Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Tuambie hizo principle wajuzi wakupe creditInawezekana sana tu, lakini hizo haraka za huyo mwamba zitamuangusha sana tu. Harakati za kutoa posa baada ya wiki mbili za kuonana kweli?
Kukutana online na kuanzisha mahusiano kuna principles zake.
Nimekuelewa maana hata hao wadada wanaofanya kazi kwenye mashirika ya ndege wapo mitandaoni pia, wale mabinti wanaofanya kazi Bank wapo mitandaoni pia, madaktari na manesi wanatumia mitandao, wanafunzi wa chuo kikuu na waumini wa dini wanatumia Facebook pia. Kwahiyo waliopo mitandaoni ni hawahawa tunaowaona mitaani nakuwaoaHakuna bint wa anaeishi mtandaon, hata ukimkuta kanisani au msikitini anaweza kuwa ni mtumiaji mzuli w mitandao ya kijamii , c tumejiwekea fikra ya kwmba watu wanaotumia mitandao ni wahuni na hawafai kwa chochote ilhali ww unatumia mitandao na unajiona upo sawa, mke au mume hupatikana mahali popote , kuwa watu walikwenda kununua makahaba , jamaa mmoja alivutiwa na kahaba mmoja atabidi amuhoji bint akajieleza jamaa akaenda kwao akatoa mahali binti kaolewa na mpaka sasa ana watoto 3 na ametulia ktk ndoa sasa inaseama mwaname wa fb hafai toa hizo fikra ndugu
Kwann nisifae kuwa mme, ujue shida nikujuana tabiaWewe haupo mtandaoni?
Kama upo maana yake hufai kuwa mume mwema?
Jibu hayo maswali 2 then njoo tudiscuss
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mkuu ulikosa kabisa wa mitaani mpaka uchukue wa Facebook au wewe domo zegeInawezekana,mbona Mimi mke wangu tulikutana FB lakini Leo hii tuna mtoto na maisha yanaendelea vizuriii kabisa na Wala sijutii.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Binti wa mtandaoni, ndio tunaishi nao mtaani.Hili swali nimeleta kwenu wana JF Kuna kijeba apa alianza kama utani vile, walikuwa wanachat mda mrefu sana na msichana ambae walianza urafiki Facebook lakini hivi tunavyoongea wameonana tayari wana wiki mbili sasa, na jamaa anaanza harakati za kutoa posa. Huyu binti ni mzuri kiasi katoka Songea na huyu jamaa katoka hapa mpwayungu dodoma.
Hayo mengine baadaye.Kwann nisifae kuwa mme, ujue shida nikujuana tabia
Umesema vyema.Hakuna bint wa anaeishi mtandaon, hata ukimkuta kanisani au msikitini anaweza kuwa ni mtumiaji mzuli w mitandao ya kijamii , c tumejiwekea fikra ya kwmba watu wanaotumia mitandao ni wahuni na hawafai kwa chochote ilhali ww unatumia mitandao na unajiona upo sawa, mke au mume hupatikana mahali popote , kuwa watu walikwenda kununua makahaba , jamaa mmoja alivutiwa na kahaba mmoja atabidi amuhoji bint akajieleza jamaa akaenda kwao akatoa mahali binti kaolewa na mpaka sasa ana watoto 3 na ametulia ktk ndoa sasa inaseama mwaname wa fb hafai toa hizo fikra ndugu
Yeye yupo hapa mtandaoni ila aelewi,au yupo wapi??Wewe haupo mtandaoni?
Kama upo maana yake hufai kuwa mume mwema?
Jibu hayo maswali 2 then njoo tudiscuss
Unajuaje huyo wa Facebook alikuwa hajiuzi, na saizi almost asilimia mia wadada waliopo mitandaoni wanauza K huo ndoukweli ila wapo indirect sio kama wakimbokaHayo mengine baadaye.
Wewe oa tu fb , Whatsapp n.k
Wakuwakwepa ni wale wa majukwaa ya kujiuza.
Mm Dada zangu wanajiheshimu huwezi kuwakuta mtandao wowote ule, hata WhatsApp hawaweki status.Binti wa mtandaoni, ndio tunaishi nao mtaani.
Mapenzi yanapatikana kila kona, waache waone wafurahie maisha.
Kwani ww wadogo zako, na ww wote tupo mtandaoni...km yes, tulia
Natoa maoni yangu mkuu, sitafuti credit wala kuungwa mkono.Tuambie hizo principle wajuzi wakupe credit
Inategemea, Kuna wengine wanafosi kuolewa kwa mda mfupi wa mahusianoNatoa maoni yangu mkuu, sitafuti credit wala kuungwa mkono.
Nikuulize tu, ukikutana na binti kanisani..pamoja na kwamba ulikuwa unamuona kila mara akiingia na kutoka, huenda pia ulikuwa unamuona akiimba kwaya, utaanzisha mahusiano na ndani ya wiki mbili upeleke posa?