Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Hili swali nimeleta kwenu wana JF Kuna kijeba apa alianza kama utani vile, walikuwa wanachat mda mrefu sana na msichana ambae walianza urafiki Facebook lakini hivi tunavyoongea wameonana tayari wana wiki mbili sasa, na jamaa anaanza harakati za kutoa posa. Huyu binti ni mzuri kiasi katoka Songea na huyu jamaa katoka hapa mpwayungu dodoma.