Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Mie nikipitwa huwa napatwa na hasira sana kiukwel. [emoji16]
 
Ilibaki robo niangushe Noah kwenye kona kali kabla ya Manyoni, niliilaza 150 ikainua miguu ya kushoto, ikabidi niikubalie ninyooshe nikatoka nje ya road na brake za kunyunyiza.
 
Kuna bike usipokuwa na roho mbaya unaweza ukaishia gear 2 tu tena hapo kwa tabu haswaa.
 
Inategemea na uwezo wa gari, gari kama inachelewa changanya basi hizo speed utakuwa unasikia tu kwa watu, crown hizo 180 ni kugusa tu, na magari mengi sasa ukianza jarbu futa sahani kwenye rumion ndo shida inaanza
Zingne mpk zipate down ndio zichanganye. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…