Je, ni sahihi kwa mwanamke kunyonyesha hadharani?

Sio watu weupe tu, hata sisi pia tuna heshimu sehemu hizo na sio vizuri kuionyesha hadharani
Uliwahi kuona asiyenyonyesha aliziweka hadharani? Elewa neno kunyonyesha kwanza yaani inabidi kumpa mtoto chakula chake nayonazuia wa kigezo cha heshima? Baadae mfakuja na hoja kuwa kutembea na mimba hadharani nayo sio heshima
 
Uliwahi kuona asiyenyonyesha aliziweka hadharani? Elewa neno kunyonyesha kwanza yaani inabidi kumpa mtoto chakula chake nayonazuia wa kigezo cha heshima? Baadae mfakuja na hoja kuwa kutembea na mimba hadharani nayo sio heshima
Mbona wapo wengine wanafanya hivyo hadharani lakini wanafunika watu wasione.
 
Kama kazungukwa na mume pamoja na michepuko yake Kama ishirini hivi,kuna haja ya kujificha?
Sidhani kama mtoto anatakiwa kunyimwa chakula chake,kisa maziwa ya mama yasionekane,hata hivyo unatamanije mariti yanayonyonyesha?
Basi sawa
 
Mtoto akipata njaa kwenye bus au SGR mpo tayari kumsubiri mama akatafute kichaka anyonyeshe
Mwenye maamuzi ni dereva, alafu si kuna chamber ya wamama kunyonyesha au? Vituo vya mapumziko je?
 

Wenye watoto wanajua kuwa mtoto anaweza kuhitaji kunyonya wakati wowote na mahali popote
kinachotakiwa hapo nikiwa tu na nguo ya kumfunika
 
Mara nyingi ni vyema kujifunika na mtandio,japo watoto wengine wanakataa kufunikwa hasa kwenye joto.
Hamna mtu atatamani ziwa linalonyonyesha
 
Ikiwa wewe unakula hadharani basi hakuna tatizo kwa mtoto kunyonyeshwa hadharani.

Ikitokea ukatamani ziwa la mama anaenyonyesha basi una walakini mkubwa.
Mtindio wa ubongo kabisa
 
Mwenye maamuzi ni dereva, alafu si kuna chamber ya wamama kunyonyesha au? Vituo vya mapumziko je?
Wewe mtoto wewe!mtoto kwenye safari huwezi kumpangia mda wa kunyonya,unaweza ukamaliza kumnyonyesha mda huo huo akaanza kulia.Mambo mengine achana nayo
 
Ukimtazama mwanamke katika jicho la chombo cha starehe hakuna atachovaa, hakuna atachofanya hautatamani. Badili mindset kwanza.
Kweli!? kwahiyo anapopata hisia kwa mkewe huwa anakuwa amemtazama kama chombo cha starehe, ndio maana hisia zinakuja!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…