Je ni sahihi kuoa binti wa mitandaoni?

Je ni sahihi kuoa binti wa mitandaoni?

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Hili swali nimeleta kwenu wana JF Kuna kijeba apa alianza kama utani vile, walikuwa wanachat mda mrefu sana na msichana ambae walianza urafiki Facebook lakini hivi tunavyoongea wameonana tayari wana wiki mbili sasa, na jamaa anaanza harakati za kutoa posa. Huyu binti ni mzuri kiasi katoka Songea na huyu jamaa katoka hapa mpwayungu dodoma.
 
Inawezekana sana tu, lakini hizo haraka za huyo mwamba zitamuangusha sana tu. Harakati za kutoa posa baada ya wiki mbili za kuonana kweli?

Kukutana online na kuanzisha mahusiano kuna principles zake.
 
Hakuna bint wa anaeishi mtandaon, hata ukimkuta kanisani au msikitini anaweza kuwa ni mtumiaji mzuli w mitandao ya kijamii , c tumejiwekea fikra ya kwmba watu wanaotumia mitandao ni wahuni na hawafai kwa chochote ilhali ww unatumia mitandao na unajiona upo sawa, mke au mume hupatikana mahali popote , kuwa watu walikwenda kununua makahaba , jamaa mmoja alivutiwa na kahaba mmoja atabidi amuhoji bint akajieleza jamaa akaenda kwao akatoa mahali binti kaolewa na mpaka sasa ana watoto 3 na ametulia ktk ndoa sasa inaseama mwaname wa fb hafai toa hizo fikra ndugu
 
Tuambie hizo principle wajuzi wakupe credit
 
Nimekuelewa maana hata hao wadada wanaofanya kazi kwenye mashirika ya ndege wapo mitandaoni pia, wale mabinti wanaofanya kazi Bank wapo mitandaoni pia, madaktari na manesi wanatumia mitandao, wanafunzi wa chuo kikuu na waumini wa dini wanatumia Facebook pia. Kwahiyo waliopo mitandaoni ni hawahawa tunaowaona mitaani nakuwaoa
 
Inawezekana,mbona Mimi mke wangu tulikutana FB lakini Leo hii tuna mtoto na maisha yanaendelea vizuriii kabisa na Wala sijutii.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mkuu ulikosa kabisa wa mitaani mpaka uchukue wa Facebook au wewe domo zege
 
Hili swali nimeleta kwenu wana JF Kuna kijeba apa alianza kama utani vile, walikuwa wanachat mda mrefu sana na msichana ambae walianza urafiki Facebook lakini hivi tunavyoongea wameonana tayari wana wiki mbili sasa, na jamaa anaanza harakati za kutoa posa. Huyu binti ni mzuri kiasi katoka Songea na huyu jamaa katoka hapa mpwayungu dodoma.
Binti wa mtandaoni, ndio tunaishi nao mtaani.

Mapenzi yanapatikana kila kona, waache waone wafurahie maisha.

Kwani ww wadogo zako, na ww wote tupo mtandaoni...km yes, tulia
 
Hakuna bint wa anaeishi mtandaon, hata ukimkuta kanisani au msikitini anaweza kuwa ni mtumiaji mzuli w mitandao ya kijamii , c tumejiwekea fikra ya kwmba watu wanaotumia mitandao ni wahuni na hawafai kwa chochote ilhali ww unatumia mitandao na unajiona upo sawa, mke au mume hupatikana mahali popote , kuwa watu walikwenda kununua makahaba , jamaa mmoja alivutiwa na kahaba mmoja atabidi amuhoji bint akajieleza jamaa akaenda kwao akatoa mahali binti kaolewa na mpaka sasa ana watoto 3 na ametulia ktk ndoa sasa inaseama mwaname wa fb hafai toa hizo fikra ndugu
Umesema vyema.
 
Hayo mengine baadaye.
Wewe oa tu fb , Whatsapp n.k
Wakuwakwepa ni wale wa majukwaa ya kujiuza.
Unajuaje huyo wa Facebook alikuwa hajiuzi, na saizi almost asilimia mia wadada waliopo mitandaoni wanauza K huo ndoukweli ila wapo indirect sio kama wakimboka
 
Binti wa mtandaoni, ndio tunaishi nao mtaani.

Mapenzi yanapatikana kila kona, waache waone wafurahie maisha.

Kwani ww wadogo zako, na ww wote tupo mtandaoni...km yes, tulia
Mm Dada zangu wanajiheshimu huwezi kuwakuta mtandao wowote ule, hata WhatsApp hawaweki status.
 
Tuambie hizo principle wajuzi wakupe credit
Natoa maoni yangu mkuu, sitafuti credit wala kuungwa mkono.

Nikuulize tu, ukikutana na binti kanisani..pamoja na kwamba ulikuwa unamuona kila mara akiingia na kutoka, huenda pia ulikuwa unamuona akiimba kwaya, utaanzisha mahusiano na ndani ya wiki mbili upeleke posa?
 
Inategemea, Kuna wengine wanafosi kuolewa kwa mda mfupi wa mahusiano
 
Back
Top Bottom