Je, ni sahihi mke kutumia majina haya kwa mwanaume mwingine mbele ya mume wake?

Mzee mimi nimeshagongewa kimasihara zaidi ya hivyo, Kwa experince yangu hao tayari wanatiana ndo maana wife hajasave no ya huo mchepuko wake ili likitokea la kutokea ionyeshe hata kwenye simu yake no hana. Ila adabu ambao mkeo anamuonyesha huyo jibaba ni wazi jamaa linakula mzigo vizuri sana ila pia kwenye mambo ya financial Jamaa liko vizuri huwa linampooza mkeo anapokuwa hana hela. Haiwezekani awe mkali kwa mkeo kana kwamba yeye ndo kaoa mkeo.
Usidanganywe na wachangiaji hapa watakaokwambia hakuna shida hapo. Mimi naona kuna shida 100% kama huamini fanya upelelezi utaniambia.
Kama Unataka kufix tatizo fasta mfuate huyo nyau kamchimbe bonge la mkwara, kwa kuhofia kurogwa au kupakwa mafuta linaweza likamuacha mumeo.
 
Boss wangu tena unamuita baby mbona haiko romantic hyo utaachwa ujue kwa usela wako

Kwani muda wote mnapenzika? Mpenzi wako anatakiwa apate vibe lote kutoka kwako kishikaji, kirafiki, kishosti na kila kitu
Me baby wangu hata ikitokea njian tumeona pisi nzuri namwambia angalia tu kama tuko kwenye gari apunguze hadi mwendo [emoji28][emoji28]ko kumuita boss sio shida inampa kujiamini hata kama hana hela
 
Mkuu ingekuwa ni bosi wake kweli ingekuwa Haina shida ila huyo SI bosi wake.

Neno bocy ni la Kawaida Sana, sasa usihoji hilo neno, wewe Hoji Kwa nini mke wako anagombezwa Na mtu ? Maana hata Kama umeajiri mtu huwezi mgombeza, I can't stand mtu kumgombeza mke wangu!
 
Hapa nimekaa sebuleni nasoma nyuzi kadha wa kadha huku Jamii Forums Simu ya Mke wangu Iko pembeni. Mara ikaita akiwa nje, nikaona namba haijaseviwa nikauchuna Hadi ikakatika.
Ikaita Tena safari hii Mke wangu akaingia ndani akaisikia na kupokea "Niambie Boss Wangu"! Kisha nikafahamu Anayeongea naye ni mfanyakazi wa bima ya afya (ambaye si bosi wake kiuhalisia) anayehitaji taarifa za kampuni binafsi anayofanyia Kazi Mke wangu. Jamaa limemgombeza wife Kwa kukawia kupokea Simu Kisha wife anajibu "nisamehe Boss Wangu".
Wakaendelea na maongezi wakamaliza nasikia wife anasema "Asante Boss Wangu"!
Nikamuuliza wife "huyo ni boss wako?" Akajibu "ee ni boss wangu". Akaweka Simu akatoka nje.

Je Ni Sahihi?

Nimekasirika japo naonyesha Tabasamu
Wengine Tumeumbwa Tutabasamu hata Tunapovishwa Taji la Miiba.
Pole sana kaka.
 
Siku hizi kugongewa na kugongea wake za watu ndio habari ya mjini,usiwaze sana,
Kula maisha!! Kama umeishavuka 35!,jipunguzie stress utakufa mapema.
 
Kuna mambo matatu ambayo hayajakaa sawa kwenye hilo tukio zima kwa ujumla wake.
KUSAVE NUMBER:
Kwann hajaSave hiyo namba kama kweli ni boss wake?hivi namba ya boss wako unapataje ujasiri wa kutoiSave?mashaka yanaanzia hapa,kwa sisi wazee wa mechi za ugenini tunajua hii ni moja ya mbinu za ULinZi.

>KUGOMBEZWA:
Boss anaejielewa hawezi kumgombeza mke wa MTU muda ambao sio wa kazi.kazi zina mipaka yake ikiwemo kuheshimu ndoa ya MTU.hata kama MTU hajaolewa huwezi mpigia usiku nakuanza kumporomoshea matusi as if mko kazini.so kwa sisi WAHUNI tunajua hiyo ni faulo umechezewa tena jamaa amemshika hasa mkeo,inawezekana anaMshughulikia vizuri kuliko ww or anaMuhudumia vizuri kwa kumpa mkwanja mzuri so mkeo ametekwa na huyo jamaa hana usemi or vyote viwili kwa pamoja vinahusika.

