PATIE DE CHRISS
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 460
- 229
Hili nalo neno...kumbe huwa tunapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa!Wanawake hukuambia waliowakataa tu.
Ila waliowakubalia hawakuambii ng'o.
Muwahi huyo boss kabla hajamfukuza kazi mke wako
Siku ile uliponipigia simu, sasa pale kwenye kutaja jina lako sasa [emoji39]Jamani , kitu ganiii??[emoji23][emoji23][emoji23]
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Ukweli ni kwamba sisi wanaume tunamfuata mtu pale unapoona panaingilika. Sehemu ngumu wanaenda wabishi wachache tu. Kama mwanamke kiiila mwanaume kazini anamtongoza basi ni kitu anapenda. Ama ameruhusu mazoea ambayo siyo. Na hata anavyokua anakuambia ni kitu anapenda. Sisemi kuwa anatoa hapana, bali kisaikolojia ile kufuatwafuatwa ni kitu anapenda. Its her pride. Na vitu hivyo akiendekeza kuliwa ni lazima. Maana kila binadamu ana udhaifu wake ndo maana tunaaswa mambo hayo tuyakimbie sio tupigane nayo.Nimevurugwa sana..
Boss wa mke wangu anamtongoza mke wangu kwa uchu sana kiasi kwamba hadi nimeanza kupoteza matumanini.
Mke wangu hana raha kabisa wafanyakazi wenzake wanammendea na boss wake naye humohumo yani wapo msululu.
Imefika hatua boss wake ameanza kutafuta safari za kikazi ili asafiri na mke wangu lengo lake ni kumbandua mke wangu na wote tunafahamu kwasababu mke wangu ananiambia kila kitu, kila ujumbe anaotumiwa na kila mazingira magumu anayokutana nayo(wanaume mnanielewa hapa)
Nifanyaje wandugu nataka kumsaidia mke wangu asinase kwenye mtego wa huyu simba.
Je nimkataze asiwe ananiambia habari za kutongozwa na wanume?
Wanaume wenzangu mnaishije na wake zenu walio ajiriwa sehemu mbalimbali,mnakutana na changamoto zipi kwenye ndoa
[emoji23][emoji23]kaoneeee. Nisikukamate.Siku ile uliponipigia simu, sasa pale kwenye kutaja jina lako sasa [emoji39]
Ulikuwa unasema hivi 'naitwa cute b'
sasa nikawa siisikii vizuri hiyo 'cute b' [emoji23]
wewe nae ukawa umekaza kuirudia mara mbili mbili ni 'cute b, cute b' [emoji23] [emoji23]
ha ha ha, kwakweli mpaka unakata simu, nilikuwa sijaelewa ulikuwa unasema nini, maana ile sauti ni tamu mno kuisikia [emoji39]
yote simu ilikuwa ina rekodi, kwahiyo huwa narudia kusikiliza mala nyingi nafurahi tu [emoji39]
"mkate kidevu huyooo au unamwogopaa" Boss mkurugenzi kitambi menejaπNawezaaa hivo nawezaaa, nachohofia familia yangu kuiteketeza [emoji41]
Hili nalo neno...kumbe huwa tunapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tobaa, unataka kumuwahisha Boss peponi.π³N PM NKUTUMIE LUTAMBULILO, MUACHE ALALE NAE, MTAKUTANA NAE AHELA!!
Sent using Jamii Forums mobile app
bye kwa heri mama, mwanao nafarijika na sauti yako hapa [emoji39][emoji23][emoji23]kaoneeee. Nisikukamate.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
ha ha ha! yaani ule wimbo full vituko."mkate kidevu huyooo au unamwogopaa" Boss mkurugenzi kitambi menejaπ
Tobaa, unataka kumuwahisha Boss peponi.π³
Sawa mwanangu, burudikaa nitakupigia tena.bye kwa heri mama, mwanao nafarijika na sauti yako hapa [emoji39]
kweli kabisa mistari yake inafurahisha, Juma nature kakazana ferooz unaniudhiii mkate kidevu huyooππha ha ha! yaani ule wimbo full vituko.
Mimi mke wangu hajawahi kukutana na hizo changamoto,ila kwa ushauri muwekee mtego wa Polisi huyo Bosi wake akishanaswa ndio utakuwa mwisho wa huyo mtu ingawa kuzuia kutongozwa huwezi kuzuia,na kwa kuwa ni Bosi ina maana huyo anataka kutumia cheo chake kula mali za watu,.Kuhusu mkeo kukwambia jinsi anavyotongozwa sioni ubaya,hii inakufanya uwe more alert na wanyemeleaji,ukumbuke huyo ni mkeo na sio hawara kwahiyo the more unavyomuachia bila ya kujua maisha yake ukumbuke ndio inavyokuwa rahisi wajanja kukuzidi akili,tukubali au tusikubali wenzetu hawa kudanganyawa na vitu vizuri vizuri ni rahisi sana,hapo kwenye vitu vizuri usifikirie kwenye vile vidogo vidogo kama laki moja/laki mbili,simu,perfume n.k.kuna vishawishi mtu anahonga mpaka nyumba ili ataembee tu na mke wa mtu...
Nilikuwa naambiwa ivo zamani lakini kumbe alikua ananiteka akili ana show zake uko viwanja vya ugenini, anafanya vile ili akuaminishe....Mwanamke ni wa kuishi nae kwa akili sana.Mkuu kwani nawewe huwa unaambiwa na shemeji kama kuna simba wanamvizia
Nitafurahi sana mama, sauti yako tu mwanao nakuwa hoi [emoji39]Sawa mwanangu, burudikaa nitakupigia tena.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.