Je, ni sahihi kumwambia mkeo kiasi cha mshahara wako?

Kuna wanawake ni special case yaan anafuatilia kwa ukaribu kila KITU.

Yaan ukiwa umelala anakuja Sachi wallet , simu inapekuliwa na kusoma kila kitu alafu anatulia tuli.

Kimbembe siku ukimkosea unaanza kusimuliwa A_Z Kama movie πŸŽ₯
 
y

ashakutokea nini mkuu
 
Ukimwambia ujuwe unajiingiza katika gereza bila kujuwa,maana atataka kila shilingi mia yako ajuwe imeenda wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…