AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Malengo ya kumgonga tena kisha amwambie atoe hio mimba sio yake hujaelewa nini hapo?Una malengo gani na huyo mwanamke?
Ukiweza kujibu hili swali, basi funga uzi wako usitusumbue...

Malengo ya kumgonga tena kisha amjaze mimba baada ya hapo amwambie hii mimba sio yangu mtafute mwenye mimba au nenda kaitoe hapo pia hujaelewa nini?Jibu swali,
Una malengo gani naye?
Kuwa katikati sio jibu, ni ishara kwamba hauna jibu...
Man was created to start the family not to join.Yaani Single mother of two kids mimi wakati huo bado yanki so tukanzaa urafiki then mahusiano
Kuna mtu huko youtube anaitwa Ivan Oneseven anashughulika na haya mambo hebu mtafute Ivan.onesevenHabari wana jamvi ! poleni na hongereni kwa kila jambo mwaka fulani nilifanikiwa kupata kibarua kampuni (X), hapo baada ya miezi nilikutana na mwanamke mmoja mrembo kwa taarifa nilizopewa yeye alikuwa na watoto wawili kwa wakati huo.
Yaani Single mother of two kids mimi wakati huo bado yanki so tukanzaa urafiki then mahusiano since hapo niliona mambo yake na nilimwelekeza hili na lile drama za hapa na pale then suddenly alipata mimba kwasababu mimi na yeye hatukuwa na plan tulishauriana kufanya abortion.
Na baadaye maisha yaliendelea kama kawaida baadae tukagombana kisa tabia zake kubwa zaidi niligundua yuko na mahusiano mengine na aliwahi chepuka omba msamaha tuka sameheana but since then nikawa naona red flags ,so by the end of last year akapata tena mimba this time akataka ndoa nasikuwa tayari kumuoa.
Tulikwaruzana sana and she decided kuitoa hiyo mimba jambo lililosababisha watu wengi kwenye kampuni kulizungumzia kama unavyojua mambo ya taasisi zenye watu.So fast forward the story ni miezi 5 imepita tulikuwa hatusalimiani kabisa then tulikaa tukasulihisha na kusameheana and we exchanged contacts ila mpka leo sijawahi kumcheki wala yeye hajawahi kunicheki kwa simu tunaonana sana jambo limepelekea mimi kumiss sana sometimes na feel guilty kwamba mimi ni mwenye makosa.
Kuna roho inasema nimrudie nyingine inasema hapana kaza kuna time nakosa amani na usingizi kabisa najua ka move on ila mimi kama nimerudi nyuma kihisia.Karibuni wana jamvi kwa ushauri.
Wenu katika ujenzi wa taifa
Sakwe
Nashukuru mkuuKuna mtu huko youtube anaitwa Ivan Oneseven anashughulika na haya mambo hebu mtafute Ivan.oneseven
Wewe unaona kuoa ni malengoMKuu mpka sasa hivi niko katikati kuna nafsi inasema nimuoe ila kuna
Hivi ukiandika bila ku-chovya chovya na vi-maneno vya kiingereza utakuwa hueleweki? Watu wa aina yako mara nyingi ni malimbukeni wanaoiga mijadala ya kitoto kutoka Facebook. Sikatai kuwa unaweza kuchanganya maneno (hata mimi nafanya hivyo) ila tumia pale unapotaka kusisitiza jambo ambalo ukitumia kiswahili linaweza lisilete maana halisi au lisieleweke vyema.Habari wana jamvi ! poleni na hongereni kwa kila jambo mwaka fulani nilifanikiwa kupata kibarua kampuni (X), hapo baada ya miezi nilikutana na mwanamke mmoja mrembo kwa taarifa nilizopewa yeye alikuwa na watoto wawili kwa wakati huo.
Yaani Single mother of two kids mimi wakati huo bado yanki so tukanzaa urafiki then mahusiano since hapo niliona mambo yake na nilimwelekeza hili na lile drama za hapa na pale then suddenly alipata mimba kwasababu mimi na yeye hatukuwa na plan tulishauriana kufanya abortion.
Na baadaye maisha yaliendelea kama kawaida baadae tukagombana kisa tabia zake kubwa zaidi niligundua yuko na mahusiano mengine na aliwahi chepuka omba msamaha tuka sameheana but since then nikawa naona red flags ,so by the end of last year akapata tena mimba this time akataka ndoa nasikuwa tayari kumuoa.
Tulikwaruzana sana and she decided kuitoa hiyo mimba jambo lililosababisha watu wengi kwenye kampuni kulizungumzia kama unavyojua mambo ya taasisi zenye watu.So fast forward the story ni miezi 5 imepita tulikuwa hatusalimiani kabisa then tulikaa tukasulihisha na kusameheana and we exchanged contacts ila mpka leo sijawahi kumcheki wala yeye hajawahi kunicheki kwa simu tunaonana sana jambo limepelekea mimi kumiss sana sometimes na feel guilty kwamba mimi ni mwenye makosa.
