Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LAana gani kwani wote si wanamavuzi na wanayoa sasa hapo shida ninj,umri ni namba tu kafika suala la kimapenzi.Acha kutafuta laana zisizo na sababu mdogo wangu
Story zinaendana na rikaLaa
LAana gani kwani wote si wanamavuzi na wanayoa sasa hapo shida ninj,umri ni namba tu kafika suala la kimapenzi.
hivi hata 60yrs kinalowa?Utamu hauna umri
Case study shilole
hivi hata 60yrs kinalowa?
Kinalowa budah
Nyeto itakumaliza mzee😁Hii siyo sawa. Kwa kifupi sio sawa kuoa hata mwanamke unaelingana nae umri.
Nyeto napiga ila hii haihusiani kivyovyote na nyeto.Nyeto itakumaliza mzee😁
Hata mika 47 unaoa acha uzembeHii imekaa aje wadau
Mtume Muhammad (S.A.W), kipenzi cha Allah, akiwa na miaka 25 alimwoa Mwanamke Mhasibu Bi Khadija akiwa na miaka 40...na ndoa yao ilidumu ndio useme gap ya miaka 7?Aisee sio poa miaka saba kabisa
Zari na wanaume zake anawazidi miaka 9-12 na wanaishi, japo kibinafsi siwezi hata anaenizidi 5yrs tu namuona bado mdogo napenda mwanaume anizidi 12-18yrs mwishoInawezekana vizuri tu.
Kama wote wanatoshelezana kikamilifu kwenye vitu wavitakavyo katika mahusiano/ndoa.
Masuala ya rika ni mtambuka sana, watu waliopishana miaka 15 wanaweza kupatana vyema kabisa na kuwa maswahiba, ili hali waliopishana miaka 2 wakashindwa kutengeneza urafiki.
Kuna ule mpatano flani hivi(Synergy), kila mmoja anaridhika na mwezake, mambo yataenda tu.