Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Nishapiga 240kph nikiwa na GLE.

Nishapiga 250kph nikiwa na X3.

Sijawahi toboa 170kph nikiwa na harrier.

Mission iliobaki ni kuchukua M competition na kupiga above 270kph mpaka 300.
Ni kwamba Harrier hazipo stable mkuu au?
 
Asee we ni nyokoo [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Vipi kurudia tena mkuu? [emoji23]
 
Aah me sio muoga mtu ninayemuamini akiniendesha ila nikiendesha mimi ndio nakua muoga, speed mwisho 80, narudi kwenye 60,
Yanini mieee akaaaaa
Kuna aunt yangu anagonga Vx 1hdt manual hadi speed 160 afu hana hata habari..... wamama wenzake huwa wanaogopa kupanda gari yake. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie ningekanyaga engine ipasuke tu [emoji23][emoji23]
 
Duh eti unatafuta prey! Ugonjwa mbaya sana huo
 
Haswa uwe na chuma yenye pulling.
 
Nyie ndio mnatufanya tufikishe 200+ maanake tukiishia 160 mkapita mnaona tumeshindwa!
Narudia maneno ya trafiki baada ya kunikamata..."huyu alikua spidi 170 mbugani...enhee ikamate na hio range rover ilikua spidi 160" aisee hio ilikua ligi kali sana siwezi hama Toyota aisee... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sema range rover naikubali kwenye milima aisee jamaa aliikanyagia alinipita kama nimesimama vile...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Itabidi siku nikutafute kama bado hio 5 series upo nayo tuipimishe na GRS200 iliotolewa speed limit...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Siku moja nilikuwa najikongoja sehemu za mbarara uganda kuna barabara moja iko njema sana kuanglia dash board yangu niko 230 nyuma yangu ikaja chuma moja kuangalia ni Jaguar jamaa alipita kama upepo dk moja hata haikufika jamaa kaishapote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…