Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 2,012
- 5,571
Unarudi kutoka kazini unashikwa na mikono lainii...unapewa chakula na chakula tena...mateso hayajapungua tu?kwahy
utaki kutupunguzia hayo mateso
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unarudi kutoka kazini unashikwa na mikono lainii...unapewa chakula na chakula tena...mateso hayajapungua tu?kwahy
utaki kutupunguzia hayo mateso
Huwa wana-top up deni, likikaribia kuisha anaenda kuongeza tena.ila ni kipindi cha mpito tu iko kaka
I mbaya sana iyoAnataka kujua kila senti inapoenda, na akimuambia hana anamwambia hela zako umehonga. Ila mwanamke ana shughuli zake na hachangii hata mia nyumbani
taka kujua utamwambia?Ili iweje. Yeye mwenyewe hataki kujua.
Sio sahihi ila kama kuna ulazima mwambie take home tu!
ado unatakiwa uongezee yapungue asilimia 70Unarudi kutoka kazini unashikwa na mikono lainii...unapewa chakula na chakula tena...mateso hayajapungua tu?
sana kufanya top up inaletesha umasikiniHuwa wana-top up deni, likikaribia kuisha anaenda kuongeza tena.
ashakutokea nini mkuuKuna wanawake ni special case yaan anafuatilia kwa ukaribu kila KITU.
Yaan ukiwa umelala anakuja Sachi wallet , simu inapekuliwa na kusoma kila kitu alafu anatulia tuli.
Kimbembe siku ukimkosea unaanza kusimuliwa A_Z Kama movie 🎥
Sasa watumishi wengi ndio mfumo wao kwa sasa.si nasikia ni mbaya
sana kufanya top up inaletesha umasikini
siji jaribu ata siku moja kuna jamaa nilisikia kafanya top up kisa gar anunue crown nilishangaa sanaSasa watumishi wengi ndio mfumo wao kwa sasa.
Huyo jamaa ni bwege.Kuna jamaa mmoja aliniambia kati ya kosa alilolifanya ni kumuambia mkewe mshahara wake.
😂 Crown Jini, unanunua mil 18 unakuj kuuza mil 12hii ni mbaya sana
siji jaribu ata siku moja kuna jamaa nilisikia kafanya top up kisa gar anunue crown nilishangaa sana
Yaan ni ma internal & external observer 😅😅y
ashakutokea nini mkuu
Kwaio mkuu unatutukana wazi wazi 🤣🤣🤣🤣Huyo jamaa ni bwege.
IUkimwambia ujuwe unajiingiza katika gereza bila kujuwa,maana atataka kila shilingi mia yako ajuwe imeenda wapi.