Je ni sawa kwa kijana wa miaka 20 kuoa mwanamke mwenye miaka 27?

Mtume Muhammad (S.A.W), kipenzi cha Allah, akiwa na miaka 25 alimwoa Mwanamke Mhasibu Bi Khadija akiwa na miaka 40...na ndoa yao ilidumu ndio useme gap ya miaka 7?

You are not serious at all
Sasa huyo sio mtume Mohammed mkuu, simshauri amuoe huyo binti itakula kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…