ni mwanaumekuna namna huwa unasoma na kujibu vitu as if u are attached! anyways for ur sanity let things be! tchao!
AhhahahaTo hell! self control yangu inakusaidia nini? utashindwa kukutana na huyo mke wa ndotoni kwa negative mindset za namna hiyo!
Ahudumii familia sbb mambo yake yameenda ndivyo sivyo ila angekua hajali familia yake asingempa huyu IM ya mtaji.Kilq Mtazamo wako tu kutoa milioni moja sio kigezo cha kutohudumia familia