Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
- Thread starter
- #41
Asante Na Shukran MkuuKwenda night club na kulinda heshima haviwezi kukaa kwa amani kwenye sentensi moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante Na Shukran MkuuKwenda night club na kulinda heshima haviwezi kukaa kwa amani kwenye sentensi moja.
Hujaeleweka hapa kwani mimi nimechukua mke wa mtu ama namna gani ?Shenzi
Kwa hiyo kuchukua mke wa mtu unaona sawa ila kupigwa picha unaona soo
Hivi Half american ni mteja au mhudumu pale?Kitambaa cheupe Kuna nini Sasa, mbona mzabzab, Vishu Mtata na Half american ndio wahudhuriaji wapendwa😂🤣
🤣🤣 mahakama ipiiii ?Elimu na proffesionalism ni tatizo! Tanzania kupata pesa za fidia ukienda mahakamani ni nje nje.
Bro bro bro nime kuita mara tatu 😂 😂Hivi Half american ni mteja au mhudumu pale?
🤣🤣🤣 hivi ameamka kweli? Sorry nililenga kusema mwajiriwa paleeeee.????Bro bro bro nime kuita mara tatu 😂 😂
Half american haja amka bado, siku hizi tuna muita nusu albino au kubwa la manusu 🤣😂.🤣🤣🤣 hivi ameamka kweli? Sorry nililenga kusema mwajiriwa paleeeee.????
Familia iache ipumzikeeeeee.Half american haja amka bado, siku hizi tuna muita nusu albino au kubwa la manusu 🤣😂.
Ni mteja maarufu pale, if you know you know
Huo u nusu albino, sijui Half american ali ji cream🤣😂Familia iache ipumzikeeeeee.
Soon atakuja hapa kusalimia familia
Yani kuna mahala ukienda utapigwa tu pichakweli pale pabaya 😂😂
Hapo ndio tatizo kwa hii nchi🤣🤣 mahakama ipiiii ?
Hahahaha sio maeneo yangu hayo mimi, hayo ni maeneo local sana 😂😂Kitambaa cheupe Kuna nini Sasa, mbona mzabzab, Vishu Mtata na Half american ndio wahudhuriaji wapendwa😂🤣
Mimi huko sipajui mkuuHivi Half american ni mteja au mhudumu pale?
We jimix by yas tu upostiwe nayoHalf american haja amka bado, siku hizi tuna muita nusu albino au kubwa la manusu 🤣😂.
Ni mteja maarufu pale, if you know you know