Je ni sawa kwa kijana wa miaka 20 kuoa mwanamke mwenye miaka 27?

Toeni maoni ni kwanini sio sawa?
Kwanza kiutaratibu si vizuri mwanaume kuzidiwa umri, gape ya miaka 7 ni kubwa mno.
Kutakuwa na some level of disrespect ndani maana mmoja atamuona mwenzie mtoto.

Atleast wangekuwa sawa kiumri, ila mwanaume kuzidiwa umri tena gape ya 7 years is a big no
 
Mmh lakini fuatilia ndoa nyingi zinazodumu utakuta zipo hivyo
 
Hii imekaa aje wadau
Umesha sikia kupatwa Kwa jua au kupatwa Kwa mwezi mara kadhaa.

Sasa hii uliyosema wewe ni kupatwa Kwa kiagazi. Yaani mvua Ina nyesha na jua linawaka Kwa Wakati mmoja bila kuleta shida yoyote.
Makali ya jua yapo palepale na Ngurumo na Radi za mvua zipo palepale.

Sijui umenielewa au sijaeleweka??
 
Hayo ni maamuzi ya wahusika binafsi. Cha msingi ni maelewano yao ndani ya ndoa.
 
Umesha sikia kupatwa Kwa jua au kupatwa Kwa mwezi mara kadhaa.

Sasa hii uliyosema wewe ni kupatwa Kwa kiagazi. Yaani mvua Ina nyesha na jua linawaka Kwa Wakati mmoja bila kuleta shida yoyote.
Makali ya jua yapo palepale na Ngurumo na Radi za mvua zipo palepale.

Sijui umenielewa au sijaeleweka??
Hajaelewa mfafanulie zaidiiiii 😂😂
 
Back
Top Bottom