Kuna roho inasema nimrudie nyingine inasema hapana kaza kuna time nakosa amani na usingizi kabisa najua ka move on ila mimi kama nimerudi nyuma kihisia.Karibuni wana jamvi kwa ushauri.
Wenu katika ujenzi wa taifa
Sakwe
Unajua kukHabari wana jamvi ! poleni na hongereni kwa kila jambo mwaka fulani nilifanikiwa kupata kibarua kampuni (X), hapo baada ya miezi nilikutana na mwanamke mmoja mrembo kwa taarifa nilizopewa yeye alikuwa na watoto wawili kwa wakati huo.
Yaani Single mother of two kids mimi wakati huo bado yanki so tukanzaa urafiki then mahusiano since hapo niliona mambo yake na nilimwelekeza hili na lile drama za hapa na pale then suddenly alipata mimba kwasababu mimi na yeye hatukuwa na plan tulishauriana kufanya abortion.
Na baadaye maisha yaliendelea kama kawaida baadae tukagombana kisa tabia zake kubwa zaidi niligundua yuko na mahusiano mengine na aliwahi chepuka omba msamaha tuka sameheana but since then nikawa naona red flags ,so by the end of last year akapata tena mimba this time akataka ndoa nasikuwa tayari kumuoa.
Tulikwaruzana sana and she decided kuitoa hiyo mimba jambo lililosababisha watu wengi kwenye kampuni kulizungumzia kama unavyojua mambo ya taasisi zenye watu.So fast forward the story ni miezi 5 imepita tulikuwa hatusalimiani kabisa then tulikaa tukasulihisha na kusameheana and we exchanged contacts ila mpka leo sijawahi kumcheki wala yeye hajawahi kunicheki a simu tunaonana sana jambo limepelekea mimi kumiss sana sometimes na feel guilty kwamba mimi ni mwenye makosa.
Kuna roho inasema nimrudie nyingine inasema hapana kaza kuna time nakosa amani na usingizi kabisa najua ka move on ila mimi kama nimerudi nyuma kihisia.Karibuni wana jamvi kwa ushauri.
Wenu katika ujenzi wa taifa
Sakwe
Habari wana jamvi ! poleni na hongereni kwa kila jambo mwaka fulani nilifanikiwa kupata kibarua kampuni (X), hapo baada ya miezi nilikutana na mwanamke mmoja mrembo kwa taarifa nilizopewa yeye alikuwa na watoto wawili kwa wakati huo.
Yaani Single mother of two kids mimi wakati huo bado yanki so tukanzaa urafiki then mahusiano since hapo niliona mambo yake na nilimwelekeza hili na lile drama za hapa na pale then suddenly alipata mimba kwasababu mimi na yeye hatukuwa na plan tulishauriana kufanya abortion.
Na baadaye maisha yaliendelea kama kawaida baadae tukagombana kisa tabia zake kubwa zaidi niligundua yuko na mahusiano mengine na aliwahi chepuka omba msamaha tuka sameheana but since then nikawa naona red flags ,so by the end of last year akapata tena mimba this time akataka ndoa nasikuwa tayari kumuoa.
Tulikwaruzana sana and she decided kuitoa hiyo mimba jambo lililosababisha watu wengi kwenye kampuni kulizungumzia kama unavyojua mambo ya taasisi zenye watu.So fast forward the story ni miezi 5 imepita tulikuwa hatusalimiani kabisa then tulikaa tukasulihisha na kusameheana and we exchanged contacts ila mpka leo sijawahi kumcheki wala yeye hajawahi kunicheki kwa simu tunaonana sana jambo limepelekea mimi kumiss sana sometimes na feel guilty kwamba mimi ni mwenye makosa.
Kuna roho inasema nimrudie nyingine inasema hapana kaza kuna time nakosa amani na usingizi kabisa najua ka move on ila mimi kama nimerudi nyuma kihisia.Karibuni wana jamvi kwa ushauri.
Wenu katika ujenzi wa taifa
Sakwe
Nimekuelewa mkuu nitasahihisha hili nashukuru sanaHivi ukiandika bila ku-chovya chovya na vi-maneno vya kiingereza utakuwa hueleweki? Watu wa aina yako mara nyingi ni malimbukeni wanaoiga mijadala ya kitoto kutoka Facebook. Sikatai kuwa unaweza kuchanganya maneno (hata mimi nafanya hivyo) ila tumia pale unapotaka kusisitiza jambo ambalo ukitumia kiswahili linaweza lisilete maana halisi au lisieleweke vyema.