Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,495
- 3,236
Kwa huu uandishi nakupa muda utakua sawa.Unajua buana kipind cha utafutaji sisi wanaume huwa tunatafta wadada flan hiv ambao ni wa level hiyo yaan mara nying wanakuaga wakawaida sanaa..na mara nying unakuta wala humpend kivile ila kwasabab anatimiza matakwa yako na hasumbui kwenye hik wala kile..unajikuta upo nae huyo bint kwenye shida zote..hakuachi humuachi...ila wew akilin mwako unajua kabisa huyi bint hapana kwakwel...hapo umeangilia kwa jicho la kibinadam zaid.
All in All vitu vingine ni kujitaftia laana kwa kweli Mungu atusamehe Wanaume.