Sakwe
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 246
- 883
- Thread starter
- #41
Nazidi kujifunza mkuu ila hoja zako ni kuntu mkuuSakwe, mi nimeona makosa yako kadhaa hapa:
1. Kua na Mahusiano Kazini.
2. Kua na mahusiano Kazini na Single Maza.
3. Kua na mahusiano Kazini na Single Maza wa Watoto Wawili.
4. Kutaka kuoa.
5. Kutaka kukuoa Single Maza.
6. Kutaka kumuoa Single Maza wa Watoto Wawili.
7. Kumsamehe mwanamke aliekusaliti.
8. Kutaka kurudisha mahusiano namwanamke aliekusaliti mkavunja mahusiano.
Man, jitafakari.