Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 6,289
- 10,998
Nahisi hili swali limeelekezwa kwa wanaume wenye Chuchu ngoja wajeWanajamvi salaam!
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Inasemekana kuwa katika maeneo nyeti ambayo huleta msisimko kwa wanaume zaidi ya asilimia 50 ni eneo la chuchu, hii ni kwa utafiti usio rasmi. Je katika tamaduni zetu hii imekaaje? Je ni sahihi kwa mke au mpenzi kumnyonya chuchu mwanaume wake? Wadau mnasemaje au mambo ya chumbani tuyaache chumbani?