Je ni sahihi mwanaume kunyonywa chuchu wakati wa kufanya mapenzi?

Je ni sahihi mwanaume kunyonywa chuchu wakati wa kufanya mapenzi?

Mambo ya utamu achia wanawake ukipata raha inatoshwa wewe utamu unataka wa nini
 
Sounds gayish, lakini to each his own. Huenda ndicho kinachompa genye, siku hizi binadamu wanaenda mbali zaidi ya hapo...
GAYISH = Homosexual. ( Jinsia moja)

Huyu anazungumzia jinsia mbili tofauti = heterosexual.

Mm nadhani ni maamuzi ya wahusika.
 
Hizi nyuzi sidhani kama ni wasizwa walio sawa ndio wanaanzisha ukute ni wale waliorudisha mpira kwa kipa..
 
Je ni sahihi kwa mke au mpenzi kumnyonya chuchu mwanaume wake?
Viungo vya binadamu hasa vya pembezoni vina kawaida ya kushamiri vikishughulishwa. Ndiyo maana ukinyanyua vitu vizito kwa muda fulani, unajazia mikono.

Sasa basi, wacha unyonywe hizo chuchu kwa sana, siku ukianza kupambania sidiria usiseme umelogwa
 
Back
Top Bottom