Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,446
- 3,319
- Thread starter
- #141
😂😂😂Viungo vya binadamu hasa vya pembezoni vina kawaida ya kushamiri vikishughulishwa. Ndiyo maana ukinyanyua vitu vizito kwa muda fulani, unajazia mikono.
Sasa basi, wacha unyonywe hizo chuchu kwa sana, siku ukianza kupambania sidiria usiseme umelogwa