Ww ulikuwa na chuma gani mkuu?Siku moja nilikuwa najikongoja sehemu za mbarara uganda kuna barabara moja iko njema sana kuanglia dash board yangu niko 230 nyuma yangu ikaja chuma moja kuangalia ni Jaguar jamaa alipita kama upepo dk moja hata haikufika jamaa kaishapote
Watu mna underestimate sana diesel vehicles. Siku hizi diesel engines zinawasha moto vizuri tu.Lilikuwa la diesel hilo... huwa yanakuwa mazito.
Hii 5 series nilikuwa nayo E39 520i tu straight six, aisee nilikuwa nafanya kazi kama 80km kutoka ninapokaa, around 60km natumia Motorway. Kipindi niliinjoi gari ni hiki. Kila unavyokanyaga ndivyo inavyozidi kushika barabara. BMW ni Ultimate Driving Machine.Kuna siku naenda Manyara mida ya saa 4 usiku, nipo 170kph aisee nilikutana na kona kali haishi, nililala nayo tairi zinalalamika hatare.
Naimaliza nakutana na nyingine kushoto ina daraja, nimevuka daraja nikapaki gari pembeni siamini kilichotokea.
Wakati nashusha pumzi, Mwenyeji wangu akanipigia simu "ukifika maeneo flani kuna kona kali sana, kuwa makini". Ananijua mi ni mtu wa spidi kali
Bimmer - Germany Machine
Nyepesi sana.Ni kwamba Harrier hazipo stable mkuu au?
Kuna diesel zinakamua mpaka 400hp.Watu mna underestimate sana diesel vehicles. Siku hizi diesel engines zinawasha moto vizuri tu.
200Kph kwa XC90 D5 ni kugusa tu
Watu wanaongelea diesel cars za kizamani.Kuna diesel zinakamua mpaka 400hp.
Si mchezo, kibongobongo wanaokutisha ni wachache sana bongo.
Kweli, inategemea range ipo hapo.. Kuna range zilizopoa sana, na Kuna range za moto hasaaKitu nachojilaumu ni kutokua na dash cam + rear view cam aisee ile ligi ilikua tamu sana range rover haina mbio kabisa
Kile kipande ni Cha kufuta sahani πππTabora - Nzega ni barabara tamu sana.... maana unajiachia uwezavyo.
mkuu haukufariki kweli na hiyo speed?Autobahn nikiwa na Audi SQ8 speed niliishia 220 kph.
At some point diesel cars zenye same horses na petrol, diesel anamchakaza petrol hasa kama hakuna straight line.Watu wanaongelea diesel cars za kizamani.
Ila hizi za kisasa kwenye highway ndiyo mtu atajua maana ya diesel power!
Mleta mada mimi naomba niulize kitu..hio GX100 uliifanyia modification na kuweka hio turbo? Maana JZX100 ndo ina 1JZGTE...nirudi kwenye point mimi speed kubwa ni 170KPH Altezza 3SGE sehemu mbili moja ukiwa unaitafuta kitonga baada ya kuimaliza iringa sehemu ya pili ni mikumi mbugani hii siku niliiacha Range Rover..ya 2014..na sehemu ingine ukishamaliza mikumi kutafuta vijiji vya mangae/mangaiπππ
Kwan speed ndogo kuna faida gani? Speed kali ni ipi kwa uelewa wako....maana kuna nchi mfano Germany kuna njia ni free tembea vile unaweza kule ndo unakuta bike ya 1000cc 4cyl inaaibishwa ...tena bike ambayo 1st gear inaenda hadi 140 gia ya pili 200kph kule unaaibishwa japo kwa bongo bike ya hata cc 400 unasumbua gari nyingi sanaHivi ukiendesha kwa "spidi kali sana" unapata faida gani?
Mimi nilijua wavuta bangi ndiyo hufanya hivyo, kumbe mpaka majitu mazima?
Grs200 na 5 series ipi hapo ? Kuhusu balance vipi .. nazielewa sana grs 200 ila kuziweka kwenye mchakato na BMW 5 series kuitesa.. maana Kwa balance grs200 inaktwa na Lexus GS 450Itabidi siku nikutafute kama bado hio 5 series upo nayo tuipimishe na GRS200 iliotolewa speed limit...ππππ
Hapa hapa bongo tunapiga Hadi 250kmh na hatufimkuu haukufariki kweli na hiyo speed?
Huenda mwenye range alikuwa Hana time na mtu.. au range iliyo pooza ila akutane na range supercharge anakaa asubuhi tuHiyo Range haikuamua tu kutengeneza ligi na wewe mkuu πππ