Je ni sahihi mwanaume kunyonywa chuchu wakati wa kufanya mapenzi?

Je ni sahihi mwanaume kunyonywa chuchu wakati wa kufanya mapenzi?

Wanajamvi salaam!
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Inasemekana kuwa katika maeneo nyeti ambayo huleta msisimko kwa wanaume zaidi ya asilimia 50 ni eneo la chuchu, hii ni kwa utafiti usio rasmi. Je katika tamaduni zetu hii imekaaje? Je ni sahihi kwa mke au mpenzi kumnyonya chuchu mwanaume wake? Wadau mnasemaje au mambo ya chumbani tuyaache chumbani?
Leo unauliza Kunyonywa Chuchu, NEXT utauliza kuhusu kunyoa vuzi la mkun...n..du ...... next ni Astakafullah Yakheee taratiibu yakheee !!
 
Leo unauliza Kunyonywa Chuchu, NEXT utauliza kuhusu kunyoa vuzi la mkun...n..du ...... next ni Astakafullah Yakheee taratiibu yakheee !!
Yaani Kama mnaenjoy kitu chochote mkiwa chumbani na mmeridhiana na mwanamke wako nyie fanyeni tu Ila hakikisha hamkileti hadharani, dunia hii stress ni nyingi na hatuishi mara mbili
 
Mi ata cismkagi naonaga uchuro tu, mi nkipata kitoto cha alifu 2 lazima nkinyonye nyonyo na koma
 
Back
Top Bottom