Je, ni sahihi kwa wamiliki wa Night Club kurusha picha au video za wateja wao kwenye Mitandao ya Kijamii?

Je, ni sahihi kwa wamiliki wa Night Club kurusha picha au video za wateja wao kwenye Mitandao ya Kijamii?

Huu uzi umenikumbusha Kuna mkoa fulan nilienda nikaingia Kwa mama Mmoja anauza vinywaji bia na soft drinks nikawakuta pia jamaa wengne wanapiga kinywaji, ila nikashangaa ktka meza waliokaa Kuna jamaa Kila bia anayoletewa anaivalisha mfuko then anainywa ikiwa ndani ya mfuko, kuja kufatilia kumbe jamaa ni mchungaji wa maeneo hayohayo hataki watu wajue kuwa anapiga vitu vikali😂
Kama unachofanya na sehem uliyopo ni sahihi kwako kwann ujifichefiche
 
Kuna ulikumbukeni sana katika hilo nyakati hizi unaweza kuingia mgahawani kula Lunch mara gafla unajikuta kwenye mtandao wa kijamii bila hata kujua umepigwa picha wakati gani.
 
kwa uhalisia kwenye sherehe inatakiwa mwenye sherehe amkanye MC haruhusiwi sambaza Video za tukio husika, wapiga picha binafsi hawaruhusiwi.
Privacy, yeye achukue pesa yake arekodi alete Flash
 
Back
Top Bottom