Bikra unayo
JF-Expert Member
- Mar 24, 2026
- 638
- 2,312
Mpaka akutoe roho uyo mwanamke ndo utaelewa.
Bas subir utombewe nikiwa kijana nilikuwa na mchumba kumbe single maza.bilq kujua na yeye akanificha nikaenda.shule tukapotezana nakuja kuonana naye baada ya miaka 12 tayar anawatoto 4 kila toto na baba yake lilivyo jinga et linasema nilikuwa nakusubir wewe ndio maana sjaolewaNimejifunza kuwa na roho ngumu kupitia mkasa huu maana naona kila njia ninayotaka kurudi ni ngumu
Tatizo sauti ziko mbilisikiliza sauti ya ndani inayokuambia kitu juu ya hilo ,sauti ya ndani haijawahi kukosea
Ipi mkuuMkuu Kuna ndezi Bado wanaamini ule ujinga naomba nitumie Ile picha kamahutojali ili niwanase nao
😁😁😅🙌Jitu tayar lina watoto 2 tena unaweza kuta kila mtoto.na baba yake
Halafu wewe kijana mdogo unataka kuingia hapo na wivu inamuonea hahaa
Siku mababa wa hao watoto wakijitokeza na kumtomba watakavyo uje humu utuambie tukupe kamba ya kijinyongea
Bas subir utombewe nikiwa kijana nilikuwa na mchumba kumbe single maza.bilq kujua na yeye akanificha nikaenda.shule tukapotezana nakuja kuonana naye baada ya miaka 12 tayar anawatoto 4 kila toto na baba yake lilivyo jinga et linasema nilikuwa nakusubir wewe ndio maana sjaolewa
Ila litamu kishenz na.linamshape huo flat tammy lakn nilitomba na kusepa NIKAOA BIKRA SAAFI NA VIJANA TUMEZAA
Mkuu kwa moyo mkunjufu nimefunga kurasa za kitabu hichoTayari ushaepushwa na kifo au matatizo makubwa ww bado unakomaa Tu....Usije ukakaa tena ukaomba Kwa mungu au mizimu ikuepushe na mabalaa wakati ushaepushwa tayari ila ww unajikuta nunda husikii, shauri yako