Nazidi kujifunza mkuu ila hoja zako ni kuntu mkuuSakwe, mi nimeona makosa yako kadhaa hapa:
1. Kua na Mahusiano Kazini.
2. Kua na mahusiano Kazini na Single Maza.
3. Kua na mahusiano Kazini na Single Maza wa Watoto Wawili.
4. Kutaka kuoa.
5. Kutaka kukuoa Single Maza.
6. Kutaka kumuoa Single Maza wa Watoto Wawili.
7. Kumsamehe mwanamke aliekusaliti.
8. Kutaka kurudisha mahusiano namwanamke aliekusaliti mkavunja mahusiano.
Man, jitafakari.
Nimejifunza kuwa na roho ngumu kupitia mkasa huu maana naona kila njia ninayotaka kurudi ni ngumuJitu tayar lina watoto 2 tena unaweza kuta kila mtoto.na baba yake
Halafu wewe kijana mdogo unataka kuingia hapo na wivu unamuonea hahaa
Siku mababa wa hao watoto wakijitokeza na kumtomba watakavyo uje humu utuambie tukupe kamba ya kijinyongea
Achana naye na mbaya zaidi alikuwa used na watu wengi so even if ukirudiana naye hatabadilika sije ukaibiwa nyeti zako bruuuh😳Napokea madini mkuu
Nashukuru sana mkuu hakika nafarijika kwa ushauri huu unazidi kujifungua kwa kiasi kikubwa sanaMkuu, Mbona mimba za hao watoto wawili uliomkuta nazo hakuzitoa?
Hapo mwanzo alikuwa kajipanga ila baada ya umri kusogea akakutana na wewe ndo hajajipanga?
Na wewe kama hujajipanga kuwa na familia mahusiano serious na wanawake wenye familia ya kazi gani sasa?
Tafuta mwanamke mwenye akili halafu na wewe jitahidi kutumia za kwako vizuri.
Pamoja boss.Nashukuru sana mkuu hakika nafarijika kwa ushauri huu unazidi kujifungua kwa kiasi kikubwa sana
Mkuu Kuna ndezi Bado wanaamini ule ujinga naomba nitumie Ile picha kamahutojali ili niwanase naoNi sahihi
Daaaaa ila nawew unashindwa kuamuaMKuu mpka sasa hivi niko katikati kuna nafsi inasema nimuoe ila kuna 🚨 inasema hapana
Ushetani mtupu mkuuKwa nini mliua kiumbe kisicho na hatia?.
Sawa ila hapo angalia wew mwenyew unahitaji nini ufanye maamuzi kama mwanaume maaNilisha amua from the beginning ila swala la kumuona kazini kila siku n
alo lina vuruga hisia mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Jitu tayar lina watoto 2 tena unaweza kuta kila mtoto.na baba yake
Halafu wewe kijana mdogo unataka kuingia hapo na wivu unamuonea hahaa
Siku mababa wa hao watoto wakijitokeza na kumtomba watakavyo uje humu utuambie tukupe kamba ya kijinyongea
😄😁Duh Mkuu nacheka kama mazuri ila nimekuelewa sanaAma mimi pekee ndio sijaelewa,mwanamke single mother watoto wawili then alikucheat then unashindwa ku move on 🤨ugonjwa wa akili ni pigo kwa taifa.Single mother akijichanganya kwenye harakati zako ni kumuongezea tu mtoto na kulala mbele