>>BOSS ASIE BOSS:
Kumuita huyo jamaa boss sio kosa kama lugha iliyokuwa inatumiwa ni Politely, kwa sisi wafanyabiashara ukiwa unambembeleza mteja or unamkaribisha mteja Mpya unamwita boss ili ajisikie fahari na iwe faida kwako aweze kununua bidhaa ulizonazo but ni politely mana lengo ni kushawishi.
Sasa kama kuna biashara yeyote mkeo anafanya na huyo jamaa labda huwenda ikawa yuko ktk masoko japo huyo mteja hapaswi kuwa mkali,kutukana,kukalipia nk nk.
Kama hamna chochote ktk hivyo nilivyotaja ni dhahiri shahiri unagongewa,na mkeo ni mzoefu ktk mambo hayo mana ana techic nyingi za kimalaya kuliko ww.na hyo jamaa yake ameshathibitishiwa kuwa ww si lolote si chochote ndio mana amekuwa na nguvu ya kupiga simu muda wowote na kuwa mkali sababu anajua hakuna shida.
Huo ukali alionao huyo jamaa ni kwamba anamjua mkeo ni MTU wa namna gani hivyo hayuko tayari na yeye kufanywa kama ulivyofanywa ww yaani kuwa zoba so anapambania Mali yake
Ni hivyo mkuu nilivyoelewa mm hawa viumbe usipokuwa makini watu wanaweza pigana kumgombania mkeo kila mmoja akisema wakwake ilihali ww hujui chochote kinachoendelea.
Pole sana cheza cheza mechi za nje kidogo upate uzoefu mkuu.
 
Utakufa na kaa la moto kijana, hizo za kumezea ndo zinafanya mjinyonge.

Siku nyingine kama hujapendezwa na kitu we mwambie tu hiki sipendi. Kama hupendi yeye kumuita huyo mwamba boss wangu na nadhani hiyo wangu ndo inakuchanganya we mchane tu.
 
Kuna mambo matatu ambayo hayajakaa sawa kwenye hilo tukio zima kwa ujumla wake.

Kwann hajaSave hiyo namba kama kweli ni boss wake?hivi namba ya boss wako unapataje ujasiri wa kutoiSave?mashaka yanaanzia hapa,kwa sisi wazee wa mechi za ugenini tunajua hii ni moja ya mbinu za ULinZi.

Boss anaejielewa hawezi kumgombeza mke wa MTU muda ambao sio wa kazi.kazi zina mipaka yake ikiwemo kuheshimu ndoa ya MTU.hata kama MTU hajaolewa huwezi mpigia usiku nakuanza kumporomoshea matusi as if mko kazini.so kwa sisi WAHUNI tunajua hiyo ni faulo umechezewa tena jamaa amemshika hasa mkeo,inawezekana anaMshughulikia vizuri kuliko ww or anaMuhudumia vizuri kwa kumpa mkwanja mzuri so mkeo ametekwa na huyo jamaa hana usemi or vyote viwili kwa pamoja vinahusika.

Kumuita huyo jamaa boss sio kosa kama lugha iliyokuwa inatumiwa ni Politely, kwa sisi wafanyabiashara ukiwa unambembeleza mteja or unamkaribisha mteja Mpya unamwita boss ili ajisikie fahari na iwe faida kwako aweze kununua bidhaa ulizonazo but ni politely mana lengo ni kushawishi.
Sasa kama kuna biashara yeyote mkeo anafanya na huyo jamaa labda huwenda ikawa yuko ktk masoko japo huyo mteja hapaswi kuwa mkali,kutukana,kukalipia nk nk.
Kama hamna chochote ktk hivyo nilivyotaja ni dhahiri shahiri unagongewa,na mkeo ni mzoefu ktk mambo hayo mana ana techic nyingi za kimalaya kuliko ww.na hyo jamaa yake ameshathibitishiwa kuwa ww si lolote si chochote ndio mana amekuwa na nguvu ya kupiga simu muda wowote na kuwa mkali sababu anajua hakuna shida.
Huo ukali alionao huyo jamaa ni kwamba anamjua mkeo ni MTU wa namna gani hivyo hayuko tayari na yeye kufanywa kama ulivyofanywa ww yaani kuwa zoba so anapambania Mali yake
Ni hivyo mkuu nilivyoelewa mm hawa viumbe usipokuwa makini watu wanaweza pigana kumgombania mkeo kila mmoja akisema wakwake ilihali ww hujui chochote kinachoendelea.
Pole sana cheza cheza mechi za nje kidogo upate uzoefu mkuu.
Na si waona jamaa alivohisi kuchapiwa eti akakaa kimya na ndo hapo mkewe anamtesea.

Sometimes jaribu kua mkali hasa kwa vitu usivyoelewa walau hata asifanyie mbele yako kuliko kukaa kimya hadi anapokea sim ya mchepuko mbele yako ni dharau hiyo.
 
Back
Top Bottom