Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,446
- 3,319
Katika mapenzi Fanya/fanyiwa jambo lolote ambalo halivunji heshima Yako kijinsia...hakuna utaalam unaojitosheleza kwa kila mtu.Wanajamvi salaam!
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Inasemekana kuwa katika maeneo nyeti ambayo huleta msisimko kwa wanaume zaidi ya asilimia 50 ni eneo la chuchu, hii ni kwa utafiti usio rasmi. Je katika tamaduni zetu hii imekaaje? Je ni sahihi kwa mke au mpenzi kumnyonya chuchu mwanaume wake? Wadau mnasemaje au mambo ya chumbani tuyaache chumbani?
Wewe huna 😅Sijui kwa wenye nazo
Ulinyonywa chuchu mkuu?Yule dada alichonifanyia siku ile nikamwaga hadi zambi mungu anamuona ☺️☺️
Inasemekana Kuna msisimko wa ajabu na aina yake mwanaume anajisikia akinyonywa chuchuMwanaume unataka upate utamu tena?
Piga mashine mwanamke ndiye akasimulie anakoenda kusimulia...
Hadi nikaongea kama kibogoyo... Kwa kifupi yeye ndio alinilomba😁Ulinyonywa chuchu mkuu?
Eeh bhana ee sipati picha ukaongea kijerumani 😂😂😂Hadi nikaongea kama kibogoyo... Kwa kifupi yeye ndio alinilomba😁
Hii from Chugastan au sioHuo mda mnautoa wapi wazeee ! ?
Ni ile mama yeyooo kaa vizuri nikurenge,,,,,,
Paaaa paaa paaa paaa wazungu haoo, unaendelea na mishe nyingine! Tupo nyuma ya wakati sana tu !