Je ni sahihi mwanaume kunyonywa chuchu wakati wa kufanya mapenzi?

Wanajamvi salaam!
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Inasemekana kuwa katika maeneo nyeti ambayo huleta msisimko kwa wanaume zaidi ya asilimia 50 ni eneo la chuchu, hii ni kwa utafiti usio rasmi. Je katika tamaduni zetu hii imekaaje? Je ni sahihi kwa mke au mpenzi kumnyonya chuchu mwanaume wake? Wadau mnasemaje au mambo ya chumbani tuyaache chumbani?
Niliwahi kukutana na mwanamke mmoja akaninyonya chuchu na kunipitishia ulimi sehemu za mbavu nilipatwa na hisia kali za kimapenzi ambazo sijawahi kuziona katika maisha yangu, huyo mwanamke nilikpatia humu jf tulikuja kuachana kwa sababu alikuwa anapenda sana hela,
Halafu alikuwa single mother, asikwambie mtu chuchu zina mhemko usio wa kawaida
 
Jibu umshalitoa mwenyewe hapo juu. Umesema asilimia 50 wanafanyiwa kwa hiyo hiyo asilimia 50 nyingine hawafanyiwi.
 
Ni kwamba utafiti unaonesha asilimia 52 ya wanaume wanaenjoy kunyonywa chuchu, kwa hiyo inawezekana ukawa katika hiyo asilimia 52 na hujijui
 
Niliwahi kukutana na mwanamke mmoja akaninyonya chuchu na kunipitishia ulimi sehemu za mbavu nilipatwa na hisia kali za kimapenzi ambazo sijawahi kuziona katika maisha yangu, huyo mwanamke nilikpatia humu jf tulikuja kuachana kwa sababu alikuwa anapenda sana hela,
Halafu alikuwa single mother, asikwambie mtu chuchu zina mhemko usio wa kawaida
Eee bhana ee 🙌😂
 
Ushoga huwa unaanza taratibu. Leo mtu atataka kunyonywa chuchu,kesho atataka akumbatiwe kwa nyuma,mara atataka mwanamke amuingizie vitu nyuma.

Wanaume tokea lini vifua vyao vikawa na msisimko kupitia chuchu, mwanaume chuchu anatoa wapi?
 
Back
Top Bottom