Je, ni sahihi mimi kumrudia Mwanamke huyu (EX) Kwa sasa?

Kuna mtu huko youtube anaitwa Ivan Oneseven anashughulika na haya mambo hebu mtafute Ivan.oneseven
 
Malengo ya kumgonga tena kisha amjaze mimba baada ya hapo amwambie hii mimba sio yangu mtafute mwenye mimba au nenda kaitoe hapo pia hujaelewa nini?
Duuh sio kweli mkuu
 
Hivi ukiandika bila ku-chovya chovya na vi-maneno vya kiingereza utakuwa hueleweki? Watu wa aina yako mara nyingi ni malimbukeni wanaoiga mijadala ya kitoto kutoka Facebook. Sikatai kuwa unaweza kuchanganya maneno (hata mimi nafanya hivyo) ila tumia pale unapotaka kusisitiza jambo ambalo ukitumia kiswahili linaweza lisilete maana halisi au lisieleweke vyema.
 
Unajua kuk

Unajua kukushauri kuhusu mnaelala mmevuliana nguo ni ngumu sana.Nyie nyuchi zenu zinamezana na mnakojoleana.Ni ngumu bro
 
Nimekuelewa mkuu nitasahihisha hili nashukuru sana
 
Sakwe, mi nimeona makosa yako kadhaa hapa:
1. Kua na Mahusiano Kazini.
2. Kua na mahusiano Kazini na Single Maza.
3. Kua na mahusiano Kazini na Single Maza wa Watoto Wawili.
4. Kutaka kuoa.
5. Kutaka kukuoa Single Maza.
6. Kutaka kumuoa Single Maza wa Watoto Wawili.
7. Kumsamehe mwanamke aliekusaliti.
8. Kutaka kurudisha mahusiano namwanamke aliekusaliti mkavunja mahusiano.

Man, jitafakari.
 
Jitu tayar lina watoto 2 tena unaweza kuta kila mtoto.na baba yake

Halafu wewe kijana mdogo unataka kuingia hapo na wivu unamuonea hahaa

Siku mababa wa hao watoto wakijitokeza na kumtomba watakavyo uje humu utuambie tukupe kamba ya kijinyongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…