Nyumba ninayokaa ni mali ya shirika nitaenda wapi boss akikasirika..Nawezaaa hivo nawezaaa, nachohofia familia yangu kuiteketeza [emoji41]
Anajiaminisha ila wakimbandua wengine ukiambiwa usiaminiUtakufa kwa presha mkuu bora asikuambie kabisa. Huenda kuna mengine anakuficha uwezi kujua anakupima upepo ili hali washadukua mali yako.
Wanao wapenda hawakwambii wasio wapenda wanakwambiaWanawake hukuambia waliowakataa tu.
Ila waliowakubalia hawakuambii ng'o.
Muwahi huyo boss kabla hajamfukuza kazi mke wako
Ukimuachisha kazi jipange kumuhudumia kama alivyo kuwa anajihudumia na mshahara wakeNiwahi kumuacisha kazi mke wangu au niwahi kufanya nini
HayajakukutaMkeo anataka mwenyewe kutongozwa kwani akikataa na akaweka misimamo huo msululu utamsumbua aje? Mambo mengine wanawake huyataka wenyewe kama anapewa ofa za misosi, lifti ya gari akitoka na kwenda kazini soon utachapiwa tu. Nakushauri mwambie mkeo aache mazoea ya kipuuzi na hao watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili sana,amwambie ajiweke kama make aone kama atatongozwa ovyo.watongozaji huwa wanangalia pa kuanzia.Lugha ya mwili ya mkeo inasababisha atongozeke kiurahisi, na hii ni hatari sana mzee baba, kwa kifupi mkeo yupo hivyo( anaingilika), sio kosa lake anapaswa kusaidiwa ni sababu ya mazingira , makuzi na malezi yake aliyopitia
Mfundishe na msaidie abadili lugha ya mwili wake inayojumuisha jinsi anavyofikiri, mawazo, hisia, muonekano, mwendo wake na hata mavazi pamoja na anavyowasiliana na wenzake( mawasiliano ya mwili wake kwa wenzake) na zaidi lazima aishi na kuwajibika kama mke wa mtu anayejiheshimu, akiwa ana msimamo hatasumbuliwa.
Pia kwepa na epuka kuingilia mawasiliano na bosi wake itakuletea stress sana hatimaye utakufa kwa presha bure ila umwambie yeye ndiye anapaswa kuwajibika kwa kuwa na udhaifu wa kuingilika kiurahisi na sio wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtafutie bos wahuni wamrekodi wakimfira then itumie hiyo kumblackmail kesi itakuwa imeisha