Je, ni sawa kuoa mtu ambaye hujateseka naye?

Kwa huu uandishi nakupa muda utakua sawa.

All in All vitu vingine ni kujitaftia laana kwa kweli Mungu atusamehe Wanaume.
 
Deep sana kaka..thanks
 
Wewe unaiita gender dynamics, mimi naiita power dynamics.

You have to deal with women from a position of power, sio tu financially, intellectually, emotionally na socially.

Nashangaa sana mwanume anataka 50/50 kwenye provider role alafu anategemea kuwa kichwa cha familia.

Siwezi kabisa mahusiano yenye even playing ground, lazima niwe na leverage itakayokulazimisha kusubmit.
 

Kuna wanapenda vichomi.
 
Acha kukumbatia umaskini mtoto wa kiume, there's no nobility in poverty.

Unajua nr 1 cause of divorce duniani na sio bongo ni ipi? jibu ni finances(pesa). Wanawake wachache sana wanaoacha maisha mazuri kisa mume ana michepuko, wengi hawajali michepuko ya mume wake, unajua kwa nini?

Mwanamke anao uwezo wa kupata ngono kutoka kwa mwanaume yeyote yule lakini si kila mwanaume anao uwezo wa kumpa mwanamke maisha ya kifahari. Peponi na motoni panaweza kuwa hapa hapa duniani kutokana na maisha unayoishi, wengi hawapo tayari kuiacha pepo kisa mume ana cheat wakati haiathiri finances za familia.

Kingine ambacho wanawake wengi hawawezi kukuambia ni kwamba wapo tayari kushare mwanaume mwenye mafanikio kuliko yeye kuwa na fukara wa kwake peke yake. Umesikia wapi mwanamke anamtaka mwanaume ambaye wanawake wengine hawamtaki?
 
Huwa sielewi mnaposema mwanamke sio level yenu yani dunia hii hii kweli ? Unasema pesa umetafuta mwenyewe haya mkuu muache tu
 
Umekuwa biased sana. Ila poa tu.
Mie nimemaanisha kuwa hata ule k Aina gani nafsi haitosheki. Na Tangiapo sikumbatii umasikini.
Na ninajua ukiwa na life zuri kila k utaipata. Ukiwa na mafanikio wao wanakutafuta wenyewe Ila mwisho wa siku hakuna Cha Mana unacho gain mkuu ni sawa ukila Leo msosi mzuri ukiingia tu tumboni tayari ni mavi hayatamaniki.

Naona Kama unapambana kuonekana Kama unajua dunia as our future is certainty.

Pia ni aheri uwe na hela Mana hutokaa kuwaza hela so utakuwa mentally stable.
Ila sio kuwa ndio utakuwa na furaha mazima.

Mbona Jeff Benzos ametoa talaka,Bill gate naye iko mbioni hapo unasemaje teacher wa mahusiano.

Na wale walio na hela wanawake afu wanaolewa na asiye mbele Wala nyuma inakuwaje hapa ticha naomba unifahamishe
 
Unajua nr 1 cause of divorce duniani na sio bongo ni ipi? jibu ni finances(pesa). Wanawake wachache sana wanaoacha maisha mazuri kisa mume ana michepuko, wengi hawajali michepuko ya mume wake, unajua kwa nini?
Unakubaliana kuwa Hawa wanawake ni masikini tokea kwao lakini wa dizaini hii.
Hivi utamfanyia hivi MTT wa jk kweli ama wa lowasa akuvumilie kisa una vimilioni ama trilioni zako.

Naomba twende sawa ticha tunapeana mawazo mbadala ili kuondoana our beliefs and thoughts Mana sijui hii research uliifanyia wapi.

Nina Imani sio wote wanaotukuza pesa ama nakosea.
Twaweza kumtokea demu mmoja akaenda kwa wa kawaida Ila akamuacha wa pesa.

Pia ke anakuwa mtumwa kisa life zuri
 
Kama hakuna uwezekano wa kumbadilisha akawa level zako, na huna hata chembe ya hisia nae muache tu lakini ujiandae inawezekana yule umpendae wewe{kwenye level zako} akakuona Filipo tu ila akakuvumilia kwaajili ya vicent vyako.. Siku vicent vikikata au nae akapata wa level zake uchukulie poa tu maana si unajua tena dunia duara!
 
Mbona unapinga sana suala la mwanaume kuwa na pesa? Are you allergic to money my brotha?

Unajua mwanaume kuwa na pesa equates to having answers, na ukiwa hauna kitu unaonekana this thing called life, you haven't figured it out. Aya niambie sasa mwanamke gani anataka kuwa na mwanaume ambaye hana majibu? Yeye anakuletea wewe matatizo yake akitegemea utamtatulia, hauna kitu unafanyaje? Unamuimbia nyimbo za kihindi kumbembeleza au unampelekea moto to kama mnavyosema as if that solves all of her problems.

Kingine ni kwamba mwanaume ukiwa na pesa, unakuwa na maamuzi, unakuwa na msimamo, sasa we hauna kitu( chawa), unamtegemea fulani kula mpaka muda anaotaka yeye, akiongea pumba lazima umsapoti kisa anakutoa. Wewe kama mwanaume hauoni aibu kuwa tegemezi, hapo inabidi tukuweke kundi moja na wanawake na watoto. Hapo mwanamke akiwa na wewe anataka kukuburuza tu coz anajua hauna ujanja.

Kuwa na pesa ni symbol ya accomplishments, wanawake kwa wanaume wote wanarespect accomplishments. Sasa wewe utakuwa mwanaume wa aina gani ambaye hauna respect, hapo we utakuwa mwanamke tu kama sio mtoto.

Suala la wanaume waliooa wanawake wenye pesa, tutajie wawili watatu ambao hawaburuzwi na wake zao au ambao wanaume wengine wanawaona kama role models.
 
Ww jamaa umepta mle mle mm nakaonea huruma sana cz kuna PC flani matata naiona inasomeka ... nawaza naogopa ntapata kalaana nn

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Pamoja mkuu. Sipingi Ila nakuambia kuwa mkeo unampatia kila kitu Ila analipia hotel ili akawekwe poa na jamaa tu hata boda boda. Hapo inakuwaje
 
Huwa nacheka sana nikikutana na mawazo ya wadau kama wewe😅
 
We jamaa inaelekea unapelekeshwa sana na wanawake yani hujiamini kabisa .. na unachunwa Ile mbaya, kuwa na msimamo bro .. pesa hainunui mapenzi ya kweli kama mwanamke anakupenda basi anakupenda tu hata akichepuka ni kwaajili ya tamaa tu ila atarudi tu .. kuwa na msimamo ..
 
Huwa nacheka sana nikikutana na mawazo ya wadau kama wewe[emoji28]
Ni kweli jamaa anafurahisha sana .. alafu anaonekana wanawake wanamburuza sana, anashindwa kuelewa kwamba hata hao wanawake pia wana mioyo ya kupenda na wakipenda wanapenda kweli despite the fact that wana tamaa lakini haiondoi uhalisia kwamba na wao wanapenda ..
 
Very true
 
Ukiwa real na maisha utakuja gundua kuna uzembe sana baina yetu wanaume hasa wanaofikiria kutumia pesa kurubuni wanawake ndio wanapata penzi la kweli wakati wako makapuku kibao wanainjoy mapenzi bila stress!
 
Muache tu ataumia baadae atazoea. Usidate na mtu sababu unamuonea huruma au unaogopa laana(hakuna laana hio kwanza).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…